The Buzwagi Saga: Karamagi aenda kusaini Mkataba wa ULAJI London

The Buzwagi Saga: Karamagi aenda kusaini Mkataba wa ULAJI London

Ilongo,
mimi sijayasikia wala kuyasoma hayo majibu ya waziri kutokana na hoja za zitto,ndio maana nashindwa kuchangia.
 
Mugongo Mugongo,

Mimi kwa mara ya kwanza jana nimeangalia kila kitu.

Hakukuwa na kitu cha maana pale, kama ni kujieleza Zitto aliwazidi kabisa.

CCM kosa wanalofanya ni kuwanyamazisha wabunge wao na hivyo kumpa Zitto uwanja mkubwa wa kutamba. Wabunge wa CCM hawawezi kupinga jambo hata lile ambalo ni wazi kama la BOT. Matokeo yake wataonekana wazuzuzu tu.

Kuna haja ya kupata video zote za mwenendo wa bunge na kuzitumia hizo hizo mwaka 2010.

Hivi kule kwa Malima hakuna kijana anayetaka kupambana naye? Inabidi kuanza kufikiria njia za kuwaondoa wale wanaojiweka mbele kukwamisha demokrasi bungeni.

Excellent surgestion.And really if there is anyone who is pompous and seeking cheap popularity it is that inflated guy Maalima son of a crook.Where is all the money his father stole.When the accounts were frozen, the money that was in this fellow name was the only cash that could not be accessed. He thinks we have all forgotten !!!
 
Ilongo,
mimi sijayasikia wala kuyasoma hayo majibu ya waziri kutokana na hoja za zitto,ndio maana nashindwa kuchangia.

Ok, nimekuelewa.

Ngoja kwanza watu wamalizie machungu yao halafu baadae watatuwekea na hayo majibu ya waziri. Baadhi yetu tulifuatilia mjadala wote kwenye Tv. Vinginevyo jaribu kusoma magazeti ili upate moja mbili tatu unaweza kupata picha ilikuwaje:

1. http://www.majira.co.tz/kurasa.php?soma=tanzania&habariNamba=3506, hii ni kutoka Majira (http://www.majira.co.tz/).

2. http://www.freemedia.co.tz/daima/2007/8/15/habari2.php, hii ni kutoka Tanzania Daima (http://www.freemedia.co.tz/daima/index.php).

3. http://www.ippmedia.com/ipp/nipashe/2007/08/15/96390.html, hii ni kutoka Nipashe (http://www.ippmedia.com/).

Kama ulishawahi kusikia ama kuona wale wanaoiba mitihani na kukariri majibu halafu wakifika kwenye chumba cha mtihani wakakuta walikuwa na feki wanavyochanganyikiwa ndivyo ilivyokuwa jana. Kama hukuona huo mjadala, basi tena. Ilikuwa tamu zaidi kujionea na kusikia mwenyewe badala ya kuhadithiwa.
 
Jamani, mimi Liberal naendelea kuumia sana napoona mambo hayaendi kama yanavyotakiwa kwenda.

Kwanza napenda niwatoe matongotongo ndugu zangu kuwa: Upinzani sio ubishi na wala kuwa mpinzani haimaanishi unatakiwa kupinga kila kitu. Mwalimu siku moja aliainisha mambo yasiyotakiwa kupingwa kuwa ni pamoja na: Maendeleo, upendo, Amani na Utulivu. SASA, kama kalamagi alisaini mikataba kwa nia nzuri ya maendeleo hakukuwa na haja ya kupingwa.

hata hivyo, Mheshimiwa Zito hakuwa na lengo la kupinga ila alikuwa na lengo la Kuwafungua macho wananchi 'Very Good' Kosa wanalofanya hawa CCM ni kutetea kila kitu hata kama ni uovu.

