<br>mkuu mwakibete upo?
Mkuu ninamfahamu vizuri huyo mtu wa kwenye avatar yako hapo, he was my classmate pale Tambaza. Majina yake yanaanzia na H and B ni wewe au umeamua tu kutumia bila yeye kujua mkuu???
Tunataka hizo picha za tarehe 30 mkirudi Moro....Tunataka ku-connect dots hapa...
The bold naomba ukae karibu maana naona wanataka kupindisha ukweli hawa watu..
MKuu usi-quote tena thread ndefu kama hizi, wenye device ndogo tunapata mashida ku-scrol down aisee!
Which movement....???
Kukutana kwenye Crusade ndo kutaondoa uzinifu wa Gwajima....??
Gwajima ni Nyoka...Na anazidi kuvuliwa nguo....Tunaendelea kumjua In and Out.....Ngoja CV yake ifokonyolewe ndo utajua JF ni kitu gani...
Flora humuogopi Grace?.....:A S 109:
Mkuu ninamfahamu vizuri huyo mtu wa kwenye avatar yako hapo, he was my classmate pale Tambaza. Majina yake yanaanzia na H and B ni wewe au umeamua tu kutumia bila yeye kujua mkuu???
hapana mkuu,smartphoneimebidi ni-log in kwenye Pc fasta nisome hapa kabla hapajafungwa aisee!au sio?
Ibirisi ashaingia kwenye huu uzi.
mjue akili za watu zilivo ndogo eti mimi ni gwajima, watanzania mkikosa kazi ni shida
hehe hakuna kitu kama hicho..mwezi wa nane tupo Iringa na helcopter watch me
HAPA HATA BRO KAJIMA ASINGECHOMOKA....
Mkuu tuambie ukweli ili tukuonee huruma, unasema huu mchezo ulikua unaufahamu mda mrefu lakini ninachojua imani ya kilokole inakemea sana uzinifu. Inakuaje mtu unaemtuhumu kuzini na mke wako uende kusali kwake? Na watanzania unaosali nao wanajisikiaje kiongozi wao ni mchafi kiasi hicho halafu wewe ulikua unajua na hawaambii ukweli. Inamaana bila kesi kubaka huu uchafu usingeusema? Kama unaweza kusali nyuma ya mtu mchafu kama huyu mda wote huo na unajuauchafu wake bado una sifa ya kuitwa mlokole?
Ahahahhh :wacko::wacko: kweli i should watch you. Kwa macho ya kimwili mtaenda Iringa, But kwa tulioomba macho ya rohoni hatuoni icho kitu.
Mnaenda kurudisha misukule pia?
The bold nakumbuka moja ya post zako ulisema kuwa wewe unamchumba sasa inaonyesha huma ufahamu mzuri wa mambo ya ndoa!!
Taarifa yako ni nzuri sana hapa jf na umepata umaarufu mkubwa lakini kiukweli umekuwa chanzo cha mgogoro huo kupanuka!!
Mambo ya ndoa ya mwenzio huwezi kuja kuyaweka hadharani hata kama unajua udhaifu fulani!!
Huwezi kutumia media kutatua suala la ndoa!!
Flora ni mtoto mdogo sana katika ufahamu wa mambo ya ndoa , Emm ni mtoto mdogo katika mambo ya ufahamu wa ndoa wote hawa wanatumia media kupata suluhu jambo ambalo si kweli, Yawezekana una nunua taarifa hizi ili uje ulete hapa kwa manufaa ya wanao kutuma. Mimi nikwambie ukweli utavuna haya unayoweka , Ipo siku utao mke na matatizo ya ndoa yatakukuta ujifunze kutokana na mambo haya!!
Wachangiaji wengi hapa ni waathirika na matatizo ya ndoa ndo maana kundi ni kubwa lakini matatizo yao wameyaficha wanajadili matatizo ya Ndoa ya Flora na Emm. Huu ndo unafiki!
Mimi natoa angalizo kwa mod yawezekana mada hii ni nzuri katika jukwaa hili na wateja ni wengi swali langu hivi Emm angekuwa ndo mod au Flora angekuwa dada yake na mod mada hii ingeruhusiwa kujirudia rudia kama livyo sasa??
Mod huoni kwamba jf inatumika kuvunja ndoa ya Emm na Flora??
Hivi jf inafurahia watu wakitengana??
Kama ni matatizo ya Gwajima yanafahamika na kama ni matatizo ya Flora kwa umalaya yanafahamika m na kama ni ufusika wa Emm unafahamika hadi mahakamani lakini mimi naona pamoja na hayo ndoa yao lazima iheshimike na kila mtu. Kama ndoa ya Mod na ndugu zako inavyoheshimika basi na ndoa ya Emm na Flora iheshimike! Yawezekana wahusika (Flora na Emm) hawaheshimu ndoa yao lakini sisi great thinker lazima tusimame kwenye maadili
Ahahahhh :wacko::wacko: kweli i should watch you. Kwa macho ya kimwili mtaenda Iringa, But kwa tulioomba macho ya rohoni hatuoni icho kitu.
Mnaenda kurudisha misukule pia?
ujue nn mm ningeweza kumwamini huyu jamaa kama akisema ukweli lakini anadanganya wazi; Mbasha na mkewe waliodoka na mama Gwajima na watoto wa mchungaji Gwajima kurudi Dar for xmas then wakarudi tena kilombero ambapo tuliondoka nao tarehe 30 sasa kusema flora alibaki Moro ni uongo ambao unanifanya niamoni kuwa the bold si mbasha na kama ni mbasha wanamtumia kupata data ili wazigeuze... okay sikulazimishi uamini ..lakini ndio ukweli huo... Gwajima aongei chochote maana hamna hoja ya kujibu hapo..ni uongo tu..