The bold: Waraka

The bold: Waraka

Epuka kuwanenea mabaya watumishi wa Mungu hata kaka wamefanya mabaya kwako-ila waombee,kumbuka ishu ya Daud na Saul
huyo mchungaji ameingilia ndoa ya mtu...utumishi wake kwa mungu uko wapi? acheni ujuha!!!!
 
God will make a way where seemed to be no way, God will put your foot where no foot has been steped before.

Dedication to The bold.
 
Last edited by a moderator:
siwezi kukulazimisha kuamini maana ungetaka ukweli ungemuhoji the bold atoe ushahidi juu ya anayoongea... Najifunza mengi kupitia hizi story za uongo zaidi sana napata kujua kuwa hata story nyingi za wanasiasa ni uongo unaotungwa na watu wachache tu...

wewe ndugu yangu ni mnafiki, unatetea usichokijua kwasbabu ya vijisenti na feva za hapa na pale

endelea
 
Sometimes unasoma hii habari kwa jinsi ilivyoandikwa unashindwa kujishawishi kuwa ni uongo......kuna kitu kwenye hii issue na itabidi Mchungaji Gwajima atumie hekima lifike mwisho kabla hayajawa makubwa zaidi bila kujali ni kweli au si kweli......
 
haha haha tukiwa kwenye gari private ..usikuwake tukafikia kwao; mind you Gwajima tumemwacha kilombero anaendelea na Crusade...then tukatengeneza song la happy birthday daddy Gwajima ..amabo uliimbwa siku ya mwaka mpya kanisani.

nataka the bold akanushe haya maneno kwanza ndipo nije na picha kudhihirisha uongo wake..
davidm, unasema The bold aje kukanusha, kwani naye alikuwepo kwenye safari yenu????????????
 
Last edited by a moderator:
hahahahaha Mkuu utanifanya nipaliwe na maji, namheshimu sana Mch Gwajma, namuonea huruma sana Mbasha lakini nataka nibaini ukweli sitaki kutumia hisia ktk hili suala maana ni zito sana.

sio kwenye hili tu.
 
UMEBAKA AU HUKUBAKA?
__nahisi Alieandka Uzi Huu Si Mbasha, Ni Msanii Tu Anaejitafutia Umaarufu Ili Akamate Watu Somewhere.
__VITA VYETU SI VYA DAMU NA NYAMA.
Ungekua Ni Mbasha Kwanini Usifuate Watuhumiwa Ukawaambie? Acha Usanii
Nyie ndio misukule mnaoamini zaidi katika watu.yeye ni binadamu kama wewe na anaweza kuwa na mapungufu yake so usiongee kwa uhakika hivyo kama wewe ndio yeye.kuwa muhubiri wa neno la Mungu hakumfanyi na yeye kuwa Mungu.kwa jinsi unavyoonyesha inaonekana unamwamini yeye zaidi ya unavyomwamini Mungu wako(the way unavyomtetea).umenitia hasira hadi nimetoka mafichoni coz for so long nilikuwaga napita tu kama mgeni humu jukwaani kutokana na kuwa na utoto mwingi sana humu ndani siku hizi.watu wanajadili porojo tu na mambo ya kujenga nchi na ya tija yameadimika.
 
Tambaza mwaka gani mkuu, maana sisi ni matunda ya hiyo shule ya ukweli. Hata mimi hiyo sura si ngeni kabisa.

Mkuu kuna michango mingine hata hustahili kutoa,kwa nini umeamua kushusha hadhi yako,jitahidi kuchangia kwny critical issues tu.mada zingine tumia fake Id
 
The bold anadai kuwa baada ya mkutano kuahirishwa waimbaji walirudi Dar... ukweli ni kuwa walipohamia kwenye eneo jipya Mbasha na Flora wote walikuwepo na picha zipo online na video zipo na walirudi Dar xmas wote...na kuja tena mkutano wa kilombero ambapo tulirudi nao tarehe 30 kwenye private car... nina uhakika mbasha hawezi kuandika uongo huu unless anatumiwa kumchafua Gwajima...

Misukule inaendeleaje mkuu?
na ile iliyofunga ndoa je? Ishapata na watoto?
 
wagonjwa badala ya kufurahia neno la mungu kuwa jirani yao wenyewe wanaita makelele, hamjishtukii???? Mnasubiri wafe ndiyo mjifanye kuwarudisha misukule badala ya kwenda kuwaombea afya njema kabla hawajafa.

Hivi ile ishu ya mtikila muliimaliza vipi???

Ya amina chifupa je???

Nyie jamaa fiksi nyingi sana, halafu eti mnakimbilia kusema tusimsemee vibaya mtumishi wa mungu. Mungu yupi?? Huyu huyu muumba wa mbingu na ardhi?? Wa isaka na yakobo??? Wa ibrahim??? Au mungu wa misukule???

Anaonekana ni mtumishi wa mungu kwa watu ambao hawajapewa macho ya rohoni na kulijua neno kama ninyi. Hampo huru tena. Mmefungwa na nguvu za kishirikina za kurudisha hiyo misukule.

Ibada zenu ni za promotion zaidi kuliko kuwahakikishia waumini wenu ufalme wa mungu aliye hai. Ibada nzima mnazungumzia misukule. What i know, huwezi cheza ngoma usiyoijua i.e ni lazima mmefanywa kuwa misukule and that`s why hamna akili za kujitambua.

Mnajitahidi kumpenda mungu wenu kwa mioyo yenu yote na nguvu zenu zote lakini hamtumii akili zenu kumpenda mungu and thats why mnaangamizwa na msipobadilika na kuijua kweli na mapastor wenu fake mtazidi kuangamizwa.
barikiwa ndugu yangu kwa uliyoyanena!!!
 
Khaaaaaa, kweli nyie Gwajima kawaloga mmekuwa misukule zaidi ya ile feki anayofufua. Mtu atafune mkeo halafu uendelee kumuombea atafune vizuri? Mtumishi gani wa Mungu anauza madawa ya kulevya? Gwajima hastahili kukaa nje ya jela, sijui kamishna Nzoa anafanya nini?

Mwenywe gwajima alishawai sema kuwa" dini ni kama bangi uitumiapo huwezi acha" sasa naanza kuamini usemi wake.maana watu wanavyo msaport kama vile gwajima walikabidhiwa na mwenyezi mungu kiwa huyu ndio mchungaji wenu yani 100% pure right!!
 
Mungu ana njia yake ya kutuonyesha ukweli, Mungu ana njia yake ya kuwaumbua wanafiki, wanaolitumia jina lake kujineemesha, hili ni pigo kwao wote wale wanaodhani wako salama kutapeli kwa kutumia jina la Mungu.

Na hili ni fundisho hata kwa wengine wote kama kina Mwingira, Kakobe, Mzee wa Upako etc, kama sio wakweli wakae wakijua watakuja kuumbuka kwa kitu cha ajabu sana.
 
haijalishi alieandika ni mbasha au ni mtu alievaa uhusika,lakini cha msingi inaonyesha ni kwa jinsi gani hadithi na uhalisia wa maumivu wa mhusika jinsi ulivo halisia na unaohitaji pumziko la nafsi kwa aliempenda.hii iwe fundisho kwa wanaume wote ambao huishi kwa kudhani.MUNGU YUPO NA MKWELI ATAJLIKANA NI SWALA LA MUDA TU
 
Back
Top Bottom