Katibu Tarafa
JF-Expert Member
- Feb 16, 2007
- 989
- 54
Mugongo Mugongo,
Mimi kwa mara ya kwanza jana nimeangalia kila kitu.
Hakukuwa na kitu cha maana pale, kama ni kujieleza Zitto aliwazidi kabisa.
CCM kosa wanalofanya ni kuwanyamazisha wabunge wao na hivyo kumpa Zitto uwanja mkubwa wa kutamba. Wabunge wa CCM hawawezi kupinga jambo hata lile ambalo ni wazi kama la BOT. Matokeo yake wataonekana wazuzuzu tu.
Kuna haja ya kupata video zote za mwenendo wa bunge na kuzitumia hizo hizo mwaka 2010.
Hivi kule kwa Malima hakuna kijana anayetaka kupambana naye? Inabidi kuanza kufikiria njia za kuwaondoa wale wanaojiweka mbele kukwamisha demokrasi bungeni.
Ilongo,
mimi sijayasikia wala kuyasoma hayo majibu ya waziri kutokana na hoja za zitto,ndio maana nashindwa kuchangia.
Hivi jamani? kuna tofauti ipi kati ya wabunge wa CCM na mawaziri ? mbona kwenye hili la Zitto wabunga wa ccm
walijimuvuzisha kuwa mawaziri ,hee!!
walijibu hoja badala ya kuchambua hoja, hawakuonyesha kuwa wawakilishi wa waliowatuma bungeni
Kumbe Mugongo ni dada?
Samahani hilo la personal attack, nilikosea na nimefuatilia na kuona na yeye ni mwanachama huko.
Ila bado naheshimu mchango wake hata kama sikubaliani naye katika mengi. Bila ya watu kama Mugongo kweli hii forum ingegeuka
kuwa bunge la ....
Mugongo kwa maandishi yake hata kama mafupi, anawafanya watu wengi wafikiri na kuatafakari badala ya kuitikia tu kale kawimbo ka ushabiki.
Mugongo endelea, tunahitaji mchango wako.
Hivi CHADEMA hamna Strategists?
HUYU BWANA MGONGO MGONGO NAFIKIRI KAMA WABUNGE WALIVYOFANYA NASISI TUMSIMAMISHE KWENYE BLOG YETU
Usikonde mkubwa, groupies wa Mbowe wako wengi This is what he is supposed to be doing, and I don't see anything heroic or remarkable about it (well, unless he scores another man's wife again).
The point ni kwamba next time afanye research kwanza, otherwise atakuwa reduced to an idiot.
Kumbe Mugongo ni dada?
Samahani hilo la personal attack, nilikosea na nimefuatilia na kuona na yeye ni mwanachama huko.
Ila bado naheshimu mchango wake hata kama sikubaliani naye katika mengi. Bila ya watu kama Mugongo kweli hii forum ingegeuka
kuwa bunge la ....
Mugongo kwa maandishi yake hata kama mafupi, anawafanya watu wengi wafikiri na kuatafakari badala ya kuitikia tu kale kawimbo ka ushabiki.
Mugongo endelea, tunahitaji mchango wako.
Huo ndio unafiki wa Wana-CHADEMA ninaousema. Wanalaani Zitto kufungiwa Bungeni, wakati huo huo wanataka watu wengine nao wafungiwe kutoa mawazo yao kisa tu hayafanani na ya kwao. Your true colours ndio zinajionyesha mnapozidiwa hoja.
MUONGOMUONGO HAUNA MAWAZO TOFAUTI. TATIZO LAKO UNAKEJELI UTU WA WATANZANIA. NAKUHAKIKISHIA KAMA UNAONA NI MCHEZO HUU VERY SOON UTAJUTIA HAYA UNAYOYAFANYA HAPA. USIDHANI KUWA YATAISHIA HUMU KWENYE FORUM TU. WENGI WALIKUWEPO KAMA WEWE NA WENGI WATAKUJA LAKINI KUMBUKA TANZANIA HAITAKUWA HII HII AMBAYO UNAJIONA UPO KATIKA TIMU YA USHINDI. LAKINI VILEVILE LEO KIJANA KESHO MTU MZIMA NA MTONDOGOO UTAKUWA MZEE. KAULI ZAKO HAPA HAZITAFUTIKA KATIKA HISTORIA.
Tanzanianjema