The Bible Fraud & Secret in the bible...!!!

The Bible Fraud & Secret in the bible...!!!

Ni kweli mie najua katika bible kuna upungufu mkubwa ila kipi kimekufanya uamini kuwa hicho kitabu ama muandishi ni mkweli na yuko sahihi!!???
 
Uislam haufundishi hivyo, inasema mungu alimuokoa issa bin mariam kwa kuleta mtu anaefanana na issa, huyo ndio akasurubiwa na yesu akawa kaokolewa, na yu hai mpaka leo hii nafsi yake haijaonja umauti bado.

Kasome vizuri au msikilize ostadh maalim atakuwa kaelezea vizuri zaidi.
Ni ajabu mtu anakuja na hoja dhaifu
Dini yetu imekamilika angekuja na hard evidence za hadithi ningeelewa
 
Kama wakitisto wote wangekuwa wanajua ukwel wa mambo yalivyo ...tusingekuwa na mkiriato hata mmoja hapa ....wachache sana wenye kujua na hawasemi kwa maslah yao .....
"wakitisto" "mkiriato" ndio akina nani hao ?
au ulitaka kusema Wakristo, Mkristo ?
 
Achana na kuran ni kitabu cha freemason
Sijui Freemason wanafata kitabu gani,lakini kwa mujibu wa Freemason,ukangalia kwenye website zao,na vitabu vyao hawa watu wanafata mafundisho ya kale ya Egypt,yaani kabla ya ujio wa Muhammad..

Kitu kinachowafanya waumini wa dini ya kikiristo wawapige vita sana Freemanson,nikuwa wao freemanson wanaamini -kuwa kuna muuumba alieumba dunia na kila kitu kilichopo duniani na sayari zake,.."The master of Universe,the architecture of the Universe",sasa sijui Quran imengia vipi hapa

Hawa watu hawamini kuwa Yesu ndio Mungu,..katika karne ya 17,mnamo 1728 freemanson ilianzishwa France,wakati huu hili kundi lilikuwa la siri sana,wakristo walikuwa wanawasaka Freemanson na kuwauwa kama wanyama kwasababu walikuwa wanaamini kuwa hawa watu ni "anti Krist",walikuwa ni watu wanaopingana na mafundisho ya Yesu..

Quran haihusiani na Freemason,kuwa na uchu wa kutafuta vitabu usome usiandike usichokijua,usiandike kwa usahabiki ni ujinga,kuza IQ yako kwa kusoma vitabu tafauti,utafanikiwa..
 
Mkuu wewe elimu yako umeisomea chuo gani rasmi ?
Ninavyojua kuanzia shule za msingi hadi vyuoni vile vya kiserikali tunajifunza mambo yaliyogunduliwa na Wazungu, ya kwetu ni kidogo mno.
wametumezesha matango ili watubane vizuri
 
Naomba uniwekee maneno hayo kuwa waislam wanakubaliana kuwa Nabii Issa alisulubiwa
Sijawahi kusoma popote
Uislam haufundishi hivyo, inasema mungu alimuokoa issa bin mariam kwa kuleta mtu anaefanana na issa, huyo ndio akasurubiwa na yesu akawa kaokolewa, na yu hai mpaka leo hii nafsi yake haijaonja umauti bado.

Kasome vizuri au msikilize ostadh maalim atakuwa kaelezea vizuri zaidi.

Soma vizuri nimesema Yesu hakufa msalabani,waislam wanaamini kuwa aliwekwa msalabani ni mtu mwengine,alikuwa sie Yesu(Isa),Bblia inamini Yesu hakufa msalabani ukisoma biblia Marko 16:11 " Lakini waliposikia kwamba Yesu yu hai na kwamba Mariamu alikuwa amemwona, hawakuamini"

Aliekuja na kuwambia kuwa Yesu amekufa msalabani na amekufa kwa madhambi yetu ni Paulo,lakini Isa mwenyewe hamna sehemu yeyeto ya biblia inayosema kuwa aliwambia wanaunzi wake kuwa yeye ni mungu wameabudu..

Kwa hiyo haya yanayofuatwa sasa hivi na wakristo ni mafunzo ya Paulo
 
Nafikiri hata Quran hujasoma. Though waislam mnafichwa sana ila Quran inatambua kuwa yesu ni Mungu maana ukisoma Quran imeandika Mungu aliumba kwa neno. Na Yesu ni neno la Mungu na roho ya Mungu sasa unabishana na Quran. Kasome kitabu chako vizuri na usipo elewa njoo kwa watu wenye maarifa kuwazidi ninyi watawaelewesha. Quran imewaagiza hivyo.
 
wametumezesha matango ili watubane vizuri
Huoni hadi leo wanatuletea Bombadia ?
Nasisi tunajisifu kwa kuweza kununua kwa bei ghali hizo Bombadia ?
Watakao tengeneza hizo Bombadia si lazima wamezeshwe hayo matango ya wazungu ?
 
