the @Bold we ni mume wa yule dada yetu muimbaji au la?
Afu sio lazima m quote thread nzima bhana tutawachoka muda sio mrefu wengine tunatumia vi tecno vidogo
We kweli Utosi
mkuu naitwa jua la utosi sio utosi.
hahahahah unavyolingangania utasema lako kweli wakati na fake id hahhhahahmkuu naitwa jua la utosi sio utosi.
the vise versa is true
wewe The bold sijui ila nina uhakika una akili ndogo sana, yaani bandiko lote ilo hujaandika kwanini umebaka? asee umetia aibu sana
mjue akili za watu zilivo ndogo eti mimi ni gwajima, watanzania mkikosa kazi ni shida
Epuka kuwanenea mabaya watumishi wa Mungu hata kaka wamefanya mabaya kwako-ila waombee,kumbuka ishu ya Daud na Saul
mmh mlokole huyo mnaenda mwezi wa nane katika mkutano
ETI KAMA ALIJUA ANALIWA..duh maneno ya kondoo wa gwajima
UNAKUJA KUSUTANA HUMU ,,why usipambane kiroho
Epuka kuwanenea mabaya watumishi wa Mungu hata kaka wamefanya mabaya kwako-ila waombee,kumbuka ishu ya Daud na Saul
The bold, every challenge comes with an opportunity.
Kama una access na Emma mwambie kwa muda huu apoze mawazo yake kwa kuandika kitabu juu ya maisha yake (yao) na Flora Mbasha na masahibu yaliyotokea. Nina uhakika atatengeneza faida isiyopungua milioni 20. Zitamsaidia katika kesi na zitaisaidia familia yake...
Gwajima sio mtumishi wa MunguEpuka kuwanenea mabaya watumishi wa Mungu hata kaka wamefanya mabaya kwako-ila waombee,kumbuka ishu ya Daud na Saul
Kauli zakingese....The bold ni msanii tu anajitaftia kisingizio, yaani kabaka ndo akaja kujua hayo, je alivokua anasali hapo mbona hakusema? kwamtu mwenye uelewa ashajua kinachoendelea na anachoandika humu ni utapeli tu tena akifikiri kuna atakaemjibu.
Tatizo ni kuyasema leo wakati yalikua yatokea na bado anaendelea kusali nyuma ya mzinzi au ameokoka rasmi alipopata dhamana. Mungu hawezi kupokea sala inayoongozwa na mzizi saa huyu mlokole wa wapi aliyekua anaenda kusali kila jumapili nyuma ya mtu mchafu kama huyu.