ndoto ya kimweri
JF-Expert Member
- Jul 14, 2021
- 413
- 979
Bila kusahau ikulu ya Dodoma nembo isiyofutika vizazi na vizaziHizo
media gan ss unazohisi hazikuongea ukweli, ni wakosefu wa maarifa tu wanaoamin mtu akifa anatakiwa kusahaulika, mbali na kwamba kafa lkn kuishi mema na yale tunayoamin yamesaidia jamii zetu sio vibaya
Sio maoni binafsi kuwa SAMAI hana uwezo kama wa JPM. ni ukwel uliobayana, wala hatutaki hata sababu za Covid sijui vita ili nchi ikae sawa inahitaji sana viongozi shupavu ni dhahir tunahitaj viongozi wadadisi viongozi wenye misimamo na wanaoweza kuchukua hatua.
Inawezekana unampenda SAMAI kwa sababu zako binafsi hilo siwez kuliingilia kwasbb upendo upo moyoni.
Tukitaka tu kuweka hoja mezani ni kwel tupu JPM alikua mbali sana kiuwezo ukimringanisha na bi mkubwa uwezo tu wa kuongoza.
JPM.
NDEGE
SGR
BUS TERMINAL
TARMAC ROADS
DOM CAPITAL CITY
REFERAL HOSPITAL
BRIDGEs
Nyerere dam
Oil pipe line.
Kusafir safir hakujawah kuleta maendeleo kbsa, jamaa hakua akisafir na tulion impact yake, ni kama ilivyo wahi kuwa enzi za SOKOINE.
Kila mmoja anaubora wake na madhaifu yake. Lkn hauwez kufananisha ubora wa JPM na SAMIA. naamin hata mama anaweza kukubali haya.
Kama tutampata BASHIRU anaweza kutusaidia kuturudisha kwenye mstari wa JPM na tukasau upigaji na uchawa wa kijinga na kuliinua taifa
Sent from my RMX2189 using JamiiForums mobile app