Sawa nitakupa ushahidi wa vitabu vya kihistoria uende ukasome uongeze uelewa wa mambo ingawa ww pia umesema tu hiyo miaka 600 hujaleta ushahidi,kwa upande wa kwanini inasemwa kama ilivyoandika na Mathayo etc ni kwasababu biblia hizi tulizonaxo leo ni tafsiri hivyo watafsiri wao si mathayo ndio sababu wanakwambia kama alivyo...... sio kama nilivyo...hapo kinachokuchanganya unashindwa kutofautisha kilichotafsiriwa na original version.....tena kuhusu biblia ya king James hiyo ni tasfiri sio original version so kinachojulikana ni mwaka waliomaliza kutafsiri maandishi ya awali yaliokuwa na lugha ya kiebrania na kigiriki kwenda ktk kiingereza.
Mkuu hakuna asiejua kuwa Yesu alikuwa anazungumza lugha inayoitwa"
Aramaic"unatakiwa ujue kuwa kiyahudi ni lugha yenye lafdhi("dialet") tafauti kama lugha nyengine,Yesu alikuwa anazumngumza kiyahudi (Jewish Palestinian
Aramaic),
Yesu hakuandika kitabu,alikuwa anahubiri mafundisho yake kwa wanafunzi wake na kwa wanaemfata wa Israel,,,Hakuna biblia iliyondikwa kwa lugha ya Yesu(Aramic),katika karne ya kwanza watu walianza kukusanya na kuandika yale aliyohubiriwa Yesu..
kwanza mkuu nafikiri unajua kuwa hizi biblia ziko tafauti,biblia ya King james ina vitabu 66,biblia ya RC ina itaby 73,..
china nakuwekea copy and paste ya historia ya uandishi wa biblia:-
"The Bible was written over a period of 1400 to 1800 years by more than 40 different authors. The Bible is a compilation of 66 separate books, divided into two primary divisions: the Old Testament (containing 39 books) and the New Testament (containing 27 books).
It is believed that all of the books of the Bible were written under inspiration of the Holy Spirit."..
kwa kiswahili cha kwaida:-
"Biblia iliandikwa katika miaka ya 1400 mpaka 1800 na zaidi ya waandishi 40,bibilia ni mkusanyiko wa vitabu zaidi ya 66,ambavyo vimegawika katika makundi mawili;Agano la kale(Taurat) lenye vitabu 39 na Agano jipya lenye lenye vitabu 27.
,inasadikia kuwa vitabu vyote vya biblia vimeandikwa kwa mujibu wa roho mtakatifu"
Sasa Mkuu hii sentensi "
"inasadikia kuwa vitabu vyote vya biblia vimeandikwa kwa mujibu wa roho mtakatifu", ndio utagundua kuwa sio kila kitu kilichiandikwa kwenye biblia ni maneno au mafundisho ya Yesu,ni mawazo ya watu
Mandiko ya mwanzo ya biblia ni barua aliyoandika Paulo kupeleka sehemu mbali mbali kwa waumini wa kikristo
,..
Mkuu Paulo ndie muazilishi wa dini ya Kikristo,Yesu hakuhubiri kuwa aabudiwe,Yesu hakuhubiri kuwa yeye ni mtoto wa mungu,Yesu hakuhubiri kuwa atakufa kwa dhambi za binadamu,haya yote kayaleta
Soul aka Paul
,Asilimia 70% ya aliyokuwemo kwenye Biblia ni maneno ya Paulo