The Bold Interview: Maisha, Intelijensia na mengi usiyoyajua

The Bold Interview: Maisha, Intelijensia na mengi usiyoyajua

Status
Not open for further replies.
what about your hobbies & pastimes? what kind of entertainment do u prefer?
 
Tunashukuru sana mkuu the Bold lakini bado tunasubiri kapicha!
 
what about your hobbies & pastimes? what kind of entertainment do u prefer?
Nasoma sana vitabu... Sana sana!

Sio kwa sababu ya kujielimisha tu, la hasha... Ni hobby pia

Yani mfano ukienda mbele alafu ukaniletea kitabu ambacho labda siwezi kukipata kwenye bookshops hapa Bongo nitakushukuru kuliko ukiniletea 'raba Kali'

Pia napenda sana kuangalia sinema
 
Mkuu The Bold Kwa mujibu wa maelezo yako na flow nzima ya Elimu yako inaonesha kidato cha Sita umemaliza 2010...Kwa kumbukumbu zangu Darasa la PCB 2010 Tambaza sikumbuki kuwapo kwa jina Khabib
Unalizungumzia hili vp?
 
1. Nimanza darasa la kwanza shule ya Msingi Kizuiani (Mbagala)... Nilipofika darasa la tatu Nilienda kusoma Lindi, Shule ya Msingu Stadium... Hapo nimesoma mpaka la tano nikaenda kusoma Shule ya Msingi Mzumbe, Morogoro.


O'Level Nimesoma Kibaha Boys Sec School...

Advance nimesoma Tambaza High School - PCB


Chuo nimesoma Mzumbe University, Uchumi

Nakuja kujibu swali la pili...
Kaka karibu sana Tambaza sec japo kuja kuwaispire vijana nipo Mjuni Florida Ave Giheri Mama Minja Kyense wapo njoo japo utusalimie
 
Kuna muda urafiki wa Tanzania na Rwanda uliingia mashakani kiasi kwamba tulianza kusikia maneno na vijigambo kutoka kwa jirani yenu Rwanda kuhusu Tanzania lakini leo hii serikali mpya imemafanya huyu mtu ambaye mimi namuita kama ni adui namba 1 ukiachilia Kenya kwa usalama na ustawi wa Tanzani.

Kwa jicho la kiintelijensi, Unazungumziaje urafiki wetu na huyu bwana. Je, ni wa heri au ametusogeza ili akamirishe mkakati wake wa kutaka kutufanya koloni lake?

CC The Bold.
Hawezi kutufanya koloni...

Nadhani anajiweka karibu ili anufaike na favours fulani fulani...

Na muheshimiwa wetu kutokana na mitazamo na misimamo yake ya kutojiweka karibu na magharibi nahisi anajaribu kujifunza ni namna gani kagame ameweza kuwavimbie westerners miaka yote na bado amebaki imara
 
The Bold...

Nilisahili hii ID nikiwa ndio namalizia malizia chuo... Kwa muda huo nilikuwa nasoma na huku nina majukumu mengine makubwa mawili... Ya kijamii

So at some point nilikuwa natamani nidrop jukumu walau moja... Labda nihairishe mwaka chuoni nikomae na mishe hizo au niachane na hizo mambo nimalize chuo... bcoz the job was very demanding

But nikawa najirariji kuwa nikomae nayo yote coz "fortune favours the bold" (watu majasiri ndio wanaofanikiwa)

Huo msemo ulinikaa sana kichwa... Kila siku najifariji nao... "Fortune favours the bold"

So nilipotaka kujisajili... Neno la karibu ambalo lilikuwa linakuja kichwani ni The Bold... Coz i was bold enough kufanya majukumu mazito vile nikiwa chuo bado
Jibu limejitosheleza mkuu, umenipa nilichokuwa nakihitaji au kukihisi,
Nikutakie usiku mwema ( hapa lakini ila nyumbani kama kawa) , sikuwa na mpango wa kuingia jf kwa siku ya Leo ila link yako uliyonitumia ndio kichocheo cha kukaa humu muda wote huu!
Kabla sijasahau nimependa majibu uliyoyajibu humu hujatoka nje ya key [emoji3][emoji3] nilikuwa nakutaget angalau nione ukitetereka ila umenionesha ukomavu wako kiasi kwamba nahisi ulimkodi STUNTER na huu Uzi wake, ila umeniumbua baadaya kunijibu kiufasaha kabisaa...
Good luck
Najua unatambua kiu yangu kwako! Ongeza connection!
Mungu yu pamoja nawe
 
Hawezi kutufanya koloni...

Nadhani anajiweka karibu ili anufaike na favours fulani fulani...

