The case against MUSTAFA MKULO

The case against MUSTAFA MKULO

Mukiangalia kwa makini ni kwamba Mkulo alikopeshwa hizo fedha bila kufuata taratibu na kwamba alichukua wakati wa kampeni za uchaguzi ndani ya CCM 2007. Sasa kukopa si makosa bali kukopa ni lazima ulipe na kama Waziri wa Fedha anakopa bila kufuata taratubu katika shirika ambalo lina ufisadi halafu hawachukuliwi hatua halafu WAZIRI HALIPI HILO DENI NI KAZI KWELIKWELI. Sumaye alikopa PPF milioni 50 na kulipa harakaharaka, aliandamwa na hiyo ni moja ya sababu ya kuchafuka kwake na kuukosa URAIS, sasa tunachotetea ni nini sasa? Hata kama atakuja kulipa sasa, atueleze na atatue matatizo ya UFISADI BENKI YA POSTA KAMA ANA UBAVU WA KUWAGUSA WAFADHILI WAKE
 
sasa imesemwa kuwa fedha hizo zimechotwa Benki ya Posta... Hivi na hiyo anuani ni ya kwake au ya Wizara ya Fedha?
 
Eee Mungu Tuokoe Na Janga Hili Kila Mtu Mtafunaji
Keh Nyie Hamwogopi
 
EPA funds ownership: It is government money, states ex-BoT governor

-’Quite ludicrous to say it’s not’

SEBASTIAN MRINDOKO
Dar es Salaam

FORMER Bank of Tanzania (BoT) governor Edwin Mtei has added his voice to the ongoing debate over who precisely owns the more than 133bn/- embezzled from the central bank’s external payment arrears (EPA) account, asserting that these funds unquestionably belong to the government.

Mtei, who was the BoT’s first indigenous governor for eight years (1966-1974), told THISDAY in an exclusive interview that the government's apparent disowning of the EPA funds is in fact unjustifiable.

Having also served as finance minister in the first phase government of the late Mwalimu Nyerere (1977-79), he self-assuredly dismissed the controversial statement made in Parliament by the current Finance Minister Mustafa Mkulo, to the effect that the government has nothing to do with the stolen funds.

’’Since the EPA account was created by the government itself in its efforts to address a serious scarcity of foreign exchange at that time, there is no doubt whatsoever that the money belongs to the government and its (poor) citizens,’’ Mtei said.

During his colourful public career, Mtei was also the last secretary general of the first East African Community (EAC) which collapsed in 1977, and with the advent of political pluralism to the country in the early 1990s, was the founder chairman of the opposition Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).

He told THISDAY that the central bank�s EPA account was created by the government to help facilitate international transactions between local parastatals and businessmen and foreign suppliers.

According to Mtei, the acute shortage of forex in the country from the 1970s through to the early 1990s was chiefly occasioned by the Kagera war with Uganda, unfavourable developments in balance of payments, natural calamities such as droughts, and various other factors.

He noted that under the EPA system, local companies or individuals wishing to import products from abroad using forex were required to deposit, at the then state-owned National Bank of Commerce (NBC), an amount of Tanzanian shillings equivalent to the full amount of whatever foreign currency the importer needed.

’’By the time the EPA account system was terminated, there were still significant amounts of money owed to various overseas suppliers by the NBC and the government, with the BoT assuming responsibility for this debt. Therefore, it is quite ludicrous to now say that this money doesn’t belong to the government,� stated Mtei.

He noted further that with the impending privatization and sale of NBC, and the government being quite aware that no investor would accept to buy the bank with such huge EPA debts hanging over it, it was hence consciously decided at official level to transfer the account to the BoT for administration.

According to Mtei, although some of the EPA debts were actually written off by foreign companies that did business with the government decades ago, the debts were apparently kept on record by ’dishonest’ officials at the BoT, and later fraudulently assigned to local companies to facilitate the eventual misappropriation of the funds.

’’The EPA funds are owned by the government, therefore in extension it is money that belongs to poor Tanzanians,’’ said the ex-BoT supremo and finance minister.

