The dark side of business

The dark side of business

Ili kila mmoja asimpotezee mwenzake calories wewe endelea na kuamini kwenye kafara.

Na mimi niendelee kuamini kwenye kuwa na mtaji, ubunifu, management nzuri, soko la uhakika n.k

Nipo kwenye game la biashara kwa miaka kadhaa nazungumza kwa experience niliyo nayo.

Na kwenye hii sekta tupo na Wahindi, Waarabu, Wachina na Wazungu naelewa ninaposema wana mitaji na sio nguvu za kafara
hivyo vitu vingine hawawezi kukuambia abadani, wewe utaona sijui management sijui kitu gani, e.t.c ! Ili udumu kwenye biashara na mafanikio lazima ujue Siri Za Ulimwengu wa Roho na uwe kwenye upande mojawapo kati wa hizi ( Ulimwengu wa Nuru au Ulimwengu wa Giza). Hakuna biashara inayofanikiwa yenyewe bila kuwa na nguvu zinaendesha hizo biashara.

Naomba nikuulize swali! Je wewe Unamiliki biashara yako kama kampuni?, Real estates? au hata hizi za kawaida?

Kama Bado una long way to go kujua Siri za biashara katika ulimwengu wa roho ili uweze Ku sustain! Na hichi ndicho huwezi kufundishwa Shule.

Usije ukaingia kwenye biashara kichwa kichwa kesho unatembea na boxer siku pale unapoona 50M, 200M zinapokatika kama maji ndani ya 3 months..e.t.c
 
Kama kuna utajiri wa kishetani kwa nini usiutumie kwa nguvu zako zote Uwazidi watu kama kina Mo Dewj, Aliko Dangote, Bakhressa, Elon musk, Bill gates, warren Buffet, Jeff Bezos n.k?

Unasema "utoto" halafu wewe unayedai kuna utajiri wa kishetani ni kapuku maskini choka mbaya!!

Mtumie huyo shetani akupe utajiri, kama ni rahisi hivyo.
 
Mkuu kwa namna flani una hoja
 
inaendelea

Ilipoishia......
Ngurumo alinipa maelekezo ya namna ya kuwatoa wale ng'ombe na jinsi wale viumbe watakavyo sababisha ajali na baada ya hapo watakuwa ni mali yangu,watanifata kila mahali na nitakuwa na uwezo wa kuwatuma popote unapotaka.............
Je hao viumbe ni akina nani? na je nitafanikiwa kuwatoa hao ng'ombe.......

Sasa tuendelee
Baada ya ngurumo kunipa maelekezo ya namna ya kuwatoa wale ng'ombe,ilinifikirisha sana,akili yangu ilienda mbali kidogo,ikabidi nimuulize,

"Hiyo ajali ikitokea huyo dereva atanusurika?
Ngurumo:Kama ana kinga anaweza kupona lkn kama hana kinga ni lazima atakufa
"Hii iliniogopesha sana"
Mm:kwani hakuna njia nyingine?maana naona Kama tunaenda kuua mtu asiye na hatia!
Ngurumo:kijana mbona una huruma sana,utajiri utauweza?....hao ng'ombe hawatolewi kwa kuchinjwa,wanatolewa kwa ajali hakuna njia nyingine(alisisitiza mzee ngurumo)
Baadaye kidogo akaniambia wewe hofu yako ni dereva kufa,basi usijali,nitaangalia namna ya kumkinga lkn hiyo ni gharama nyingine,itabidi ulipie...

Ajali nyingi ni za mchongo
Mara nyingi ajali ikitokea tunaishia kumlaumu dereva lkn nyuma ya pazia,ajali nyingi ni platform ya kutolea kafara,ukipanda chombo chochote cha moto,iwe ni basi,meli,treni,ndege hata iwe bodaboda usidharau,fanya sala na ukishuka ushukuru....

Ile siku ikafika
Mzee ngurumo alinipeleka kwa mtu wake ambaye alikuwa ni mfugaji,kwa kuwa alikuwa tayari ameshampanga,tulimkuta anatusubiri
Ngurumo:unaona jinsi ng'ombe wake walivyo wakubwa,ndio maana nikakuleta huku.

