The dark side of business

Karim Jee toyota ndiyo huyu ambae alikuwa waziri enzi za mwalimu? Sasa watoto wake ndiyo wanaendeleza biashara
 
Mambo ya nguvu za Giza,kafara, shiriki kwenye biashara yapo Sana tu sio waarabu, wahindi,waafrika wanafanya Sana visomo.
Kafara za kumwaga damu zipo sema namna zinavyotolewa ndo huwezi elewa, umeshawahi jiuliza ile supu wanayokunywa mashabiki wa yanga pale jangwani huwa inatolewa na nani na ni kwa malengo gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…