Nikiwa kama Liberal ninaamini katika vyombo vya sheria, ushirikiano, mazungumzo ya amani ikiwemo kuundwa kwa tume huru. Hivyo nawashauri wabunge waanze kutumia akili hata kidogo kuwa kuna haja ya kuunda tume kuchunguza na huu ndio upana wa CHECKS AND BALANCE, kumfungia ZITO kuudhulia Bungeni ni Upuuzi ambao hata maliberal wenzangu hawatapenda pia

Watanzania wenzangu, mimi sina chama lakini tuwe Makini tunapofanya uchaguzi wa viongozi
 
Hawa wazee wetu wanatakiwa kupunzika, muda wa rushwa na kizazi chake umepita. Malecella na wenzio pumzika usubiri kwenda kwenye moto wa milele. Kikwete usiwasifie hao kwani ni vema kuwa na bunge linalo kosoa kuliko kuwa na wanafiki wanaohofia matumbo yao na wanafanya kazi na miaka sabini. Kwanini Serikali ina wapa wanajeshi na polisi umri wa miaka 60 kusfahafu wakati hao watu wanaopitisha sheria hizo wana miaka sabini!!??. Zitto ni shujaa, hawavijana mtawaua Wamemuua Amina na huyu jamaa wanamtisha. Wazee ni lazima muelewe kizazi chenu kimepitwa na wakati na huu ni muda wa watu wakweli na wenye uchungu, hizo mali mtaziacha na miaka ishirini hizo mali za rushwa na nuksi hazitakuwepo. Mungu atatusaidia kuwapunguza polepole lakini kizazi kingine kisafi kinakuja Tanzania.
 
Kumbe Mugongo ni dada?

Samahani hilo la personal attack, nilikosea na nimefuatilia na kuona na yeye ni mwanachama huko.

Ila bado naheshimu mchango wake hata kama sikubaliani naye katika mengi. Bila ya watu kama Mugongo kweli hii forum ingegeuka
kuwa bunge la ....

Mugongo kwa maandishi yake hata kama mafupi, anawafanya watu wengi wafikiri na kuatafakari badala ya kuitikia tu kale kawimbo ka ushabiki.

Mugongo endelea, tunahitaji mchango wako.
 
HUYU BWANA MGONGO MGONGO NAFIKIRI KAMA WABUNGE WALIVYOFANYA
NASISI TUMSIMAMISHE KWENYE BLOG YETU,,JAMANI Ni nani asiejua
uhuni wa karamagi ,,tatizo la huyu bwana hajui hoja liopo
na nakumbuka hoja yake ya zitto na ac?kama wajumbe napendekeza
tumdelete kwenye blog,,
pili kama alikuwa hajui mambo machafu anayofanya bwana karamagi nami nampa muda ajitete kabla sijaja na vithibitisho,,
nani amekwambia utawala bora??jamani ukweli halisi mnafukuza watu bungeni mkiambiwa mnaliwa wake zenu je??kama ukweli unowaumiza wananchi wote mnaamua kumsimamisha mbunge
Mgongo mgongo na familia yako nakupa muda ndani ya miezi 5 uone
hii hoja ya karamagi ni kweli au la
 
Hivi jamani? kuna tofauti ipi kati ya wabunge wa CCM na mawaziri ? mbona kwenye hili la Zitto wabunga wa ccm
walijimuvuzisha kuwa mawaziri ,hee!!
walijibu hoja badala ya kuchambua hoja, hawakuonyesha kuwa wawakilishi wa waliowatuma bungeni

That is the whole problem; once they become Mheshimiwa they forget why they are there or how they got there,It is our bloody fault for putting thieves like them there.The day it is possible to remove them during their term watashika adhabu.
 
Kumbe Mugongo ni dada?

Samahani hilo la personal attack, nilikosea na nimefuatilia na kuona na yeye ni mwanachama huko.

Ila bado naheshimu mchango wake hata kama sikubaliani naye katika mengi. Bila ya watu kama Mugongo kweli hii forum ingegeuka
kuwa bunge la ....