Further warming up to the subject, he asserted that the placing of ’unfaithful individuals’ in positions of authority at sensitive financial institutions like the BoT is what led to the uncovering of massive embezzlement of funds from public coffers over the years, ’’in the process ruining the country’s economy and plunging Tanzanians into deeper poverty.’’

According to Mtei, Tanzania needs leaders with unquestionable integrity particularly at the helm of key public institutions such as the central bank, being the custodian of the country’s economic and financial well-being.

The former governor’s sentiments echo scepticism already raised in various knowledgeable quarters over Mkulo’s assertion that the embezzled EPA funds do not belong to the government.

In his controversial statement to the ongoing parliamentary budget session in Dodoma, the incumbent finance minister said the EPA funds are not government property, but rather the property of various private companies, with the central bank being involved in the transactions only as an ’agent.’

However, this has been roundly and hotly disputed by a number of public and independent financial experts and auditors interviewed as part of a subsequent and ongoing THISDAY survey - Mtei being the latest.

Even the EPA account special audit report for 2005/06, conducted by the international audit firm Ernst & Young, categorically describes the funds as being government property and, among other things, also calls for a proper criminal investigation into the matter.

It is understood that the six-month deadline given by President Jakaya Kikwete to a high-powered probe team into the EPA scandal, chaired by Attorney General Johnson Mwanyika, has since formally come to an end.
 
Behind every corrupt Minister, there is an inept and hands-off President by the name of Jakaya Mrisho Kikwete.
 
Mkulo hata degree hana. Alikuwa anatafuta zile za kununua toka Almeda University ili awe angalau na MBA. Sasa tutegemee nini toka kwake zaidi ya pumba. Hakustahili hata hiyo nafasi aliyo nayo, he has to go.
 
Shida tuliyonayo na viongozi wetu ni kwamba hawawezi kusimamia yale wanayoamini ndio wanapaswa kusimamia matokeo yake wana dance to the tune of bwana mkubwa, mpaka hapo tutakapopata viongozi wenye discipline na wanaosimamia ukweli hata kama mbingu zinapasuka then tunaweza kuwa na imani na uongozi wa serikali au ngazi yoyote ile.

Kutanguliza maslahi na heshima mbele na kusahau responsibility ya leadership ndio kitu kinaturudisha nyuma.Huwezi kuwa kiongozi kama unafanya kazi kwa uoga. Leadership, Giuliani writes, "works both ways: it is a privileged, but it carries responsibilities. A leader must develop strong beliefs, articulate and act on those beliefs, and be held accountable for the results" (Giuliani, 2002).
 
Mkulo hata degree hana. Alikuwa anatafuta zile za kununua toka Almeda University ili awe angalau na MBA. Sasa tutegemee nini toka kwake zaidi ya pumba. Hakustahili hata hiyo nafasi aliyo nayo, he has to go.

Elimu ni muhimu katika Uongozi lakini elimu sio kila kitu. Kuna viongozi wamesoma sana, na wana PhD lakini angalia walivyo. Angalia elimu ya Chenge, Chenge amesoma kwenye moja ya vyuo vikubwa na vya maana kabisa duniani, angalia alivyo. Mungai na elimu yake kubwa amevuruga system ya elimu ya Tanzania na mpaka sasa anaachwa tu.
Lakini angalia Mrema mwenye elimu ndogo alivyokuwa efficient. Kwa hiyo tusimlaumu Mkullo kwa sababu ya elimu, cha kumlaumu ni kuwa hatumii busara ya kuzaliwa nayo.
 
Kuna maeneso ambayo mtu bila utaalamu wa kutosha kwenye hiyo field anaweza akaongoza bila shida. Sidhani kama wizara ya fedha ni kati ya hayo maeneo.

Bw. Mkulo, Min qualification kwenye masuala ya pesa anazo lakini ukiangalia jinsi alivyozipata, part time training, unatilia wasiwasi kabisa uwezo wake katika masuala ya uongozi wa fedha unless kama alishawahi ku-prove mahali kuwa amefanikiwa kuongoza financial insititution. Kitu ambacho sidhani kuwa alishawahi kufanikisha mahali popote. Kwa hiyo sielewi ni kwa kigezo gani alichaguliwa maana kama cha shule hakipo kingine kilichomuweka hapo kwenye nafasi muhimu kiasi hicho katika nchi ni kipi??
 
Swali kwa Mkullo:::

Assumption:::::: NBC ni benki inayomilikiwa 100% na Serikali ya Tanzania.

1. Mwananchi anaenda NBC, anadeposit hela zake kwenye account yake na kuondoka.

2. Mameneja wa NBC, wanafanya mpango na kuina hela kwenye account ya huyo mwananchi.

3. Wizi unagundulika baada ya uchunguzi wa kina

Nani yuko liable na upotevu wa hizo hela za huyo mwananchi???

Je, waziri anaweza kuwaambia watu oh msijali zile hela sio za NBC ni za mwananchi mmoja tu.

Je, waziri haoni kuwa lazima NBC itabidi ilipe hizo hela?/ Sasa kama NBC ni mali ya serikali, je si ina maana pesa zilizoibiwa ni za serikali sababu ndio iko liable??

Yaani Mkullo kama sio chizi lazima anatuona sisi ni machizi!!!!
 
Moelex,

Mimi vile vi statement vya Mkulo sikuvifuatulia maana nilikuwa simuelewi.

Bring me up to speed.

Yani alisema hela za EPA sio za Serikali ki vipi yani, kwa nini?

Mantiki yake ilikuwa nini eti?

Please.
 
Moelex,

Mantiki yake ilikuwa nini eti?

.

Mimi nilihisi hivi pmoja na kwamba wengine wanaweza kutoa majibu mengine

1. Kwa sababu ni za wafanya biashara then wanaweza kuzichukua wakati wowote na kwa utaratibu watakao hamua wao wenyewe hata wakiwa na nyaraka feki.

2. Hakuna haja ya kuzifikiria katika suala zima la bajeti.

Shida tuliyonayo na viongozi wetu ni kwamba hawawezi kusimamia yale wanayoamini ndio wanapaswa kusimamia matokeo yake wana dance to the tune of bwana mkubwa, mpaka hapo tutakapopata viongozi wenye discipline na wanaosimamia ukweli hata kama mbingu zinapasuka then tunaweza kuwa na imani na uongozi wa serikali au ngazi yoyote ile.

Kutanguliza maslahi na heshima mbele na kusahau responsibility ya leadership ndio kitu kinaturudisha nyuma.Huwezi kuwa kiongozi kama unafanya kazi kwa uoga. Leadership, Giuliani writes, “works both ways: it is a privileged, but it carries responsibilities. A leader must develop strong beliefs, articulate and act on those beliefs, and be held accountable for the results” (Giuliani, 2002).
Tatizo letu ni katiba. Rais wetu amepewa madaraka makubwa mno kuliko hata waliompa urais. Na sasa dharau na kutojali kote kunaanzia hapo.
We need to see changes, we need new constitution. Basi.
 
Kuna maeneso ambayo mtu bila utaalamu wa kutosha kwenye hiyo field anaweza akaongoza bila shida. Sidhani kama wizara ya fedha ni kati ya hayo maeneo.

Bw. Mkulo, Min qualification kwenye masuala ya pesa anazo lakini ukiangalia jinsi alivyozipata, part time training, unatilia wasiwasi kabisa uwezo wake katika masuala ya uongozi wa fedha unless kama alishawahi ku-prove mahali kuwa amefanikiwa kuongoza financial insititution. Kitu ambacho sidhani kuwa alishawahi kufanikisha mahali popote. Kwa hiyo sielewi ni kwa kigezo gani alichaguliwa maana kama cha shule hakipo kingine kilichomuweka hapo kwenye nafasi muhimu kiasi hicho katika nchi ni kipi??