Mkuu mimi ni mwislam lakini Rabai Isa aka Iso aka Jesus aka Yesu,hakuuliwa kwa kupigwa mawe hiii sikubaliano nayo,Kwa imani ya kiislam Yesu kweli alisulibiwa msalabani lakini hakufa,ukisoma biblia kuna sehemu nyingi zinazoeleza kuwa Yesu hakufa msalabanni..

Kweli biblia inamappungufu mengi,lakini hii ya Yesu kupigwa mawe mpaka kufa mpya,nitarudi na aya za biblia kuthibitishia kuwa yesu hakufa msalabani
Aya gani au Uislam upi unaosema Yesu alisulubiwa?
 
Soma vizuri nimesema Yesu hakufa msalabani,waislam wanaamini kuwa aliwekwa msalabani ni mtu mwengine,alikuwa sie Yesu(Isa),Bblia inamini Yesu hakufa msalabani ukisoma biblia Marko 16:11 " Lakini waliposikia kwamba Yesu yu hai na kwamba Mariamu alikuwa amemwona, hawakuamini"

Aliekuja na kuwambia kuwa Yesu amekufa msalabani na amekufa kwa madhambi yetu ni Paulo,lakini Isa mwenyewe hamna sehemu yeyeto ya biblia inayosema kuwa aliwambia wanaunzi wake kuwa yeye ni mungu wameabudu..

Kwa hiyo haya yanayofuatwa sasa hivi na wakristo ni mafunzo ya Paulo
Afadhali ungejikita kwenye ukristo tu ambao inaonekana unajua zaidi
 
Nafikiri hata Quran hujasoma. Though waislam mnafichwa sana ila Quran inatambua kuwa yesu ni Mungu maana ukisoma Quran imeandika Mungu aliumba kwa neno. Na Yesu ni neno la Mungu na roho ya Mungu sasa unabishana na Quran. Kasome kitabu chako vizuri na usipo elewa njoo kwa watu wenye maarifa kuwazidi ninyi watawaelewesha. Quran imewaagiza hivyo.
Kitabu changu nakijua vuzrui biblia naijua vizuri,hayo uliyoandika sivyo inavyosema Qurani..

Quran ina sema kuwa Yesu(Isa) ni masaya aliyeletwa kwa ajili ya wana wa Israel tu,Katika Quran Yesu katajwa mara 25 hamna hata mara moja iliyosema kuwa Yesu ni Mungu,Katika qurani Mungu anasema nimemuumba Isa kama nilivyomumba Adam katika

Surah ya Imran (quran 3:60) inasema "For God, the likeness of Jesus is as that of Adam,whom He created out of dust, then said to him, “Be,” and he was." - "Bila shaka hali ya Isa(Yesu) kwa mungu ni sawa na hali ya Adam,Alimuumba(Adamu) kwa udongo halafu kasema kuwa na ikawa)..haya ndio yalichoandikwa kwennye qurani kuhusu Isa(Yesu)

Kwa Mungu kila kitu kina wezekana kamuumba Adam bila ya mama wala baba,Kamuumba Yesu(Isa) bila ya baba,..Yesu mwenyewe kwenye biblia kamuomba mungu amnusuru asiwekwe msalabani

Luka 22:42 "Father, if you are willing, take this cup from me; yet not my will, but yours be done" - kiswahili cha kwaida "alisema “Baba(Mungu), kwa mapenzi yako, niondolee hiki kikombe cha mateso. si kwa mapenzi yangu,kama unataka haya yafanyike basi kwa mapenzi yako acha yafanyike.",hii ni dua Yesu alimuomba Mungu analipogundua kuwa waisrael wanataka kumuadhibu kwa kumuweka msalabani..

Kama Yesu(Isa) ni Mungu kwanini akamuomba Mungu amnusuru na hili janga la kuwekwa msalabani!!??
 
Afadhali ungejikita kwenye ukristo tu ambao inaonekana unajua zaidi
Mimi ni mwislam matatizo yako hufamu ninachokiandika,uislam unaamini kuwa Isa(Yesu) hakusulubiwa msalabani bali alipaa, Mungu alimpaisha mbiguni kumnusuru na ile adhabu,aliewekwa msalabani alikuwa sie Isa,Nabii Isa atarudi,duniani ikiwa ni moja ya ishara ya mwisho wa dunia,kuja kwake dunia atakuja kuwakataa wale wanaomuabudu kama mungu na wala nguruwe...

Hivyo ndio imani ya kiislam inavyosema...soma vizuri ninayoandika kabla huja "comments",
 
Aya gani au Uislam upi unaosema Yesu alisulubiwa?
Hamna sehemu niliyoandika kuwa Yesu(Isa) kasulubiwa msalabani soma vizuri inayoandika soma quran 4:157,sura an-nisa aya ya 157,inaelezea kuhusu kusulubiwa kwa Yesu(isa)..