Mugongo kwa maandishi yake hata kama mafupi, anawafanya watu wengi wafikiri na kuatafakari badala ya kuitikia tu kale kawimbo ka ushabiki.

Mugongo endelea, tunahitaji mchango wako.

Usikonde mkubwa, mimi huwa na-enjoy ligi kama hizi...and I get my fix by being contrarian, ila groupies wa Mbowe wako wengi kweli kwenye hii Forum na wanashambulia kama VietCongs, na wengine wanajiandikisha upya. Ha ha ha!

Anyway, nasoma ushabiki wa kumpongeza Zitto na kumuita shujaa naisikitikia nchi yangu. Yaani Mbunge wa upinzani kufanya kazi yake anayostahili kuifanya Bungeni anaitwa shujaa? This is what he is supposed to be doing, and I don't see anything heroic or remarkable about it (well, unless he scores another man's wife again).

The point ni kwamba next time afanye research kwanza, otherwise atakuwa reduced to an idiot.
 
Nimesoma moja ya majibu ya Karamagi na kweli inaonyesha ni jinsi gani hawa watu wanavyoona hii nchi ni mali yao:
" Niliamua kusaini mkataba huo nikiwa nchini Uingereza, niliona sio busara kuhatarisha uwekezaji wa mradi jambo ambalo lingeathiri maslahi ya taifa "

Kwa hiyo huyu bwana aliamua , kwa nini anataka kutreat maamuzi ya nchi kama maamuzi ya nyumba yake , anasema aliamua kwa sababu aliona, kwa hiyo mikataba inasainiwa kwa utashi wa waziri na sio maamuzi ya bunge pamoja na wizara husika. ...jamani hizo sentensi zote hapo juu ni first person singular

Mungu tusaidie wadanganyika !
 
Hivi CHADEMA hamna Strategists? Kosa tunalofanya ni kulishambulia bunge lote la CCM. Inatakiwa kuanza ku target watu wachache, wale vimbelembele kama Malima na kurusha makombora kwao karibu kila siku. Ukirudia jambo mara nyingi hata kama ni uongo wananchi wataamini ni ukweli (msinihukumu mimi kwa hilo).

Kwa mfano pamoja na matatizo ya spika sio idea nzuri kupeleka mashambulizi kwake, hivyo hivyo kwa JK maana hapo inaweza kuwa kugonga ukuta. Lakini mashambulizi yakienda kwa Lowasa, ni rahisi
sana watu kuamini afterall mwalimu alimwita mwizi (kwa kumuuliza mali amepata wapi?).

Tafuteni wabunge kama 20 hivi na ni kula sahani moja na hao. Mmojawapo ni Malima, yule msanii Muhudhuri nafikiri nimekosea jina lake, yule mama Baltida, Chenge na wengine wachache. Tukishambulia bunge zima basi mashambulizi yetu yatakuwa diluted.
 
Huyu bwana mudhihiri mudhihiri msameheni hana kosa kwanza
hata elimu yake ni ndogo na inamtosha ye na familia yake ndio maana yuko dar muda wote akijua ubunge ni wa familia yake,,hata sasa anapoangaika na shule pale open..kisa kahahidiwa cheo fulani
ni moja ya matokeo ,,,ma prof kuleni vichwa washenzi kama hawa
wawe na adabu,,pili jamani kweli tutafika kwa style hii jamani haya
mungu tumwachie mwenyewe natumaini anaona yote na kwajina la yesu ipo siku wananchi tutachoka mheshimiwa jakaya kikwete na familia ya El mtakapoamini kumbe mungu yupo,,,tutachoka nakuamua jambo msiloamini kutafuta haki zetu
 
HUYU BWANA MGONGO MGONGO NAFIKIRI KAMA WABUNGE WALIVYOFANYA NASISI TUMSIMAMISHE KWENYE BLOG YETU

Huo ndio unafiki wa Wana-CHADEMA ninaousema. Wanalaani Zitto kufungiwa Bungeni, wakati huo huo wanataka watu wengine nao wafungiwe kutoa mawazo yao kisa tu hayafanani na ya kwao. Your true colours ndio zinajionyesha mnapozidiwa hoja.
 
Usikonde mkubwa, groupies wa Mbowe wako wengi This is what he is supposed to be doing, and I don't see anything heroic or remarkable about it (well, unless he scores another man's wife again).

The point ni kwamba next time afanye research kwanza, otherwise atakuwa reduced to an idiot.

Wewe kweli ndio idiot........

Yaani unataka Zito akutake nawe..... umekuwa groupie wa wengi huko chamani na sasa unataka from chadema pia?
 
Kumbe Mugongo ni dada?

Samahani hilo la personal attack, nilikosea na nimefuatilia na kuona na yeye ni mwanachama huko.

Ila bado naheshimu mchango wake hata kama sikubaliani naye katika mengi. Bila ya watu kama Mugongo kweli hii forum ingegeuka
kuwa bunge la ....

Mugongo kwa maandishi yake hata kama mafupi, anawafanya watu wengi wafikiri na kuatafakari badala ya kuitikia tu kale kawimbo ka ushabiki.

Mugongo endelea, tunahitaji mchango wako.

Usikonde mkubwa, mimi huwa na-enjoy ligi kama hizi...and I get my fix by being contrarian, ila groupies wa Mbowe wako wengi kweli kwenye hii Forum na wanashambulia kama VietCongs, na wengine wanajiandikisha upya. Ha ha ha!

Anyway, nasoma ushabiki wa kumpongeza Zitto na kumuita shujaa naisikitikia nchi yangu. Yaani Mbunge wa upinzani kufanya kazi yake anayostahili kuifanya Bungeni anaitwa shujaa? This is what he is supposed to be doing, and I don't see anything heroic or remarkable about it (well, unless he scores another man's wife again).

The point ni kwamba next time afanye research kwanza, otherwise atakuwa reduced to an idiot.
 
Huo ndio unafiki wa Wana-CHADEMA ninaousema. Wanalaani Zitto kufungiwa Bungeni, wakati huo huo wanataka watu wengine nao wafungiwe kutoa mawazo yao kisa tu hayafanani na ya kwao. Your true colours ndio zinajionyesha mnapozidiwa hoja.

Mnapozidiwa hoja na nani...

mbona kugeneralize watu bila backups?

Kwanza una case ya kujibu kuhusu ile skendo yako ya wizi wa mitihani......

JF wanaprotect identity yako kwa kukataa watu ku-reveal id za wenzio na bado unacry like a baby kuwa unazuiwa....

Chadema kama ndio wengi hapa watakupa freedom mnayowanyima wenzio huko bungeni...
 
MUONGOMUONGO HAUNA MAWAZO TOFAUTI. TATIZO LAKO UNAKEJELI UTU WA WATANZANIA. NAKUHAKIKISHIA KAMA UNAONA NI MCHEZO HUU VERY SOON UTAJUTIA HAYA UNAYOYAFANYA HAPA. USIDHANI KUWA YATAISHIA HUMU KWENYE FORUM TU. WENGI WALIKUWEPO KAMA WEWE NA WENGI WATAKUJA LAKINI KUMBUKA TANZANIA HAITAKUWA HII HII AMBAYO UNAJIONA UPO KATIKA TIMU YA USHINDI. LAKINI VILEVILE LEO KIJANA KESHO MTU MZIMA NA MTONDOGOO UTAKUWA MZEE. KAULI ZAKO HAPA HAZITAFUTIKA KATIKA HISTORIA.

Tanzanianjema
 
Ha ha ha! You have been provoked, sio? And you want to take it outside. Hoja hujibiwa kwa hoja, si ndio msemo wenu?
 
Back
Top Bottom