The Bold Interview: Maisha, Intelijensia na mengi usiyoyajua

The Bold Interview: Maisha, Intelijensia na mengi usiyoyajua

Status
Not open for further replies.
The bold kama umemaliza form four 2007 na ukaendelea na shule direct na kama MU umeanza 2010 /2011 nitakuwa nakufahamu ila sidhani kama ulikuwa intake hiyo maana sikuwahi kusikia mtu mwenye kipaji kama chako kwa wachumi wale ila kama ulikuwepo basi huenda ulikificha sana. All in all kijana uko vizuri na utafika mbali najua changamoto zipo ila kwa maono yako hayatakushusha kwa jina la Yesu Kristo wa Nazareth, amina.
 
Shemeji, nakuuliza kimtego sema tu utanijibu kivinginevyo.

Are you one of them? Did they ever approach you? How deep do you know them?

Hahaha!. Answer in a way that will let me think deeply. Critically........
Cc: johnsonmgaya
 
The bold swali langu post no 271 hujalijibu mkuu
 
We need to modernise our intelligence machinery... Bado kwa asilimia kubwa haiendani na kasi ya karne ya 21...

Wanausalama wetu they have to work twice as hard kufikia lengo...

Pia majukumu ya TISS yapunguzwe kwa kuundwa Idara dada za Usalama ambazo zinajitegemea...

Kwa sasa Tiss na polisi wanamajukumu mengi mno... Mfano masuala ya counterterrorism hayako sawia ni nani hasa anapaswa kuyatekeleza... Matokea yake Tiss wanabebeshwa mzigo mkubwa ambao muda mwingi unavuka mpaka malengo ya kuanzishwa kwake...

Kuwe na Idara nyingine mahususi za masuala ya Intelijensia...


Kwenye jeshi... Kitengo MI (Military Intelligence) ipewe mikono zaidi ya kufanya mambo bila urasimu wa kiprotokali... Ikiwezekana iwe-rebranded hata ijitegemee na kubadilishwa jina na jeshini wabaki na MI ya kwao (ambayo haitakuwa hii mpya)

Pia ni vyema ikaanzishwa ofisi ya National Director of Intelligence... Simuongelei mkurugenzi wa Tiss... Mkurugenzi wa Tiss abakie vile vile kama DG wa TISS... Huyu ni National Director of Intelligence (Au tunaweza kuita vingine) hii ofisi ndio ambapo masuala yote ya Intelijensia watakuwa wanayachakata na kuyawasilisha mahala husika... (Mfano kwa rais)

Hii itasaidia kuwa na flow na coordination nzuri ya Intelijensia kutoka vyombo vyote... Tiss, polisi, jeshi na vingine ambavyo nahisi ni vyema vianzishwe...

Lakini pia itaondoa hii kasumba ya Rais kuwa Sponsor wa mashushushu wote... Rais ni mwanasiasa na binadamu... Kufanya yeye kuwa Sponsor wa Tiss inaweza kuleta mgongano wa kimaslahi ya taifa na maslahi yake...

Ni vyema huyu National Director of Intelligence ndio awe anatoa briefing zote za Intelijensia kwa Rais kutoka Idara na vitengo vyoye vya ushushu...


Kuna changamoto kubwa sana ya coordination ya taarifa za Intelijensia kwenye vyombo vyetu! Kila mtu yuko na Lwake... We need a center point... Sehemu mahususi ambayo itachakata hizi Intelijensia na kutoa miongozi mahususi kwa serikali ma vyombo husika... Nadhani tukianzisha ofisi ya National Director of Intelligence inaweza kutupeleka mahala...


(Kumbuka siongelea director wa Tiss)
apa umenena vema mkuu maana katika nchi zilizoendelea wamafuata huu mfumo maana rais anakua na majukumu Zaidi ya kisiasa huku haya mengine wanaachiwa watu wenye weledi nayo wayashughulikie
 
Introverts! Thinkers, doers not talkers
Mkuu The Bold, hongera kwa interview mubashara!
Naomba unijibu maswali haya;
1.Hiyo avatar unayotumia ni picha yako, na kama sivyo ni nani huyo na kwa nini uitumie kwa muda mrefu pasipo kuibadili.
2.Unapenda starehe gani? Je wewe ni mtumiaji wa kilevi, na kama unatumia ni kipi unapendelea..pia chakula gani unakipenda zaidi!
3.Vipi kuhusu mrengo wako kisiasa, u mkereketwa wa chama gani? Na kama huna chama, unavutiwa zaidi na siasa za chama gani!.., pia je pengine unampango wa kuwania nafasi yoyote ya kisiasa katika taifa hili?
 
Mkuu The bold nakukubali sana maana life lako na skills zako zipo mbele sana sio kama vijana wengi wa kaliba au rika lako. Whatever you are doing keep on doing it really hard one day your grand goal will be at yout door knocking. Nakushauri pia wewe na Niffah mnapendeza pamoja so msicheleweshane sanaaa. Nakushauri usiwe muoga kufanya unachofanya so long as you are not breaking the laws. Na pia nina hakika humu kuna wajuvi wengi wa kukushauri na kukuongoza in matters pertaining your courier. Keep it up boy
 
Katika kitu kinachonipa furaha nijinsi maswali yanavyojibiwa yaani jibu moja linanguvu ya maswali matatu hongera mkuu
 
Unaijuaje Familia ya Mbasha? Kuna uhusiano wowote kati yako na Immanuel Mbasha?
 
Kiongozi ya Bold nipo na maswali machache kwako...

Ikitokea Umepata urai wa nchi nyingine mfano Usa/Uk/Canada na sharti mojawapo ni kuukana wa Uraia wa nchi yako utakua tiyari?na ukiambiwa uende na watu 5 utawachagua nani na nani?

Je ni Mtunzi wa Tanzania alikuvutia kuandika riwaya zako mbalimbali?

Na je Nyumbani upo na maktaba na kama ipo ina wastani wa vitabu vingapi?

Ni mtu gani maarufu umewahi kukutana naye kutokana na kazi zako hizi za uandishi?

Je kabla ya kumpata bibie Nifah ulikua na Marafiki wangapi wa kike?

Je katika Tunzi zako unadhani umetumia asilimia ngapi ya Ubongo wako?

Je mapenzi ya mitandao yana nguvu kiasi gani?

Asante
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom