The Bold Interview: Maisha, Intelijensia na mengi usiyoyajua

Status
Not open for further replies.
We need to modernise our intelligence machinery... Bado kwa asilimia kubwa haiendani na kasi ya karne ya 21...

Wanausalama wetu they have to work twice as hard kufikia lengo...

Pia majukumu ya TISS yapunguzwe kwa kuundwa Idara dada za Usalama ambazo zinajitegemea...

Kwa sasa Tiss na polisi wanamajukumu mengi mno... Mfano masuala ya counterterrorism hayako sawia ni nani hasa anapaswa kuyatekeleza... Matokea yake Tiss wanabebeshwa mzigo mkubwa ambao muda mwingi unavuka mpaka malengo ya kuanzishwa kwake...

Kuwe na Idara nyingine mahususi za masuala ya Intelijensia...

Kwenye jeshi... Kitengo MI (Military Intelligence) ipewe mikono zaidi ya kufanya mambo bila urasimu wa kiprotokali... Ikiwezekana iwe-rebranded hata ijitegemee na kubadilishwa jina na jeshini wabaki na MI ya kwao (ambayo haitakuwa hii mpya)

Pia ni vyema ikaanzishwa ofisi ya National Director of Intelligence... Sio mkurugenzi wa Tiss... Mkurugenzi wa Tiss abakie vile vile kama DG wa TISS... Huyu ni National Director of Intelligence (Au tunaweza kuita vingine) hii ofisi ndio ambapo masuala yote ya Intelijensia watakuwa wanayachakata na kuyawasilisha mahala husika... (Mfano kwa rais)

Hii itasaidia kuwa na flow coordination nzuri ya Intelijensia kutoka vyombo vyote... Tiss, polisi, jeshi na vingine ambavyo nahisi ni vyema vianzishwe...

Lakini pia itaondoa hii kasumba ya Rais kuwa Sponsor wa mashushushu wote... Rais ni mwanasiasa na binadamu... Kufanya yeye kuwa Sponsor wa Tiss inaweza kuleta mgongano wa kimaslahi ya taifa na maslahi yake...

Ni vyema huyu National Director of Intelligence ndio awe anatoa briefing zote za Intelijensia kwa Rais kutoka Idara na vitengo vyoye vya ushushu...

Kuna changamoto kubwa sana ya coordination ya taarifa za Intelijensia kwenye vyombo vyetu! Kila mtu yuko na Lwake... We need a center point... Sehemu mahususi ambayo itachakata hizi Intelijensia na kutoa miongozi mahususi kwa serikali ma vyombo husika... Nadhani tukianzisha ofisi ya National Director of Intelligence inaweza kutupeleka mahala...

(Kumbuka siongelea director wa Tiss)
Asanteeeeee! Wanahaki ya kukufata kwa ushauri [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] (natania)
 
Mkuu the bold, naomba kujua falsafa yako ya maisha ni ipi?
 
Tueleze kwa ufupi your profile. not more than one paragraph.
 
Shemeji, nakuuliza kimtego sema tu utanijibu kivinginevyo.

Are you one of them? Did they ever approach you? How deep do you know them?

Hahaha!. Answer in a way that will let me think deeply. Critically........
Uzalendo wa kiwango cha juu zaidi ni kutoa utumishi kwa nchi yako.

You don't need to be one of them...
 
We need to modernise our intelligence machinery... Bado kwa asilimia kubwa haiendani na kasi ya karne ya 21...

Wanausalama wetu they have to work twice as hard kufikia lengo...

Pia majukumu ya TISS yapunguzwe kwa kuundwa Idara dada za Usalama ambazo zinajitegemea...

Kwa sasa Tiss na polisi wanamajukumu mengi mno... Mfano masuala ya counterterrorism hayako sawia ni nani hasa anapaswa kuyatekeleza... Matokea yake Tiss wanabebeshwa mzigo mkubwa ambao muda mwingi unavuka mpaka malengo ya kuanzishwa kwake...

Kuwe na Idara nyingine mahususi za masuala ya Intelijensia...

Kwenye jeshi... Kitengo MI (Military Intelligence) ipewe mikono zaidi ya kufanya mambo bila urasimu wa kiprotokali... Ikiwezekana iwe-rebranded hata ijitegemee na kubadilishwa jina na jeshini wabaki na MI ya kwao (ambayo haitakuwa hii mpya)

Pia ni vyema ikaanzishwa ofisi ya National Director of Intelligence... Simuongelei mkurugenzi wa Tiss... Mkurugenzi wa Tiss abakie vile vile kama DG wa TISS... Huyu ni National Director of Intelligence (Au tunaweza kuita vingine) hii ofisi ndio ambapo masuala yote ya Intelijensia watakuwa wanayachakata na kuyawasilisha mahala husika... (Mfano kwa rais)

Hii itasaidia kuwa na flow na coordination nzuri ya Intelijensia kutoka vyombo vyote... Tiss, polisi, jeshi na vingine ambavyo nahisi ni vyema vianzishwe...

Lakini pia itaondoa hii kasumba ya Rais kuwa Sponsor wa mashushushu wote... Rais ni mwanasiasa na binadamu... Kufanya yeye kuwa Sponsor wa Tiss inaweza kuleta mgongano wa kimaslahi ya taifa na maslahi yake...

Ni vyema huyu National Director of Intelligence ndio awe anatoa briefing zote za Intelijensia kwa Rais kutoka Idara na vitengo vyoye vya ushushu...

Kuna changamoto kubwa sana ya coordination ya taarifa za Intelijensia kwenye vyombo vyetu! Kila mtu yuko na Lwake... We need a center point... Sehemu mahususi ambayo itachakata hizi Intelijensia na kutoa miongozi mahususi kwa serikali ma vyombo husika... Nadhani tukianzisha ofisi ya National Director of Intelligence inaweza kutupeleka mahala...

(Kumbuka siongelea director wa Tiss)

Hapa wamekusikia na watalifanyia kazi.

ila nikisoma ile story ya vipepeo weusi, mwalimu aliyemfuata jamaa siku ya kwanza toka Mzumbe kumpa ile simu apige, na hii interview yako na umesoma Mzumbe, AS A Prophet allow me to foresee kuwa ni mtumishi wa serikali wa ndani kabsa. hahahaha natania tu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom