The Bold Interview: Maisha, Intelijensia na mengi usiyoyajua

The Bold Interview: Maisha, Intelijensia na mengi usiyoyajua

Status
Not open for further replies.
Nataka kujua zaidi kuhusu hiyo 6th sense

Mfanyakazi wa Serikali: NDIO


Una 6th Sense: Hakuna ambaye hana, unatakiwa ujue tu namna ya kuitumia (ufundwe kwenye hilo)


Wewe mtu wa usalama??: Sijaelewa una maana gani??? Unamaanisha Tiss au??


Oparesheni Bravo 0: nikujibu hapa kwenye uzi huu?? Au intelligence??


Does you wife know who you really are??: Yes... Nifah knows me A-Z.! We don't have secrets
 
Japo kuwa STUNTER hajakuuliza maswali ya maana saana hasa deep kwa mtu wa level yako, watu kama nyie mna maswali yenu bwaanaaa, mambo ya kiungo sijui usichokipenda sijui mbuzi kwenye gunia hayo ni ya kina mond na wema, BTW amejitahidi kukuvuta hapa kwakuwa bold alikuwa anaonekana katika makala au andishi lake tu, Leo kujumuika hapa aiseee mungu mkubwa, ni sawa na diamond akafanye show ya bure uwanja wa taifa,
Ok labda mm niulize maswali yangu matatu tu ambayo sijaridhika nayo.

1. Ningependa kujua elimu yako stage kwa stage kama fundi wa tanesco anavopanda ngazi zake kumfungia mteja mpya umeme, [emoji3][emoji3][emoji3] from vidudu- ------++

2. Umesema umeanza kutumikia taifa tangu upo shule, JE KIVIPI? Kuna ukakasi nauona hapa ukizingatia na umri wako sio kivileee hadi tukuweke katka list ya waliosoma kipindi cha mwalimu....
Tungependa utuambie ni kazi gani hiyo najua unaendelea nayo, kazi gani kwa serikali gani ya kukufanya ulale hadi saa 3/4 asubuhi?

3. Hili linaweza tegemeana na swali la pili kiasi fulani, kuhusu kibiti umesema kuwa wahusika walikufuata kukuomba ushauri how? Waache mawaziri wastaafu, wabunge wa upinzani mbali na kufuatwa hawaruhisiwi hata kuzungumzia hiyo kitu. Kwanini wew?

Inatosha kwa sasa nikikumbuka jambo nitauliza tena
Cc The bold
3. Mkuu hili swali la kwa nini mimi nadhani jibu zuri wanalo wao. Mimi jukumu langu lilikuwa ni kutoa maoni yangu tu... Nimefanya hivyo
 
Mfanyakazi wa Serikali: NDIO


Una 6th Sense: Hakuna ambaye hana, unatakiwa ujue tu namna ya kuitumia (ufundwe kwenye hilo)


Wewe mtu wa usalama??: Sijaelewa una maana gani??? Unamaanisha Tiss au??


Oparesheni Bravo 0: nikujibu hapa kwenye uzi huu?? Au intelligence??


Does you wife know who you really are??: Yes... Nifah knows me A-Z.! We don't have secrets
Just ndio au hapana naona Maelezo mengi anyway inatosha lkn
 
2. Ukakasi unakujaje Mkuu?? Mtumishi yeyote wa serikali anatumikia Taifa... Chuoni nilipewa mchongo flani tu hivi... Hakuna la kuogofya...

Naamka saa 3/4 kwa sababu nachelewa sana kulala 7/8... Naandika
Ha ha ha haaaa, Umejibu vyema kabisa.
 
Mkuu The bold unahisi kuna tofauti gani kati ya intelligence ya Tanzania uki compare na za nchi zingine kama USA n.k?
Unahisi nini kinafeli kati shughuli nzima za ki intelijensia za Nchini mwetu?
Kipi kifanyike walau waweze kufikia level ya hao walioendelea mfano FBI n.k
Shukran.
 
Mi maswali yangu ya ki MMU zaidi lol..

1. sisi binadam tunafanya mambo ambayo kuna siku tunawish if we could have the chance to make things right.. je kwa wewe if you could redo any past moment what would it be??

2.Tell us what turns you on about your cheupe(wifi).. anything she does either during sex or life in general...

Mmmhh my sista from another mother... Haya maswali kuntu hahaha


1. Nimeeleza kuwa nilipata mchongo kwa serikali kipindi niko chuo Mzumbe... Kuna jamaa flani, Lecturer ndio aliniconnect kwenye hiyo mishe anaitwa Leonard (not his real name, trying to conceal his identity)... Over time dizaini ndio akawa kama 'Mentor' wangu... Nilijifunza a lot of thing from him... Yani nahisi alisaidia kushape my mind and the way I think na personality...

Now ilikuja kipindi akawa anaumwa... Alipata tatizo la kidneys... Alizidiwa sana sana to the point akwa anashindwa kutimiza majukumu yake... So I had to help him kutimiza majukumu yake fulani fulani ya kikazi...

Kuna siku alipata nafuu kabisa tukahisi anapona sasa...

Kulikuwa na trip flani hivi kwenda mwanza alikuwa anatakiwa aende... So nikasema sio kesi ngoja niende kwa niaba yake... But jamaa akawa ananisisitiza kuwa potezea bhana... Pumzika... Live a little, kazi ipo tu... But I was overzealous, too ambitious... Wanted to impress Tue bosses... So I made that trip... But nilipokuwa naondoka akaniambia "..khabib usichelewe mwanangu... There is something real important I need to share with you.!"

Nikiwa mwanza huku nyuma jamaa akazidiwa sana ikabidi mpaka achukuliwe na ambulance kutoka Mzumbe chuo mpaka Muhimbili...

Akiwa muhimbili familia yale wakanipigia... Wanasema "rudi fasta mzee anataka kuongea na wewe!"

Kesho yake nikafunga safari kutoka mwanza to dar... Nikiwa njiani mzee akafariki...

Mpaka leo nikikumbuka hili suala linanipa tabu sana... Alikuwa anataka kuniambia nini??? Kwenye pumzi yake ya mwisho alikuwa na secret ambayo alihisi ni mimi anapaswa kunieleza what was it???

That's my biggest regret kwenye maisha... I should'nt have made that trip to mwanza... I shouldnt have been overzealous namna ile...

Will never get a chance kujua hicho kitu!! Mbaya sana kuishi na feeling ya namna hiyo...
 
Football.! Real Madrid die hard...

Bongo sina timu, siasa nyingi!! Mpira unachezwa kwenye vijiwe vya kahawa... Kwa hiyo hata kichuya sijui anachezea timu gani
Real madrid die hard too![emoji4][emoji173]
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom