The bold: Waraka

Epuka kuwanenea mabaya watumishi wa Mungu hata kaka wamefanya mabaya kwako-ila waombee,kumbuka ishu ya Daud na Saul
huyo mchungaji ameingilia ndoa ya mtu...utumishi wake kwa mungu uko wapi? acheni ujuha!!!!
 
God will make a way where seemed to be no way, God will put your foot where no foot has been steped before.

Dedication to The bold.
 
Last edited by a moderator:

wewe ndugu yangu ni mnafiki, unatetea usichokijua kwasbabu ya vijisenti na feva za hapa na pale

endelea
 
Sometimes unasoma hii habari kwa jinsi ilivyoandikwa unashindwa kujishawishi kuwa ni uongo......kuna kitu kwenye hii issue na itabidi Mchungaji Gwajima atumie hekima lifike mwisho kabla hayajawa makubwa zaidi bila kujali ni kweli au si kweli......
 
davidm, unasema The bold aje kukanusha, kwani naye alikuwepo kwenye safari yenu????????????
 
Last edited by a moderator:
hahahahaha Mkuu utanifanya nipaliwe na maji, namheshimu sana Mch Gwajma, namuonea huruma sana Mbasha lakini nataka nibaini ukweli sitaki kutumia hisia ktk hili suala maana ni zito sana.

sio kwenye hili tu.
 
UMEBAKA AU HUKUBAKA?
__nahisi Alieandka Uzi Huu Si Mbasha, Ni Msanii Tu Anaejitafutia Umaarufu Ili Akamate Watu Somewhere.
__VITA VYETU SI VYA DAMU NA NYAMA.
Ungekua Ni Mbasha Kwanini Usifuate Watuhumiwa Ukawaambie? Acha Usanii
Nyie ndio misukule mnaoamini zaidi katika watu.yeye ni binadamu kama wewe na anaweza kuwa na mapungufu yake so usiongee kwa uhakika hivyo kama wewe ndio yeye.kuwa muhubiri wa neno la Mungu hakumfanyi na yeye kuwa Mungu.kwa jinsi unavyoonyesha inaonekana unamwamini yeye zaidi ya unavyomwamini Mungu wako(the way unavyomtetea).umenitia hasira hadi nimetoka mafichoni coz for so long nilikuwaga napita tu kama mgeni humu jukwaani kutokana na kuwa na utoto mwingi sana humu ndani siku hizi.watu wanajadili porojo tu na mambo ya kujenga nchi na ya tija yameadimika.
 
Tambaza mwaka gani mkuu, maana sisi ni matunda ya hiyo shule ya ukweli. Hata mimi hiyo sura si ngeni kabisa.

Mkuu kuna michango mingine hata hustahili kutoa,kwa nini umeamua kushusha hadhi yako,jitahidi kuchangia kwny critical issues tu.mada zingine tumia fake Id
 

Misukule inaendeleaje mkuu?
na ile iliyofunga ndoa je? Ishapata na watoto?
 
barikiwa ndugu yangu kwa uliyoyanena!!!
 

Mwenywe gwajima alishawai sema kuwa" dini ni kama bangi uitumiapo huwezi acha" sasa naanza kuamini usemi wake.maana watu wanavyo msaport kama vile gwajima walikabidhiwa na mwenyezi mungu kiwa huyu ndio mchungaji wenu yani 100% pure right!!
 
Mungu ana njia yake ya kutuonyesha ukweli, Mungu ana njia yake ya kuwaumbua wanafiki, wanaolitumia jina lake kujineemesha, hili ni pigo kwao wote wale wanaodhani wako salama kutapeli kwa kutumia jina la Mungu.

Na hili ni fundisho hata kwa wengine wote kama kina Mwingira, Kakobe, Mzee wa Upako etc, kama sio wakweli wakae wakijua watakuja kuumbuka kwa kitu cha ajabu sana.
 
haijalishi alieandika ni mbasha au ni mtu alievaa uhusika,lakini cha msingi inaonyesha ni kwa jinsi gani hadithi na uhalisia wa maumivu wa mhusika jinsi ulivo halisia na unaohitaji pumziko la nafsi kwa aliempenda.hii iwe fundisho kwa wanaume wote ambao huishi kwa kudhani.MUNGU YUPO NA MKWELI ATAJLIKANA NI SWALA LA MUDA TU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…