Eish eish This is so DEEP - it came too late
Kwanza nikupongeze mkuu sana
The bold. Si kwasababu unajua sana kututeka akili ktk makala zako, hapana!! Bali nikupongeze katika kupambana kwako kutengeneza jina
Person branding. That's the most difficult thing I may say - kwa sababu through the process unapata maadui wengi sana, sana, sana,for no any tangible reason. Naamini Bold umepata haters wengi - just because u can write and rewrite. So swali langu la kwanza ni 1.
How do you deal with haters (usinambie unanyamazaga hahaa)
Mimi nilikua siandiki sana hapa JF - apparently nilikua naichikulia JF so second rated. Sikua nawaza kama nitakua napost post vitu, hata sikua nawaza kama JF itaeza kua inanichukulia muda... But kwasasa nahisi JF napita kuliko medias zingine zile when I am free. Na JF naipa tu heshima yake unconditionally kuweza kusimama hadi leo, coz najua wanatafutwa sana na watawala. Lkn JF hii hii ambayo mimi naikubali ilikuaje, kivipi
ikakumistreat wewe bold. Kuna kipindi uliingia mzozo ukachezea ban za hapa na pale.
Like The Bold alifanya nini hata apate kupishana na uingozi wa JF?!
Bold kuna siku nilikua naongea na Nifah whatsapp (sijui kama alikwambia). And actually kitu ambacho nilikua namwambia ni kua nataka kuandika uzi kuhusu huyu The Bold. Ni vile ubusy hata sasa sijaandika huo uzi. Presumably huo uzi nilitaka nigusie The business part ya kipaji ukichonacho... what I see and what I think. Mi naona unatembea na utajiri mkubwa sana juu ya kichwa chako... swali la 3 na la mwisho - as for now until now umeshawahi kufikiria kuturn kipaji chako kua a money printing machine... unaona kina messi na Ronaldo, they were just ordinary local players wakiwa na pesa miguuni mwao - leo wapo kwenye clubs kubwa wanaprint tu pesa watakavyo... vipi kuhusu hilo/wewe??
Kuna post nimeziruka, kama ulishajibu huko nyuma u may as well ignore my qns. Nitapitia uzi pole pole.
Zaidi ya yote nikupongeze sana mkuu the bold kwa kujua kututeka, maana si kwa sumu hizi unazotulisha, japo sijasoma threads hizi mpya mpya - lkn naamini mpk huu mwezi uishe ntakua nimepitia post zote. Hongera sana Sheikh Khabib!!