makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
Ni kweli mie najua katika bible kuna upungufu mkubwa ila kipi kimekufanya uamini kuwa hicho kitabu ama muandishi ni mkweli na yuko sahihi!!???
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni ajabu mtu anakuja na hoja dhaifuUislam haufundishi hivyo, inasema mungu alimuokoa issa bin mariam kwa kuleta mtu anaefanana na issa, huyo ndio akasurubiwa na yesu akawa kaokolewa, na yu hai mpaka leo hii nafsi yake haijaonja umauti bado.
Kasome vizuri au msikilize ostadh maalim atakuwa kaelezea vizuri zaidi.
"wakitisto" "mkiriato" ndio akina nani hao ?Kama wakitisto wote wangekuwa wanajua ukwel wa mambo yalivyo ...tusingekuwa na mkiriato hata mmoja hapa ....wachache sana wenye kujua na hawasemi kwa maslah yao .....
Nipe email mkuuMkuu hebu nipasie mie hicho kitabu kabla ya kutoa neno langu.
Mkuu wewe elimu yako umeisomea chuo gani rasmi ?sijawahi kuwaamini wazungu
Sijui Freemason wanafata kitabu gani,lakini kwa mujibu wa Freemason,ukangalia kwenye website zao,na vitabu vyao hawa watu wanafata mafundisho ya kale ya Egypt,yaani kabla ya ujio wa Muhammad..Achana na kuran ni kitabu cha freemason
wametumezesha matango ili watubane vizuriMkuu wewe elimu yako umeisomea chuo gani rasmi ?
Ninavyojua kuanzia shule za msingi hadi vyuoni vile vya kiserikali tunajifunza mambo yaliyogunduliwa na Wazungu, ya kwetu ni kidogo mno.
Naomba uniwekee maneno hayo kuwa waislam wanakubaliana kuwa Nabii Issa alisulubiwa
Sijawahi kusoma popote
Uislam haufundishi hivyo, inasema mungu alimuokoa issa bin mariam kwa kuleta mtu anaefanana na issa, huyo ndio akasurubiwa na yesu akawa kaokolewa, na yu hai mpaka leo hii nafsi yake haijaonja umauti bado.
Kasome vizuri au msikilize ostadh maalim atakuwa kaelezea vizuri zaidi.
Nafikiri hata Quran hujasoma. Though waislam mnafichwa sana ila Quran inatambua kuwa yesu ni Mungu maana ukisoma Quran imeandika Mungu aliumba kwa neno. Na Yesu ni neno la Mungu na roho ya Mungu sasa unabishana na Quran. Kasome kitabu chako vizuri na usipo elewa njoo kwa watu wenye maarifa kuwazidi ninyi watawaelewesha. Quran imewaagiza hivyo.Soma vizuri nimesema Yesu hakufa msalabani,waislam wanaamini kuwa aliwekwa msalabani ni mtu mwengine,alikuwa sie Yesu(Isa),Bblia inamini Yesu hakufa msalabani ukisoma biblia Marko 16:11 " Lakini waliposikia kwamba Yesu yu hai na kwamba Mariamu alikuwa amemwona, hawakuamini"
Aliekuja na kuwambia kuwa Yesu amekufa msalabani na amekufa kwa madhambi yetu ni Paulo,lakini Isa mwenyewe hamna sehemu yeyeto ya biblia inayosema kuwa aliwambia wanaunzi wake kuwa yeye ni mungu wameabudu..
Kwa hiyo haya yanayofuatwa sasa hivi na wakristo ni mafunzo ya Paulo
Huoni hadi leo wanatuletea Bombadia ?wametumezesha matango ili watubane vizuri
Aya gani au Uislam upi unaosema Yesu alisulubiwa?Mkuu mimi ni mwislam lakini Rabai Isa aka Iso aka Jesus aka Yesu,hakuuliwa kwa kupigwa mawe hiii sikubaliano nayo,Kwa imani ya kiislam Yesu kweli alisulibiwa msalabani lakini hakufa,ukisoma biblia kuna sehemu nyingi zinazoeleza kuwa Yesu hakufa msalabanni..
Kweli biblia inamappungufu mengi,lakini hii ya Yesu kupigwa mawe mpaka kufa mpya,nitarudi na aya za biblia kuthibitishia kuwa yesu hakufa msalabani
Afadhali ungejikita kwenye ukristo tu ambao inaonekana unajua zaidiSoma vizuri nimesema Yesu hakufa msalabani,waislam wanaamini kuwa aliwekwa msalabani ni mtu mwengine,alikuwa sie Yesu(Isa),Bblia inamini Yesu hakufa msalabani ukisoma biblia Marko 16:11 " Lakini waliposikia kwamba Yesu yu hai na kwamba Mariamu alikuwa amemwona, hawakuamini"
Aliekuja na kuwambia kuwa Yesu amekufa msalabani na amekufa kwa madhambi yetu ni Paulo,lakini Isa mwenyewe hamna sehemu yeyeto ya biblia inayosema kuwa aliwambia wanaunzi wake kuwa yeye ni mungu wameabudu..
Kwa hiyo haya yanayofuatwa sasa hivi na wakristo ni mafunzo ya Paulo
Kitabu changu nakijua vuzrui biblia naijua vizuri,hayo uliyoandika sivyo inavyosema Qurani..Nafikiri hata Quran hujasoma. Though waislam mnafichwa sana ila Quran inatambua kuwa yesu ni Mungu maana ukisoma Quran imeandika Mungu aliumba kwa neno. Na Yesu ni neno la Mungu na roho ya Mungu sasa unabishana na Quran. Kasome kitabu chako vizuri na usipo elewa njoo kwa watu wenye maarifa kuwazidi ninyi watawaelewesha. Quran imewaagiza hivyo.
Mimi ni mwislam matatizo yako hufamu ninachokiandika,uislam unaamini kuwa Isa(Yesu) hakusulubiwa msalabani bali alipaa, Mungu alimpaisha mbiguni kumnusuru na ile adhabu,aliewekwa msalabani alikuwa sie Isa,Nabii Isa atarudi,duniani ikiwa ni moja ya ishara ya mwisho wa dunia,kuja kwake dunia atakuja kuwakataa wale wanaomuabudu kama mungu na wala nguruwe...Afadhali ungejikita kwenye ukristo tu ambao inaonekana unajua zaidi
Hamna sehemu niliyoandika kuwa Yesu(Isa) kasulubiwa msalabani soma vizuri inayoandika soma quran 4:157,sura an-nisa aya ya 157,inaelezea kuhusu kusulubiwa kwa Yesu(isa)..Aya gani au Uislam upi unaosema Yesu alisulubiwa?
Sijaelewa unavyosema biblia ni injili unamaanisha nn? But ninachoelewa injili ni vile vile vitabu vinavyohushu mafundisho ya Yesu pamoja na mitume ambavyo vinaanzia na kitabu cha mathayo mpaka vitabu vile vya Yohana ukitoa kitabu cha ufunuo. Pia wakati Yesu anaishi hapa duniani lugha iliokua inatumika ya kimataifa ilikua ni kigiriki ndio sababu vitabu vyote vya agano jipya vimeandikwa kwa kigiriki isipokua kitabu cha Mathayo ndo kiliandikwa kwa lugha ya kiebrania...Yesu alitumia maandishi ya kiebrania ambayo ni kuanzia kitabu cha mwanzo hadi malaki vitabu vya injili havikua vimeshaandikwa Yesu akiwa hapa duniani....kwaiyo unaposikia neno biblia hiyo inamaanisha mkusanyiko wa vitabu vyote kuanzia mwanzo mpaka ufunuo.Aaah kwahiyo biblia ni injili iliyotafsiriwa??
Btw mbona version zote hizo??
wote hao inamaana kila mtu ametafsiri anavyojua yeye ndiyo maana ya tafsiri
Hiyo injili iliyoandikwa kigiriki ndiyo aliyokua anatumia yesu??
Na kama alikua anatumia yesu kwanini iwe kwa lugha ya kigiriki??
Naomba unieleweshe mkuu nami nipate hiyo elimu mkuu
Pia biblia yoyote utakayoiona leo hiyo ni tafsiri yaani imetafsiriwa kutoka lugha ile ya asili yaan kiebrania,kigiriki na kiaram kidgo na kuletwa katika lugha tunazozielewa kama kiswahili,english,kifaransa na zingine nyingi.Sijaelewa unavyosema biblia ni injili unamaanisha nn? But ninachoelewa injili ni vile vile vitabu vinavyohushu mafundisho ya Yesu pamoja na mitume ambavyo vinaanzia na kitabu cha mathayo mpaka vitabu vile vya Yohana ukitoa kitabu cha ufunuo. Pia wakati Yesu anaishi hapa duniani lugha iliokua inatumika ya kimataifa ilikua ni kigiriki ndio sababu vitabu vyote vya agano jipya vimeandikwa kwa kigiriki isipokua kitabu cha Mathayo ndo kiliandikwa kwa lugha ya kiebrania...Yesu alitumia maandishi ya kiebrania ambayo ni kuanzia kitabu cha mwanzo hadi malaki vitabu vya injili havikua vimeshaandikwa Yesu akiwa hapa duniani....kwaiyo unaposikia neno biblia hiyo inamaanisha mkusanyiko wa vitabu vyote kuanzia mwanzo mpaka ufunuo.
Nakutumia pm mkuuMkuu wewe elimu yako umeisomea chuo gani rasmi ?
Ninavyojua kuanzia shule za msingi hadi vyuoni vile vya kiserikali tunajifunza mambo yaliyogunduliwa na Wazungu, ya kwetu ni kidogo mno.
Biblia na Inijili ni vitabu viwili tafauti,..Biblia ni neno la kigiriki lenya maana "Maktaba",Biblia ni mkusanyika wa vitabu 77 kwa wale wenye imani ya kikatoliki na ni mksanyika wa vitabu 66 kwa wenye imani ya nyengine kama Protestant nk..Sijaelewa unavyosema biblia ni injili unamaanisha nn? But ninachoelewa injili ni vile vile vitabu vinavyohushu mafundisho ya Yesu pamoja na mitume ambavyo vinaanzia na kitabu cha mathayo mpaka vitabu vile vya Yohana ukitoa kitabu cha ufunuo. Pia wakati Yesu anaishi hapa duniani lugha iliokua inatumika ya kimataifa ilikua ni kigiriki ndio sababu vitabu vyote vya agano jipya vimeandikwa kwa kigiriki isipokua kitabu cha Mathayo ndo kiliandikwa kwa lugha ya kiebrania...Yesu alitumia maandishi ya kiebrania ambayo ni kuanzia kitabu cha mwanzo hadi malaki vitabu vya injili havikua vimeshaandikwa Yesu akiwa hapa duniani....kwaiyo unaposikia neno biblia hiyo inamaanisha mkusanyiko wa vitabu vyote kuanzia mwanzo mpaka ufunuo.