Nililipa 1.6M,kila ng'ombe alinicost laki nane,dereva akaja,tukawapakia.

Safari ikaanza
Mimi na mzee ngurumo tulipanda pikipiki,tukatangulia mbele,jamaa anatufata kwa nyuma,moyoni niliwaza kile kinachokwenda kutokea......tulitembea Kama dk 15 hv, ngurumo akatoa kifuko mfukoni kilichokua na unga,tulipofika njia panda akamwaga ule unga na Kuna maneno akayasema...,ilitokea Lori hz tipper za mchanga iko moto vibaya ikaigonga ile canter ubavuni kwa nyuma,kwasababu ya speed ile canter ilienda chini,lile lori likaingia kwny mtaro.
Wakati huo sisi tumepark pikipiki tunaangalia ile ajali,nikawa nawaza kwa mzinga ule sidhani Kama Kuna mtu atatoka salama,nilianza kujiskia vibaya.......
Ngurumo:twende tukacheki Kama wale ng'ombe wamekufa au la!
Watu walikuwa wameshajaa eneo la tukio,mzee ngurumo alienda moja kwa moja kutazama ng'ombe,Mimi nilienda kucheki wale madereva,yule wa Lori alikuwa mzima amekaa chini,yule aliyebeba ng'ombe walimtoa kwny gari wamemlaza chini,dah!nikasema kimoyo moyo"huyu atakuwa ameshavuta.....
Ghafla mzee ngurumo akanishika begani,akaniambia kijana" deal done"(huku akitabasamu)
Mm:mbona sasa yule dereva amekufa?(nilimuuliza kwa huzuni)
Ngurumo:yule hajafa amezimia tu.
Tulifanya mchakato wa kuwapeleka hospitali na kweli yule bwn alikuwa hajafa.

Baadaye kidogo tulikodi gari nyingine,tukabeba wale ng'ombe,tukaenda kuwazika.

Ngurumo:Sasa kila kitu kipo sawa..naomba urudi nyumbani ikajiandae maana usiku wa leo(ilikuwa alhamisi)wale viumbe watakuja,ila naomba uzingatie haya masharti matatu 1),usimwambie mtu yoyote mambo haya 2)usimguse mwanamke kwa miezi sita na baada ya hapo itakubidi uoe maana zinaa na utajiri havipatani na 3)kila siku ya alhamisi usiku,utakuwa unachoma udi,dukani na nyumbani kwako(mzee ngurumo alimaliza kutoa maelekezo)
Haya masharti sikuyaona Kama yana ugumu wowote ila lile sharti la pili kwa sehemu niliona ni kipengele 😀

Nikarudi home
Nimefika home nimechoka,nikaweka mazingira vizuri kwa ajili ya ugeni wa vile viumbe,nikaingia gheto(bed room)nikachoma udi za kutosha,kwasababu harufu ilikuwa kali ikabidi nitoke nikalale sitting room,nilipitiwa na usingizi mzito,niliamshwa na mlio wa simu,kucheki nani ananipigia,kumbe ni mtu wangu wa dukani,nilimpa maelekezo wakati wa kufunga achome udi za kutosha,baada ya Kama nusu saa aka nitext"boss nimeshachoma na duka tumeshafunga"
Nikacheki saa,ni saa mbili na nusu usiku,ghafla nikaskia mlango unagongwa..........mapigo ya moyo yalianza kunienda mbio,nikajisemea ndio wale viumbe wamekuja...nikawa najiuliza hivi viumbe zipoje,sura zao zipoje?nilijiuliza bila majibu....mlango ulizidi kugongwa....nilisogea pale mlangoni huku natetemeka..........................
******************************
Nilitamani nimpigie mzee ngurumo walau anipe neno moja la kunitia moyo maana nilihisi kuishiwa nguvu......nini kitajiri baada ya kufungua mlango?...........stay there!
 
Shusha vitu mkuu.
Hawa wanaosema sijui thibitisha uwepo wa shetani achana nao hawa tushawashtukia ni ma-agent wa bwana devil.
simple research kama anataka kujua mengi kuhusu shetani aenda kwa waganga wa kienyeji mbona wapo mitaani tu wazee wa tunguli, Nenda alafu uje hapa tuongee lugha moja.
 
