The dark side of business

The dark side of business

Nikuulize kitu mbona kwenye kuandika Mungu au God wew unaandika M-ngu au G-d what's the reason behind?
Nilishaeleza kwenye post za uko nyuma ila unaweza kuingia hapa www.chabad.org pale kwenye search andika why G-d and not God........kufupisha process,naandika M-ngu au G-d kuonyesha heshima na ni lazima nianze na capital later kuonyesha ukuu wake.
 
Episode ya ngap
Sikumbuki episode exactly ila alipost site humu ambapo kwenye hyo site inasema unapotaja jina la Mungu bila sababu maalum tumia code kama anavotumia, waka rejea amri ya Mungu inyoasema "usilitaje bure jina la Bwana Mungu wako" na badala yake ukilitaja kikamilifu taja mahali patakatifu.
Kama nimebugi atarekebisha.
 
Nashukuru
 
Uko right!jina M-ngu ni sacred linatakiwa litajwe kwenye sacred issues tu kama prayer and worship lkn kwenye mambo mengine ni hekima kutumia codes.
 
Boss hujatujuza namna ya kujikinga biashara zetu zinapoingia kwenye misukosuko ya walimwengu. Ulisema Kuna njia kama Tano za kuutumia nje ya njia za Giza. Tusaidie mkuu, tupe elimu vijana tunaangamia kwa kukosa elim ya kiroho. Please please 🙏🙏🙏
 
Story ikiisha,nitaweka kanuni saba za kiroho,ambazo hazifungamani na imani,dini wala mila yoyote,hizi ni natural laws ambazo M-ngu aliziweka ili kutusaidia ku run maisha,ila wajanja wachache(waganga,wanajimu,wachawi,washirikina na waabudu shetani wote) wanazitumia na kupata matokeo,harafu wanakuja kusema ni nguvu za giza ndio zimewasaidia,kumbe ni hzo 7 natural laws.
Hii ndo mpango mzima broo
 
Damu yenye nguvu kuliko damu zote
Damu ya mwana wa M-ngu ndio damu yenye nguvu kuliko damu zote,hii ni kafara iliyotolewa mara moja miaka mingi nyuma lkn ina nguvu hata sasa,ina uwezo wa kusafisha uovu wote,ina uwezo wa kulipa fidia ya damu yoyote ile,ina uwezo wa kuvunja maagano mengine ya damu.
Huu ndo ukweli
 
Naomba ushauri Tanzanian Dream ,Binafsi sijawai shiriki maaganoya kiganga , lakini mke wangu aliniambia aliwai kwenda kwa mganga na walichinja kuku, then akanywa damu nadhani kwasababu ya changamoto za uzazi , pia na waliwai vunja nazi, na alipewa dawa za kunywa ,kupaka n.k.. NB: alifanya mm sikuwepo akaja kunambia baada ya 2 month ivi.. na nilikua na mkataza mambo ya waganga lakini alizunguka, Hadi sasi hivi hajafanikiwa.. still nampleka kanisani na kwenye maombi anaenda, lakini sijui kama ametoka kwenye madhabau au la? Kama unachochote cha kunishauri karibu mkuu unisaidie..
Pia nawengine nawakaribisha kwa ushauri.
 
Backup zipo mbili tu,dark side au light side,kwenye dark side wanasema"result justify the means" lakin kwenye light side tunasema " means Justify results"...yaani cha maana zaidi sio matokeo ila ni njia uliyoitumia kupata matokeo.

Kwa mfano kwenye mtihani.
Kuna aliyefaulu kwasababu ya bidii yake ya kusoma na Kuna aliyefaulu kwa kupiga chabo.....wote wamefaulu lkn njia walizotumia ni tofauti.
[/QUOTEaisee ngoja niendelee kulima mgunga tu huku mbarali,
 
Back
Top Bottom