antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 47,274
- 126,778
Okay,Nadhani uzi mpya itapendeza zaidi
ok sawa mkuuPm yangu itakuwa na shida,nimesharipot kwa moderator ndio nasikilizia
Vipi msambwanda Yasamin na Bijan walikuwa nao?Huyo yasamin alikuwa kisu vibaya,lakini wazo la kula tunda kimasihara sikuwa nalo,maana sikuwa na uhakika kama wana papuchi au la! 😀😀
Exactly upo sahihi.. anakaba hadi penati mzee.. asione txt kwenye simu ataongea hadi usiku wa mananeSasa kama mwanamke amekwisha ingia huko na kama anafanya hivyo kutokana na tishio la kuachwa na wewe basi ondoa hicho kikwazo na kuwa karibu naye muda mwingi kama inawezekana.
Ana hofu ya kupoteza jimbo.
Naomba nieleze hapa hapamkuu,Mr IQ nimeona issue yako....ila Kuna maswali mengi ya kuuliza,1)mmefunga ndoa?. 2)je ninyi ni born again? 3)huyo mke aliyeenda kwa witch,akanywa damu,alienda akiwa born again?kama hutojali nitumie majibu PM
usisahau kunitagNadhani uzi mpya itapendeza zaidi
Bijan ni mwanaumeVipi msambwanda Yasamin na Bijan walikuwa nao?
Funga naye ndoa kulingana na imani yako,utakuja kunishukuruNaomba nieleze hapa hapamkuu,
Huyu mwanamke nilimtolea mahali then nikamuweka ndani, sikulanae kiapoa kanisania au kufunga ndoa ya madhabahuni, lkn ni 3 Yrs now bado haja pata ujauzito.
Kuhusu kuborn again i think not yet, alienda akiwa katika hali hii.
😀Bijan ni mwanaume
💯changamoto nyingi watu tunapitia kwenye haya maisha muda mwingine watu hawafanyi sadaka za ukweli au sadaka hawazitoi kwa watu sahihi.Toeni sadaka kwa wajane ,yatima ,masikini wazazi au ndugu zako
Sadaka inakulinda wewe pamoja na mali zako na kazi zako.Sio unatoa 100 mbovu au 1000 chakavu unampa mtu.Weka fungu kabisa la kusaidia yatima kawalishe hata chakula kizuri bila kupiga mapicha na kupost.Kama unayo nafasi ya kumlea mzazi wako kwa kuishi nae fanya hivyo,kuna vitu Mungu atakusaidia kwenye mapambano ya waja wenye roho mbaya na wewe
Kuna uwezekano wewe hauna tatizo kwenye mfumo wa uzazi? Jambo moja na ni muhimu kulitambua ni kwamba sisiExactly upo sahihi.. anakaba hadi penati mzee.. asione txt kwenye simu ataongea hadi usiku wa manane
Exactly upo sahihi.. anakaba hadi penati mzee.. asione txt kwenye simu ataongea hadi usiku wa manane
Kuna uwezekano wewe hauna tatizo kwenye mfumo wa uzazi? Jambo moja na ni muhimu kulitambua ni kwamba sisiExactly upo sahihi.. anakaba hadi penati mzee.. asione txt kwenye simu ataongea hadi usiku wa manane
Kuna uwezekano wewe hauna tatizo kwenye mfumo wa uzazi? Jambo moja na ni muhimu kulitambua ni kwamba sisiExactly upo sahihi.. anakaba hadi penati mzee.. asione txt kwenye simu ataongea hadi usiku wa manane
Vyema mkuu!Exactly upo sahihi.. anakaba hadi penati mzee.. asione txt kwenye simu ataongea hadi usiku wa manane