The Bolsheviks, Dkt. Bashiru, Somo kwa UVCCM na CCM

Bila kusahau ikulu ya Dodoma nembo isiyofutika vizazi na vizazi

Sent from my RMX2189 using JamiiForums mobile app
 
Haya yote uliyoandika yanaonyesha ni mmoja wa wale wanaodanganywa na media za bongo. Kitu ninachopinga ni kumpa utakatifu JPM halafu SSH akaonekana kama ni shetani.


Ni ukosefu mkubwa wa shukrani ambao ni tabia yetu. Yote aliyofanya ni mema lakini haina maana kuwa waliobakia hawawezi kuyafanya.

Hakuna kiongozi aliyejenga nchi hii kumzidi Nyerere lakini huwezi kuuona ushamba unaopitiliza wa kumsifu sana yeye na kusahau michango ya wengine.
 
Wapigania katiba wote Wana backup ya state na ndio washindi wa kweli!
 
Je hizo nguvu unazozisema zikiamua kuhamia upande mwingine itakuwaje ?!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…