Na muheshimiwa wetu kutokana na mitazamo na misimamo yake ya kutojiweka karibu na magharibi nahisi anajaribu kujifunza ni namna gani kagame ameweza kuwavimbie westerners miaka yote na bado amebaki imara


Asante mkuu.
 
Mkuu The Bold mi nakushukuru kwa kujibu maswali yangu kwa ustadi wa hali ya juu. ila naomba nione movie au nisome kitabu chako kabla sijafa.
 
Hii natamani nijibu kwa kirefu sana...

Baada ya ugomvi wetu kuisha (sijui hata uliishaje) na kuanza 'kudalizana dalizana' kwenye threads tukaamia PM...

Daaaahh ndugu yangu nilitupa mawe mwezi mzima mtoto anachomoa... Baadae nikawa namuona anaanza kuelekea kabisa lakini wapi haniambii live ile

Kumbe bhana kuna uzi fulani huko wa 2013 jukwaa la matangazo kuna mtu tulikuwa tunafanya biashara nikaweka namba ya simu, bibie alifukunyua akaipata namba...

So mwezi mzima ananisoma nyendo zangu WhatsApp... Yani DP ninazoweka, status etc...

So sikuwenyewe namtumia Picha zangu PM kwa mbwembwe kabisa ndio ananichana kuwa "acha mbwembwe nakujua bold" [emoji23] [emoji23]


So na yeye akanitumia za kwake mambo yakawa muswani kabisa...


Siku ya kwanza kuonana ofcoz ile nervousness lazima iwepo kiasi fulani... But uzuri tulikuwa tunaongea sana sana... Zile kama watoto wa sekondari... Naweza kumpigia simu saa tano usiku tukamaliza kuongea

Dah, nimeipenda
 
Ukiwa kama mtunzi mahiri wa hadithi na makala mbalimbali, ungependa kushauri nini kwenye tasnia ya filamu hapa nchini kwetu (Bongo movie) ili waweze kufanikiwa, na unahisi ni wapi wanakosea?
 
unafikiri ni kitu gani kimechangia uwezo wako katika uandishi ...ni vitabu au movies.
 
Eish eish This is so DEEP - it came too late

Kwanza nikupongeze mkuu sana The bold. Si kwasababu unajua sana kututeka akili ktk makala zako, hapana!! Bali nikupongeze katika kupambana kwako kutengeneza jina Person branding. That's the most difficult thing I may say - kwa sababu through the process unapata maadui wengi sana, sana, sana,for no any tangible reason. Naamini Bold umepata haters wengi - just because u can write and rewrite. So swali langu la kwanza ni 1. How do you deal with haters (usinambie unanyamazaga hahaa)

Mimi nilikua siandiki sana hapa JF - apparently nilikua naichikulia JF so second rated. Sikua nawaza kama nitakua napost post vitu, hata sikua nawaza kama JF itaeza kua inanichukulia muda... But kwasasa nahisi JF napita kuliko medias zingine zile when I am free. Na JF naipa tu heshima yake unconditionally kuweza kusimama hadi leo, coz najua wanatafutwa sana na watawala. Lkn JF hii hii ambayo mimi naikubali ilikuaje, kivipi ikakumistreat wewe bold. Kuna kipindi uliingia mzozo ukachezea ban za hapa na pale. Like The Bold alifanya nini hata apate kupishana na uingozi wa JF?!

Bold kuna siku nilikua naongea na Nifah whatsapp (sijui kama alikwambia). And actually kitu ambacho nilikua namwambia ni kua nataka kuandika uzi kuhusu huyu The Bold. Ni vile ubusy hata sasa sijaandika huo uzi. Presumably huo uzi nilitaka nigusie The business part ya kipaji ukichonacho... what I see and what I think. Mi naona unatembea na utajiri mkubwa sana juu ya kichwa chako... swali la 3 na la mwisho - as for now until now umeshawahi kufikiria kuturn kipaji chako kua a money printing machine... unaona kina messi na Ronaldo, they were just ordinary local players wakiwa na pesa miguuni mwao - leo wapo kwenye clubs kubwa wanaprint tu pesa watakavyo... vipi kuhusu hilo/wewe??

Kuna post nimeziruka, kama ulishajibu huko nyuma u may as well ignore my qns. Nitapitia uzi pole pole.

Zaidi ya yote nikupongeze sana mkuu the bold kwa kujua kututeka, maana si kwa sumu hizi unazotulisha, japo sijasoma threads hizi mpya mpya - lkn naamini mpk huu mwezi uishe ntakua nimepitia post zote. Hongera sana Sheikh Khabib!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom