Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Huyu anaemtumiabthe bold ni mtoto wa mama mdogo wale gwajima anawaita mapepo na majini ayatamgusa na ndio hao wanafikiria jinsi ya kumchafua nawaambia siruhusu kulaani wala kumsema mtu
the bold mungu akutie nguvu mwisho wako uishie na toba ya yiote juu ya watumishi wa munguu uliowanenea
again. ....najua kama binadamu pengine nimhusika mkuu ushauri wangu simama na mungu mwambie mungu ajidhihirishe wote tukiwa duniani
Umeangalia sarufi zako kabla ya kupost? Naona ulikuwa na haraka iliyopitiliza ndo maana hukuwa hata na muda wa kuedit kabla ya kupost! BTW The bold kaandika vitu critical mno vinahitaji utulivu, muda, hekima, ukweli, uwazi na hofu ya Mungu kuvijibu