Mfanyakazi wa Serikali: NDIO
Una 6th Sense: Hakuna ambaye hana, unatakiwa ujue tu namna ya kuitumia (ufundwe kwenye hilo)
Wewe mtu wa usalama??: Sijaelewa una maana gani??? Unamaanisha Tiss au??
Oparesheni Bravo 0: nikujibu hapa kwenye uzi huu?? Au intelligence??
Does you wife know who you really are??: Yes... Nifah knows me A-Z.! We don't have secrets
3. Mkuu hili swali la kwa nini mimi nadhani jibu zuri wanalo wao. Mimi jukumu langu lilikuwa ni kutoa maoni yangu tu... Nimefanya hivyoJapo kuwa STUNTER hajakuuliza maswali ya maana saana hasa deep kwa mtu wa level yako, watu kama nyie mna maswali yenu bwaanaaa, mambo ya kiungo sijui usichokipenda sijui mbuzi kwenye gunia hayo ni ya kina mond na wema, BTW amejitahidi kukuvuta hapa kwakuwa bold alikuwa anaonekana katika makala au andishi lake tu, Leo kujumuika hapa aiseee mungu mkubwa, ni sawa na diamond akafanye show ya bure uwanja wa taifa,
Ok labda mm niulize maswali yangu matatu tu ambayo sijaridhika nayo.
1. Ningependa kujua elimu yako stage kwa stage kama fundi wa tanesco anavopanda ngazi zake kumfungia mteja mpya umeme, [emoji3][emoji3][emoji3] from vidudu- ------++
2. Umesema umeanza kutumikia taifa tangu upo shule, JE KIVIPI? Kuna ukakasi nauona hapa ukizingatia na umri wako sio kivileee hadi tukuweke katka list ya waliosoma kipindi cha mwalimu....
Tungependa utuambie ni kazi gani hiyo najua unaendelea nayo, kazi gani kwa serikali gani ya kukufanya ulale hadi saa 3/4 asubuhi?
3. Hili linaweza tegemeana na swali la pili kiasi fulani, kuhusu kibiti umesema kuwa wahusika walikufuata kukuomba ushauri how? Waache mawaziri wastaafu, wabunge wa upinzani mbali na kufuatwa hawaruhisiwi hata kuzungumzia hiyo kitu. Kwanini wew?
Inatosha kwa sasa nikikumbuka jambo nitauliza tena
Cc The bold
Inatosha kwa sasa nikikumbuka jambo nitauliza tena
Cc The bold
shukranNimesoma Sayansi... PCB
Just ndio au hapana naona Maelezo mengi anyway inatosha lknMfanyakazi wa Serikali: NDIO
Una 6th Sense: Hakuna ambaye hana, unatakiwa ujue tu namna ya kuitumia (ufundwe kwenye hilo)
Wewe mtu wa usalama??: Sijaelewa una maana gani??? Unamaanisha Tiss au??
Oparesheni Bravo 0: nikujibu hapa kwenye uzi huu?? Au intelligence??
Does you wife know who you really are??: Yes... Nifah knows me A-Z.! We don't have secrets
Umejibu mkuuSijui nimejibu maswali?
Ha ha ha haaaa, Umejibu vyema kabisa.2. Ukakasi unakujaje Mkuu?? Mtumishi yeyote wa serikali anatumikia Taifa... Chuoni nilipewa mchongo flani tu hivi... Hakuna la kuogofya...
Naamka saa 3/4 kwa sababu nachelewa sana kulala 7/8... Naandika
Nilitegemea majibu ya kisungura kama haya. [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]2. Ukakasi unakujaje Mkuu?? Mtumishi yeyote wa serikali anatumikia Taifa... Chuoni nilipewa mchongo flani tu hivi... Hakuna la kuogofya...
Naamka saa 3/4 kwa sababu nachelewa sana kulala 7/8... Naandika
Ndio maana nimecheka sana niliposoma lile jibu.Nilitegemea majibu ya kisungura kama haya. [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
ElviceJunior
Ahsante sana mkuuNilitegemea majibu ya kisungura kama haya. [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
ElviceJunior
Ok serikali kubwa mkuu ni position ipi hiyo unayofanyia kazi?2. Ukakasi unakujaje Mkuu?? Mtumishi yeyote wa serikali anatumikia Taifa... Chuoni nilipewa mchongo flani tu hivi... Hakuna la kuogofya...
Naamka saa 3/4 kwa sababu nachelewa sana kulala 7/8... Naandika
Usijali mkuu, wajanja tushapata hata pakuanzia kwa Leo inatosha, acha nisome3. Mkuu hili swali la kwa nini mimi nadhani jibu zuri wanalo wao. Mimi jukumu langu lilikuwa ni kutoa maoni yangu tu... Nimefanya hivyo
Somehow [emoji26] [emoji26] [emoji26] [emoji26] ila sio kivileeeee hujakata kiu changuSijui nimejibu maswali?
Haswaaa mkuu nikupe siri ndogo tu nyie hamumfaidi huyu mtu, najivunia kuwa nae karibu aisee!Ahsante sana mkuu
Huyu mkuu The bold ana kitu chs ziada kichwani [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] (Jokes)
Something is wrong with u broI don't think so dude.[emoji23] [emoji23]
Mi maswali yangu ya ki MMU zaidi lol..
1. sisi binadam tunafanya mambo ambayo kuna siku tunawish if we could have the chance to make things right.. je kwa wewe if you could redo any past moment what would it be??
2.Tell us what turns you on about your cheupe(wifi).. anything she does either during sex or life in general...
Real madrid die hard too![emoji4][emoji173]Football.! Real Madrid die hard...
Bongo sina timu, siasa nyingi!! Mpira unachezwa kwenye vijiwe vya kahawa... Kwa hiyo hata kichuya sijui anachezea timu gani