The dark side of business

Hao waganga wa kienyeji watumie huo uganga wao kwa nguvu zako zote wawazidi matajiri wakubwa kama kina Aliko Dangote, Bakhressa, Mo Dewji na wengineo.

Hao waganga ndio makapuku nambari moja maskini choka mbaya wanaishi kwenye vibanda vya udongo.

Halafu wajinga kama wewe unaamini mganga huyo ndio ataweza kukupatia utajiri!!!

Maisha si rahisi hivyo wewe!!
 
Leta naww Uzi wako au nenda Kwa dukahuru
 
Nimeamini ushirikina ni kanuni na masharti.. lkn upande wa mungu kuna kanuni pia... kwa experience yako nijibu, je ukifuata kanuni za kimungu huwezi kuwa na ulinzi au kufanikiwa mkuu? Kama kweli ni kanuni zipi za kuzifuata ?
 
Now we are talking big boss, Lez continue!
 
#uelewa wako uko chini sana.

_bas hakuna mwalimu mkweli. maana hao walimu ndo wanafundisha watu ambao baadae wanakua madaktari

_utaratibu wakufanikiwa upo katika mfumo wangazi pia mafanikio yanakikomo chake kati yamtu mmoja namwingine

-jiulize kwann hao unaowaita wakina dangote na akina bakhresa mbona hawafiki level zaakina elon musk..? kwaio unatakiwa kujua hata ww najamaa yako mkipewa utajiri sawa baada yamuda lazima kuna mmoja atakua juu mwingine atakua chini.

matajiri wawili hawana tofaut na masikini wawili
 
Kwa miaka kadhaa niliyopo kwenye biashara nimejionea mafanikio ya biashara hayategemei nguvu za giza wala ulimwengu wa nuru

Mchawi wa biashara ni wewe mwenyewe. Wanaoenda kwenye nguvu za giza ni kutojiamini kwao tu. Utaroga sana utafanya maombi sana biashara ikikukataa imekataa chunguza sababu kwanini umeanguka

Nimeona wengi wanafirisika licha ya kuwa wanategemea ulimwengu wa nuru au wa giza

Labda nikuulize swali wanaofunga biashara au kufirisika au ambao biashara zao hazifanyi vizuri sababu huwa zinakuwa nini? Ni kutokuwa na nguvu za ulimwengu wa nuru au wa giza ndio unamaanisha hivyo?
 
#kuna wanaoenda kwawaganga kuchukua kinga tu_kuna wengine kinga pamoja na mivuto_
_alafu kuna wengine hawana hata mia ila wanaenda kupewa utajiri moja kwamoja

kwamfano; kuna watu wanatoa kafara ndugu zao then wanageuka kuwa misukule wanaufuga ndani-so hio misukule ndo inawaletea pesa cash (hii ni kwajinsi nilivyofatilia humu jf )
_so mara nyingi wanaofilisika kuna namna mbili au tatu

1) kukosea mashart watakayokuwa wamepewa

2)dawa kuisha nguvu

mtu ambae kachukua tu kinga hasa kujikinga na chuma ulete hawa biashara zao kufeli au kufaulu nikawaida kutokana na mhusika anaendesha vp biashara yake



kwasababu yeye anakua kajikinga tu na wale wahamisha pesa ila kuhusu wateja kuja niyeye na lugha yake na location aliopo na ukubwa wamtaji wake


ila hawa ambao wameweka mandondocha madukani kwao hata awe nalugha mbaya watu watakuja tu
 
ITS CRAZY JINSI WATU WANAVYOTUPIANA MADONGO HUMU.

ILA NINGEPENDA KUWAKUMBUSHA KUWA TUSIPENDE KUAMINI TUNAYOAMINI KUWA NDIO YENYE UHAKIKA 100%

USIMTUKANE MTU ANAYESEMA ANAWEZA KUPATA PESA KWA LUCIFER

USIMTUKANE MTU ANAEKUAMBIA PESA NI MBINU NA JITIHADA YAKO PEKEE

USIMTUKANE MTU ANAYESEMA YEYE ANASALI NA MUNGU ANAMFUNGULIA NJIA ZA PESA.

EBU JIULIZE KAMA WEWE NIMJUAJI WA KUJIAMINI , EBU TAJA SIKU YAKO UTAKAYOKUFA, OK HAUIFAHAMU, NI SIRI KUBWA, HIVYO HIVYO KUNA MAMBO YAPO NA HADI UNAKUFA UTAKAA KUYAJUA.

SO, TUWE OPEN MINDED, TUSIJIFANYE WAJUAJI SANAAAAA
 
Nimeamini ushirikina ni kanuni na masharti.. lkn upande wa mungu kuna kanuni pia... kwa experience yako nijibu, je ukifuata kanuni za kimungu huwezi kuwa na ulinzi au kufanikiwa mkuu? Kama kweli ni kanuni zipi za kuzifuata ?
Pale kwny lengo la uzi nilisema"mafanikio bila giza inawezekana"so naamini unaweza kutoboa kwa kupita light side,ila kanuni za kiroho giving,timing,risk taking, concealment,believing etc zinaleta matokeo bila kujali upo upande gani.
 
Pale kwny lengo la uzi nilisema"mafanikio bila giza inawezekana"so naamini unaweza kutoboa kwa kupita light side,ila kanuni za kiroho giving,timing,risk taking, concealment,believing etc zinaleta matokeo bila kujali upo upande gani.
Okey, Kwa mtu anayepitia changamoto kibiadhara , ni njia ipi kiroho unaweza mshauri ili aweze kujikwamua
 
Wapo matajiri wanaamini katika mungu - Mungu akawapa utajiri
Wapo matajiri wanaamini katika shetani(iblis) - iblis kawapa utajiri
Wapo maskini wanaamini katika mungu - Mungu hajawapa utajiri.
Wapo maskini wanaamini katika shetani(iblis) - shetani hajawapa utajiri.
Maana yake ni kuwa si kila aaminiye katika mungu anautaka sana utajiri wengine wanataka mengine tofauti na utajiri the same applied to iblis, Kwa shetani watu wanafuata vingi sio utajiri tu.
Alafu aliekuambia waganga wote maskini ni nani?.. Inaonekana unawajua sana waganga wa kienyeji eee kwanini usiwaulize kuhusu uwepo wa iblis ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…