Unachokisema ni kweli. Lakini mara nyingi uwaziri ni political appointment na sio professional appointment, mawaziri wetu wengi wamepewa uwaziri kwa jili ya ushakaji tu na kujaza nafasi lakini sio kutokana na uwezo wao. Kwa hiyo we do not expect much kutoka kwa ubongo wa waziri. Lakini inategemeana ana busara kiasi gani kuweza kutumia resources alizonazo wizarani kuweza kufanya decisions za maana au hata kutoa statements za maana. Wizara zina professionals wengi sana, tena wafanyakazi wengi wa ngazi za chini wana uwezo mkubwa sana kuliko hata mawaziri, lakini sytem yetu inawapuuza hao.
It is ridiculous kwa mtu mwenye ofisi kama yake, na ni matusi kwa watu walio chini yake kwenye wizara yake kusema pesa za EPA sio mali ya serikali. Wakati mawaziri wenzake wote wanafahamu kuwa ni pesa za wananchi na ziliibiwa na viongozi wakuu wa serikali. Kujua hii hakuhitaji hata cheti cha form six, ni common sense tu. Huu ni upuuzi at the highest level, if not we have to find out why would he say something which even his conscious tells him that it is stupid.
Kibaya zaidi ni kuwa soon after he made these absurd comments, mtu huyohuyo anakwenda kukutana na donors ambao hawapendi upuuzi upuuzi, sijui serikali ilikuwa inategemea nini? sijui watanzania tulikuwa tunategemea nini. Tuko kwenye aibu na tunazidi kujiabisha.
 
Shida tuliyonayo na viongozi wetu ni kwamba hawawezi kusimamia yale wanayoamini ndio wanapaswa kusimamia matokeo yake wana dance to the tune of bwana mkubwa, mpaka hapo tutakapopata viongozi wenye discipline na wanaosimamia ukweli hata kama mbingu zinapasuka then tunaweza kuwa na imani na uongozi wa serikali au ngazi yoyote ile.

Kutanguliza maslahi na heshima mbele na kusahau responsibility ya leadership ndio kitu kinaturudisha nyuma.Huwezi kuwa kiongozi kama unafanya kazi kwa uoga. Leadership, Giuliani writes, “works both ways: it is a privileged, but it carries responsibilities. A leader must develop strong beliefs, articulate and act on those beliefs, and be held accountable for the results” (Giuliani, 2002).

Watafanyaje kazi wakati ni incompetent???? kama kazi yao ni kununua vyeti ili waonekane wamesoma ili wapate nafasi wasizostahili, kweli tutegemee jipya TZ? I am so mad at this, kweli Tz tutakuwa kichwa cha mwendawazimu chini ya huyu mbabaishaji Kikwete for how long? Don't tell me watz mtampa kura za miaka mingine 5, hapo ndio nitaamini kweli wajinga ndio waliwao!!!
 
Siasa bongo ni kujilinda na kulindana full stop. Ndio maana nafuatalia siasa kujua hatma yangu but sio kwa kuipenda. Afadhali siasa za kuleeeee.

Asante
 
Kweli kabisa mkuu Nyambala,

reflection hapa ya Mkullo ni JK mwenyewe aliyeamua kumpa uwaziri wa fedha. Swali kubwa la kujiuliza ni kuwa, ukiunganisha kashfa ya BoT, ushiriki wa IMMA, mkopo wa NSSF kwa kina Manji na baadhi ya viongozi kwenye serikali ya JK, na uamuzi wa Kikwete kumweka Mkullo wizara ya fedha, Masha wizara ya mambo ya ndani, na uteuzi wa Mujilizi kuwa jaji unapelekea wapi mtizamo wa serikali ya Kikwete kwenye ufisadi?

Kweli hapo ulivyoeleza ongeza MATAKA, POSTA nk nk sasa namwona JK kama nuksi katika nchi hiihafai
 
1. Kwa sababu ni za wafanya biashara then wanaweza kuzichukua wakati wowote na kwa utaratibu watakao hamua wao wenyewe hata wakiwa na nyaraka feki.

2. Hakuna haja ya kuzifikiria katika suala zima la bajeti.

[/QUOTE]

Wakati akitamka Bungeni kuwa fedha ya EPA sio ya serikali na kurudia mara mbili mimi nilimwangalia sana usoni na niligundua toka body language kuwa ni mwongo,tapeli,jinga lisilojua kujenga hoja bali kulazimisha akitegemea msaada nje ya uwezo wake-yaani yeye kalamba dume, otherwise huyu jamaa tusitegemee chochote
 
Back
Top Bottom