Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nasoma sana vitabu... Sana sana!what about your hobbies & pastimes? what kind of entertainment do u prefer?
Kaka karibu sana Tambaza sec japo kuja kuwaispire vijana nipo Mjuni Florida Ave Giheri Mama Minja Kyense wapo njoo japo utusalimie1. Nimanza darasa la kwanza shule ya Msingi Kizuiani (Mbagala)... Nilipofika darasa la tatu Nilienda kusoma Lindi, Shule ya Msingu Stadium... Hapo nimesoma mpaka la tano nikaenda kusoma Shule ya Msingi Mzumbe, Morogoro.
O'Level Nimesoma Kibaha Boys Sec School...
Advance nimesoma Tambaza High School - PCB
Chuo nimesoma Mzumbe University, Uchumi
Nakuja kujibu swali la pili...
Hawezi kutufanya koloni...Kuna muda urafiki wa Tanzania na Rwanda uliingia mashakani kiasi kwamba tulianza kusikia maneno na vijigambo kutoka kwa jirani yenu Rwanda kuhusu Tanzania lakini leo hii serikali mpya imemafanya huyu mtu ambaye mimi namuita kama ni adui namba 1 ukiachilia Kenya kwa usalama na ustawi wa Tanzani.
Kwa jicho la kiintelijensi, Unazungumziaje urafiki wetu na huyu bwana. Je, ni wa heri au ametusogeza ili akamirishe mkakati wake wa kutaka kutufanya koloni lake?
CC The Bold.
Jibu limejitosheleza mkuu, umenipa nilichokuwa nakihitaji au kukihisi,The Bold...
Nilisahili hii ID nikiwa ndio namalizia malizia chuo... Kwa muda huo nilikuwa nasoma na huku nina majukumu mengine makubwa mawili... Ya kijamii
So at some point nilikuwa natamani nidrop jukumu walau moja... Labda nihairishe mwaka chuoni nikomae na mishe hizo au niachane na hizo mambo nimalize chuo... bcoz the job was very demanding
But nikawa najirariji kuwa nikomae nayo yote coz "fortune favours the bold" (watu majasiri ndio wanaofanikiwa)
Huo msemo ulinikaa sana kichwa... Kila siku najifariji nao... "Fortune favours the bold"
So nilipotaka kujisajili... Neno la karibu ambalo lilikuwa linakuja kichwani ni The Bold... Coz i was bold enough kufanya majukumu mazito vile nikiwa chuo bado
Hawezi kutufanya koloni...
Nadhani anajiweka karibu ili anufaike na favours fulani fulani...
Na muheshimiwa wetu kutokana na mitazamo na misimamo yake ya kutojiweka karibu na magharibi nahisi anajaribu kujifunza ni namna gani kagame ameweza kuwavimbie westerners miaka yote na bado amebaki imara
Hii natamani nijibu kwa kirefu sana...
Baada ya ugomvi wetu kuisha (sijui hata uliishaje) na kuanza 'kudalizana dalizana' kwenye threads tukaamia PM...
Daaaahh ndugu yangu nilitupa mawe mwezi mzima mtoto anachomoa... Baadae nikawa namuona anaanza kuelekea kabisa lakini wapi haniambii live ile
Kumbe bhana kuna uzi fulani huko wa 2013 jukwaa la matangazo kuna mtu tulikuwa tunafanya biashara nikaweka namba ya simu, bibie alifukunyua akaipata namba...
So mwezi mzima ananisoma nyendo zangu WhatsApp... Yani DP ninazoweka, status etc...
So sikuwenyewe namtumia Picha zangu PM kwa mbwembwe kabisa ndio ananichana kuwa "acha mbwembwe nakujua bold" [emoji23] [emoji23]
So na yeye akanitumia za kwake mambo yakawa muswani kabisa...
Siku ya kwanza kuonana ofcoz ile nervousness lazima iwepo kiasi fulani... But uzuri tulikuwa tunaongea sana sana... Zile kama watoto wa sekondari... Naweza kumpigia simu saa tano usiku tukamaliza kuongea
Dah, nimeipenda
Nimekuelewa mentorSikushindwa kufanya hivo mkuu, je hujui kuhisi pia ni dhambi? Kwanini niipate dhambi hiyo ikiwa muhusika yupo na yupo tayari kujibu maswali?
Mkuu humu vijana wengi ni wadogo. Wakti mwingine kua makini usijikute unabishana na wanao.2006 huu Mwaka nikiwa udsm Mwaka wa kwanza