Quran 4:157,sura an-nisa aya ya:-"Na kwa kusema kwao: Sisi tumemuuwa Masihi Isa, mwana wa Maryamu, Mtume wa Mwenyezi Mungu - nao hawakumuuwa wala hawakumsulubu, bali walifananishiwa tu. Na hakika walio khitalifiana katika haya wamo katika shaka nayo. Wao hawana ujuzi nayo wowote, ila ni kufuata dhana tu. Wala hawakumuuwa kwa yakini."
 
Aaah kwahiyo biblia ni injili iliyotafsiriwa??

Btw mbona version zote hizo??

wote hao inamaana kila mtu ametafsiri anavyojua yeye ndiyo maana ya tafsiri

Hiyo injili iliyoandikwa kigiriki ndiyo aliyokua anatumia yesu??

Na kama alikua anatumia yesu kwanini iwe kwa lugha ya kigiriki??

Naomba unieleweshe mkuu nami nipate hiyo elimu mkuu
Sijaelewa unavyosema biblia ni injili unamaanisha nn? But ninachoelewa injili ni vile vile vitabu vinavyohushu mafundisho ya Yesu pamoja na mitume ambavyo vinaanzia na kitabu cha mathayo mpaka vitabu vile vya Yohana ukitoa kitabu cha ufunuo. Pia wakati Yesu anaishi hapa duniani lugha iliokua inatumika ya kimataifa ilikua ni kigiriki ndio sababu vitabu vyote vya agano jipya vimeandikwa kwa kigiriki isipokua kitabu cha Mathayo ndo kiliandikwa kwa lugha ya kiebrania...Yesu alitumia maandishi ya kiebrania ambayo ni kuanzia kitabu cha mwanzo hadi malaki vitabu vya injili havikua vimeshaandikwa Yesu akiwa hapa duniani....kwaiyo unaposikia neno biblia hiyo inamaanisha mkusanyiko wa vitabu vyote kuanzia mwanzo mpaka ufunuo.
 
Pia biblia yoyote utakayoiona leo hiyo ni tafsiri yaani imetafsiriwa kutoka lugha ile ya asili yaan kiebrania,kigiriki na kiaram kidgo na kuletwa katika lugha tunazozielewa kama kiswahili,english,kifaransa na zingine nyingi.
 
Mkuu wewe elimu yako umeisomea chuo gani rasmi ?
Ninavyojua kuanzia shule za msingi hadi vyuoni vile vya kiserikali tunajifunza mambo yaliyogunduliwa na Wazungu, ya kwetu ni kidogo mno.
Nakutumia pm mkuu
 
Sijaelewa unavyosema biblia ni injili unamaanisha nn? But ninachoelewa injili ni vile vile vitabu vinavyohushu mafundisho ya Yesu pamoja na mitume ambavyo vinaanzia na kitabu cha mathayo mpaka vitabu vile vya Yohana ukitoa kitabu cha ufunuo. Pia wakati Yesu anaishi hapa duniani lugha iliokua inatumika ya kimataifa ilikua ni kigiriki ndio sababu vitabu vyote vya agano jipya vimeandikwa kwa kigiriki isipokua kitabu cha Mathayo ndo kiliandikwa kwa lugha ya kiebrania...Yesu alitumia maandishi ya kiebrania ambayo ni kuanzia kitabu cha mwanzo hadi malaki vitabu vya injili havikua vimeshaandikwa Yesu akiwa hapa duniani....kwaiyo unaposikia neno biblia hiyo inamaanisha mkusanyiko wa vitabu vyote kuanzia mwanzo mpaka ufunuo.
Biblia na Inijili ni vitabu viwili tafauti,..Biblia ni neno la kigiriki lenya maana "Maktaba",Biblia ni mkusanyika wa vitabu 77 kwa wale wenye imani ya kikatoliki na ni mksanyika wa vitabu 66 kwa wenye imani ya nyengine kama Protestant nk..

Yesu hajawahi kuandika kitabu hata kimoja,alikuwa anahubiri watu wanaandika anayohubiri,huu mfumo umefanywa na mitume yote,Hawa akina Matayo,Marko,John nk,na wao vile vile hawakuandika chochote katika kitabu cha biblia,..

kwani katika biblia wanasema biblia kwaniaba ya Matayo au kwaniaba ya Luka,kwa maana hiyo sio wao walioandika kuna mtu au watu wameandika,vitabu vya biblia vimeandikwa na zaidi ya watu 40 wasiojulikana(anonymous)

Injili ni mfundisho(gospel) ya Isa(yesu) ambayo yamepotea,Mungu kafanya hivyo makusudi,kwasababu alijua atatuma kitabu cha mwisho kwa mwanadamu,Biblia ni maandishi ya watu zaidi ya 40,yaliyoandikwa miaka 600 baada ya kifo cha Yesu..
 
Back
Top Bottom