The bold: Waraka

Epuka kuwanenea mabaya watumishi wa Mungu hata kaka wamefanya mabaya kwako-ila waombee,kumbuka ishu ya Daud na Saul
Acha kumfundisha uoga wewe,hakuna Mtumishi wa Mungu Sampuli hii huyo ni Wakala wa Shetani.
 
Kisaikolojia, Imma hawezi kuandika hivyo kwa sasa, huyu ni mtu analiyekaribu na Imma, na aliyesimuliwa na imma. Mi huwa ikifika hapo, nasema ule mstari wa biblia unayosema..Mtu akimwacha mkewe, isipokuwa kwa uzinzi...huwa sitaki kusikia tafsiri yoyote zaidi ya kilichoandikwa.
 
kwa hiyo hapa bold ndio Emma dah umeandika kwa uchungu sana hasa hapo ulipoongelea kuhusu watoto kila lenye kheri kupigania haya.

ila kwa yaliyotokea bado unataka kurudiana na Flora
 
Inamaana The Bold ndo Emmanuel Mbasha....???

Pole sana mkuu....Inatosha!!! Watanzania tumeshamjua huyo nyoka Gwajima....Inatosha...
 
Ngoja nirudi sports kule kwa Ghana, hapa ntakuja badae
 
Nimependa aliposema mchungaji mazingaombwe.... na pesa chafu za sembe...kama hayo ni kweli, basi hakuna mtumishi wa Mungu hapo.

Na sio wote mkuu wanaoita bwana bwana wataurithi ufalme wa Mungu tamaa mbaya na Mungu atawaumbua tu
 
UMEBAKA AU HUKUBAKA?
__nahisi Alieandka Uzi Huu Si Mbasha, Ni Msanii Tu Anaejitafutia Umaarufu Ili Akamate Watu Somewhere.
__VITA VYETU SI VYA DAMU NA NYAMA.
Ungekua Ni Mbasha Kwanini Usifuate Watuhumiwa Ukawaambie? Acha Usanii

Tumeshamjua nyoka Gwajima......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…