Tanzanian Dream
JF-Expert Member
- Jun 10, 2024
- 274
- 1,771
- Thread starter
-
- #781
Nilishaeleza kwenye post za uko nyuma ila unaweza kuingia hapa www.chabad.org pale kwenye search andika why G-d and not God........kufupisha process,naandika M-ngu au G-d kuonyesha heshima na ni lazima nianze na capital later kuonyesha ukuu wake.Nikuulize kitu mbona kwenye kuandika Mungu au God wew unaandika M-ngu au G-d what's the reason behind?
Sikumbuki episode exactly ila alipost site humu ambapo kwenye hyo site inasema unapotaja jina la Mungu bila sababu maalum tumia code kama anavotumia, waka rejea amri ya Mungu inyoasema "usilitaje bure jina la Bwana Mungu wako" na badala yake ukilitaja kikamilifu taja mahali patakatifu.Episode ya ngap
Ungepata ushuhuda wa dr.hussein ungeelewa hiki ninachosema,son of G-d sio wa dini flani,Jesus is for all.Sasa mwislam na damu ya yesu wapi na wapi?
NashukuruSikumbuki episode exactly ila alipost site humu ambapo kwenye hyo site inasema unapotaja jina la Mungu bila sababu maalum tumia code kama anavotumia, waka rejea amri ya Mungu inyoasema "usilitaje bure jina la Bwana Mungu wako" na badala yake ukilitaja kikamilifu taja mahali patakatifu.
Kama nimebugi atarekebisha.
Uko right!jina M-ngu ni sacred linatakiwa litajwe kwenye sacred issues tu kama prayer and worship lkn kwenye mambo mengine ni hekima kutumia codes.Sikumbuki episode exactly ila alipost site humu ambapo kwenye hyo site inasema unapotaja jina la Mungu bila sababu maalum tumia code kama anavotumia, waka rejea amri ya Mungu inyoasema "usilitaje bure jina la Bwana Mungu wako" na badala yake ukilitaja kikamilifu taja mahali patakatifu.
Kama nimebugi atarekebisha.
Ungeuweka hapa tukauona wote tu, kwahiyo unataka kuwaambia na waislam watumie pia biblia ili kufuata maagizo ya yesu?Ungepata ushuhuda wa dr.hussein ungeelewa hiki ninachosema,son of G-d sio wa dini flani,Jesus is for all.
Hii ndo mpango mzima brooStory ikiisha,nitaweka kanuni saba za kiroho,ambazo hazifungamani na imani,dini wala mila yoyote,hizi ni natural laws ambazo M-ngu aliziweka ili kutusaidia ku run maisha,ila wajanja wachache(waganga,wanajimu,wachawi,washirikina na waabudu shetani wote) wanazitumia na kupata matokeo,harafu wanakuja kusema ni nguvu za giza ndio zimewasaidia,kumbe ni hzo 7 natural laws.
Huu ndo ukweliDamu yenye nguvu kuliko damu zote
Damu ya mwana wa M-ngu ndio damu yenye nguvu kuliko damu zote,hii ni kafara iliyotolewa mara moja miaka mingi nyuma lkn ina nguvu hata sasa,ina uwezo wa kusafisha uovu wote,ina uwezo wa kulipa fidia ya damu yoyote ile,ina uwezo wa kuvunja maagano mengine ya damu.
Uko mkoa gani mkuuUko right!jina M-ngu ni sacred linatakiwa litajwe kwenye sacred issues tu kama prayer and worship lkn kwenye mambo mengine ni hekima kutumia codes.
Quran 70% ni bibliaUngeuweka hapa tukauona wote tu, kwahiyo unataka kuwaambia na waislam watumie pia biblia ili kufuata maagizo ya yesu?
Hata wenye uelewa mpana wa uislamu wanakiri Yesu Kristo(Issa bin-mariamu)ndiye atakaye hukumu wana-ulimwengu....na habari nyingi zihusuzo uislamu zipo Kumbukumbu la torati.Quran 70% ni biblia
Boss hujatujuza namna ya kujikinga biashara zetu zinapoingia kwenye misukosuko ya walimwengu. Ulisema Kuna njia kama Tano za kuutumia nje ya njia za Giza. Tusaidie mkuu, tupe elimu vijana tunaangamia kwa kukosa elim ya kiroho. Please please �
Backup zipo mbili tu,dark side au light side,kwenye dark side wanasema"result justify the means" lakin kwenye light side tunasema " means Justify results"...yaani cha maana zaidi sio matokeo ila ni njia uliyoitumia kupata matokeo.
Kwa mfano kwenye mtihani.
Kuna aliyefaulu kwasababu ya bidii yake ya kusoma na Kuna aliyefaulu kwa kupiga chabo.....wote wamefaulu lkn njia walizotumia ni tofauti.
[/QUOTEaisee ngoja niendelee kulima mgunga tu huku mbarali,