Kama kuna utajiri wa kishetani kwa nini usiutumie kwa nguvu zako zote Uwazidi watu kama kina Mo Dewj, Aliko Dangote, Bakhressa, Elon musk, Bill gates, warren Buffet, Jeff Bezos n.k?

Unasema "utoto" halafu wewe unayedai kuna utajiri wa kishetani ni kapuku maskini choka mbaya!!

Mtumie huyo shetani akupe utajiri, kama ni rahisi hivyo.
We pimbi kwan mtu akitafuta njia zake za kua na pesa anafanya kuwapita wengine waliomzidi ili iweje, hakuna upumbavu wa namnahio hata siku moja, kila mmoja duniani kuna ambacho anakiamin kinaweza kumletea matokeo na wewe pigiri sio kila kitu lazima ujue kwamba flan kasoma sana vitabu ndio mana ni tajiri na mfanyabiashara mkubwa,,na sio kila kitu unachokiamin wewe utake na wengine wakiamin hicho unachotaka wakiamini, huo ni utoto na upumbavu,, nmekuoan sana kwenye mada mbalimbali unajifanya mjuaji flan, kumbe kajambaboya flani tu wa hapo manzese darajani, ...Wewe bado mtoto mdogo. Endelea kutawaza hapo kwa shemeji. Usubirie vocha za bure. Sengemaji! Shwain!
 
Pimbi ni baba na Mama yako waliozaa punguani kama wewe.

Nyang'au wewe.
kwan mtu akitafuta njia zake za kua na pesa anafanya kuwapita wengine waliomzidi ili iweje, hakuna upumbavu wa namnahio hata siku moja, kila mmoja duniani kuna ambacho anakiamin kinaweza kumletea matokeo
Pesa zote hutoka kwa binadamu. Hakuna kiumbe kiitwacho Shetani kinacho toa pesa.
na wewe pigiri sio kila kitu lazima ujue kwamba flan kasoma sana vitabu ndio mana ni tajiri na mfanyabiashara mkubwa,,na sio kila kitu unachokiamin wewe utake na wengine wakiamin hicho unachotaka wakiamini, huo ni utoto na upumbavu,, nmekuoan sana kwenye mada mbalimbali unajifanya mjuaji flan, kumbe kajambaboya flani tu wa hapo manzese darajani, ...Wewe bado mtoto mdogo. Endelea kutawaza hapo kwa shemeji. Usubirie vocha za bure. Sengemaji! Shwain!
Don't come here to vomit your nonsense, you fool

Baba yako bora angemwaga shahawa zake chooni kuliko kuzaa mbwa takataka kama wewe.

Zumbukuku wewe. Find someone of your league to parallel your mediocrity.

Idiot, nincompoop.
 
Utanipa na mimi hiyo namba ya mzee sudi

Ukiingiza tu story za kula tunda kimasihara naacha kuusoma huu uzi ndugu mwandishi

Huwa zinaanza hivi... Yule baba ake febi alikuwa na binti anaitwa manka Basi nilivyo kuwa naenda kuongeza kitabu kingine kumbe mtoto kanielewa ila tu alikuwa haniambii Toka kitambo
🤣🤣🤣,kwenye pesa mapenzi pia yapo mkuu
 
Jamii ya Kiafrica inakosa logic katika kujadili mada mbalimbali, na hili limekuwa tatizo la muda mrefu sana.

Yaani kwasababu wewe hujapitia kitu fulani au imani yako haikubaliani nayo basi kitu pekee ni kupinga, kwa style hiyo ujinga ni ngumu kumuisha mtu.

Kikija kitu kipokee jifunze, linganisha na kile ambacho ulikuwa unakijua kisha amua kukibeba ama kukiacha mezani, kwasababu kile ambacho wewe hukiamini na hakijawahi kukutokea kuna wenzako kimewatokea.

Wewe pekee huwezi kuexperience vitu vyote duniani hapa, sikiliza na uheshimu ya wengine pia.
Sure bro!!!
 
Back
Top Bottom