The bold: Waraka

The bold: Waraka

Huyu anaemtumiabthe bold ni mtoto wa mama mdogo wale gwajima anawaita mapepo na majini ayatamgusa na ndio hao wanafikiria jinsi ya kumchafua nawaambia siruhusu kulaani wala kumsema mtu
the bold mungu akutie nguvu mwisho wako uishie na toba ya yiote juu ya watumishi wa munguu uliowanenea

again. ....najua kama binadamu pengine nimhusika mkuu ushauri wangu simama na mungu mwambie mungu ajidhihirishe wote tukiwa duniani

Umeangalia sarufi zako kabla ya kupost? Naona ulikuwa na haraka iliyopitiliza ndo maana hukuwa hata na muda wa kuedit kabla ya kupost! BTW The bold kaandika vitu critical mno vinahitaji utulivu, muda, hekima, ukweli, uwazi na hofu ya Mungu kuvijibu
 
umeangalia sarufi zako kabla ya kupost? Naona ulikuwa na haraka iliyopitiliza ndo maana hukuwa hata na muda wa kuedit kabla ya kupost! Btw the bold kaandika vitu critical mno vinahitaji utulivu, muda, hekima, ukweli, uwazi na hofu ya mungu kuvijibu

mkuu nimeandika kwa hofu ya mungu na yale yanayotoka moyoni the bold numemjua kabla ya hiishida sipendi apotee hata kidogo sipendi roho yake ipotee naitaji kumwona akiwa mawinguni tukimtukuza mungu wa mbunguni na wala juu akuna jf kilamtu anandika anavyotaka

hata weeee pia naitaji safariyako umalize salama tuzidi kuwaweka maombini wamalize matatizo yao salama

mungu akubariki narudia tena hii nineno frm baibo

don't touch ma annointing

sijawahi ona waliowasema vibaya watumishi wa mungu wakaishia pazuri

mungu akutakase awarehemu wote

amin
 
kwikwikwikwiiiiii............ hata kibwetere alikua mtumishi wa Mungu
 
Attachments

  • 1403900965039.jpg
    1403900965039.jpg
    41.5 KB · Views: 162
umeangalia sarufi zako kabla ya kupost? Naona ulikuwa na haraka iliyopitiliza ndo maana hukuwa hata na muda wa kuedit kabla ya kupost! Btw the bold kaandika vitu critical mno vinahitaji utulivu, muda, hekima, ukweli, uwazi na hofu ya mungu kuvijibu

karibu chkn wings for dinner
 
Attachments

  • 1403901044258.jpg
    1403901044258.jpg
    34.9 KB · Views: 142
Wanaume Aina Ya Mbasha ni Janga Kwa Taifa ..

Jamaa anakuazima Mke, nawe unamuachia Moro unarudi dar... Unajua kuwa Jamaa anagonga, Bado unakenua tu Meno..

Ningekuwa na Mamlaka ningeamuru utandikwe Bakora tano kwa kuaibisha Wanaume..

Pumbaf zako.
 
mkuu nimeandika kwa hofu ya
mungu na yale yanayotoka moyoni the bold numemjua kabla ya hiishida
sipendi apotee hata kidogo sipendi roho yake ipotee naitaji kumwona
akiwa mawinguni tukimtukuza mungu wa mbunguni na wala juu akuna jf
kilamtu anandika anavyotaka

hata weeee pia naitaji safariyako umalize salama tuzidi kuwaweka
maombini wamalize matatizo yao salama

mungu akubariki narudia tena hii nineno frm baibo

don't touch ma annointing

sijawahi ona waliowasema vibaya watumishi wa mungu wakaishia pazuri

mungu akutakase awarehemu wote

amin

duu
ni shidaaaa
 
mkuu nimeandika kwa hofu ya mungu na yale yanayotoka moyoni the bold numemjua kabla ya hiishida sipendi apotee hata kidogo sipendi roho yake ipotee naitaji kumwona akiwa mawinguni tukimtukuza mungu wa mbunguni na wala juu akuna jf kilamtu anandika anavyotaka

hata weeee pia naitaji safariyako umalize salama tuzidi kuwaweka maombini wamalize matatizo yao salama

mungu akubariki narudia tena hii nineno frm baibo

don't touch ma annointing

sijawahi ona waliowasema vibaya watumishi wa mungu wakaishia pazuri

mungu akutakase awarehemu wote

amin

Asante kaka ila sina chembe ya heshima kwa watumishi washenzi na wasio na hofu na Mungu!! Gwajima ni mmoja wao akifuatiwa na anthony lusekelo na wengine wote wanaofanana nao
Mimi nalifahamu neno hivyo huwa sibabaishwi na mambo yao
 
Aisee nmekumbwa na hasira na uchungu nahisi kama ndo mimi vile,hii ndo faida ya kuwachia sadaka viongozi wa dini wahuni na wanamazingaombwe
 
Wanaume Aina Ya Mbasha ni Janga Kwa Taifa ..

Jamaa anakuazima Mke, nawe unamuachia Moro unarudi dar... Unajua kuwa Jamaa anagonga, Bado unakenua tu Meno..

Ningekuwa na Mamlaka ningeamuru utandikwe Bakora tano kwa kuaibisha Wanaume..

Pumbaf zako.

Mi mwanzano nilikuwa namlaumu Frola lakini kadri hadith zinavyoendelea nimemuona huyu jamaa ni mpuuzi. Na hao wasichana katembea nao kweli sababu mbona hakani swala la ubakaji ye analia ma Gwaji kumchulia mke, huyu alikuwa anampendea Flor pesa si mapenzi yaani Ye mke wake hata akitembea nje si tatizo mradi analeta pesa.
 
Hapa ndio naanza kumuelewa yule jamaa aliyepiga risasi na kuua watu wawili na yeye akajiua....RIP Munisi.....Mbasha amuuka bana...
 
haha haha tukiwa kwenye gari private ..usikuwake tukafikia kwao; mind you Gwajima tumemwacha kilombero anaendelea na Crusade...then tukatengeneza song la happy birthday daddy Gwajima ..amabo uliimbwa siku ya mwaka mpya kanisani.

nataka the bold akanushe haya maneno kwanza ndipo nije na picha kudhihirisha uongo wake..
Nyinyi ndio wanaume suruali,mnapangashiwa nyumba na kununuliwa Noah,kisha mnaleta upuuzi hapa wa kumtetea huyo shetani mzinzi mkuu Gwajima.
 
Mi mwanzano nilikuwa namlaumu Frola lakini kadri hadith zinavyoendelea nimemuona huyu jamaa ni mpuuzi. Na hao wasichana katembea nao kweli sababu mbona hakani swala la ubakaji ye analia ma Gwaji kumchulia mke, huyu alikuwa anampendea Flor pesa si mapenzi yaani Ye mke wake hata akitembea nje si tatizo mradi analeta pesa.

Haya Ndio Matatizo Ya Kulelewa na Mwanamke..

Mwanaume Hujui Kulipa Kodi, Hujui Kulipa Umeme, Hujui Kulipa Ada ya Mtoto n.k

Hapo bado unajiita Mwanaume, Lazima usaidiwe.
 
Wanaume Aina Ya Mbasha ni Janga Kwa Taifa ..

Jamaa anakuazima Mke, nawe unamuachia Moro unarudi dar... Unajua kuwa Jamaa anagonga, Bado unakenua tu Meno..

Ningekuwa na Mamlaka ningeamuru utandikwe Bakora tano kwa kuaibisha Wanaume..

Pumbaf zako.

yah teh teh. mkuu. you have made my day
 
Back
Top Bottom