Nifah
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 34,020
- 79,098
Nimemuita aje kuona post yako mkuu.Cjakuelewa nifah unamaanisha ndie mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimemuita aje kuona post yako mkuu.Cjakuelewa nifah unamaanisha ndie mkuu
Hahahaaaaaaa mkuu kuwa The bold sio jambo rahisi,umesahau ya jana?Kama hali itaendelea hivi itabidi nianze kuandika makala. Maana hakuna namna.
Kuna makala nasikia zikiruka kila juma pili asubuhi redio flani zinatoka humu naisi ndo uyo jamaa maana ni vile vile kama ninavyoxisoma umu.
Nimewahi kusikia hili suala pia juu juu... Melkizedeki (kule kwenye familia) aliwahi kunidokeza hili suala inbox kuwa amesikia kwenye kipindi fulani hivi cha East Africa Radio wanasimulia simulizi yangu kwa kuisoma...
Hahahahah.!! Hakuna namna mkuu.. Inabidi uanze kuandika tuKama hali itaendelea hivi itabidi nianze kuandika makala. Maana hakuna namna.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Mkuu nimecheka sana.Sina cha kuongea ila naheshimu mawazo yako. Kama alivyosema kipenz changu Niffah kuwa upo sahihi kwa 90%. Nashukuru sana kwa hayo maono yako positive kuhusu mimi ila siku nyingine uwe unakuja pm, tunayamaliza pm usije hapa si unaona sasa japo hata mimi nina feelings kwako ila inakuwa ngumu kufunguka Niffah anaona. Njoo pm tujadili namna ya kuonana. (Hii ni akaunti yangu nyingine, usijari sana)
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nishakuwa theboldrapa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Mkuu nimecheka sana.
Kila la kheri kwenye 'mission' yako.
Kama ni kweli shemela dai fain kubwa hapo.Nimewahi kusikia hili suala pia juu juu... Melkizedeki (kule kwenye familia) aliwahi kunidokeza hili suala inbox kuwa amesikia kwenye kipindi fulani hivi cha East Africa Radio wanasimulia simulizi yangu kwa kuisoma...
Mkuu naomba unipe taarifa zaidi (radio gani na muda gani hasa wanafanya hivyo) ili niweze kuwachukulia hatua hawa wahuni..
Kabisa Shem... Inabidi kuwatolea mfano hawaKama ni kweli shemela dai fain kubwa hapo.
Kuna watu wanapenda mteremko kwenye migongo ya watu
Pole sana mkuu kama sio wewe mm nilishajirisha kuwa sasa nasikiliza sauti ya mkal wangu wa jf.Nimewahi kusikia hili suala pia juu juu... Melkizedeki (kule kwenye familia) aliwahi kunidokeza hili suala inbox kuwa amesikia kwenye kipindi fulani hivi cha East Africa Radio wanasimulia simulizi yangu kwa kuisoma...
Mkuu naomba unipe taarifa zaidi (radio gani na muda gani hasa wanafanya hivyo) ili niweze kuwachukulia hatua hawa wahuni..
Shukrani mkuu..Pole sana mkuu kama sio wewe mm nilishajirisha kuwa sasa nasikiliza sauti ya mkal wangu wa jf.
Nimeifuatilia ya kukamatwa kwa osama huku nikaisikia kule kama ilivyo.
Nikweli ni East Africa Redio mm ni mwandishi wa media flani meng zaid nipm ukiwa na swali.
Nawasilisha mkuu wangu.
Utanijuza basi Daddy.Shukrani mkuu..
Nitakutafuta PM tuongee zaidi
Basi nimejikuta naachia tabasam tu mwenyewe nilivokusoma hapaUtanijuza basi Daddy.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Sababu najali mama [emoji4]Basi nimejikuta naachia tabasam tu mwenyewe nilivokusoma hapa
Nifah huchezi mbali na mali yako[emoji1]
Bila shaka mama..Utanijuza basi Daddy.
Fanya tu upate huo moyo elekezi aise unapitwaSijawahi penda mtu nisiyemjua wala kumwona.sjui hata unaanzaje.kwamfano mtu anamuibukia demu pm ya jf kwa kuvutiwa na jina na avatar yake eti,mnawezaje wenzangu.au mie sina moyo elekezi
Mie muoga wa kuuziwa mbuzi kwenye gunia,alafu utomaso nao unahusika,ni ngumu kupeleka hisia zangu kwenye imagination,nkihitaji mademu wa mitandaoni ni bora niende tinder.Fanya tu upate huo moyo elekezi aise unapitwa