The dark side of business

The dark side of business

Hata wenye uelewa mpana wa uislamu wanakiri Yesu Kristo(Issa bin-mariamu)ndiye atakaye hukumu wana-ulimwengu....na habari nyingi zihusuzo uislamu zipo Kumbukumbu la torati.
Uislam unaegemea kwenye Quran na Sunna, sasa kama hili Issa kuhukumu wanaulimwengu halijaelezwa kwenye hivyo vyanzo viwili basi hakuna muislam mwenye kuitambua dini yake vizuri atakuelewa.

Labda hawa norminal muslim.
 
Samahani , lakini hii hoja yako kama kaandika mtoto wa darasa la tatu B. Kwa hiyo mtu aliefeli form four hawezi kumiliki shamba la kahawa au kokoa na kupata hizo bajaji baada ya kuuza hizo kokoa?
HIKI kisa nimekielezea vizuri KULE siyo hapa tafuta Uzi wa infroprenuer anaosema hakuna utajiri wa kichawi utasoma nilichokishuhudia kule
 
T
Naomba ushauri Tanzanian Dream ,Binafsi sijawai shiriki maaganoya kiganga , lakini mke wangu aliniambia aliwai kwenda kwa mganga na walichinja kuku, then akanywa damu nadhani kwasababu ya changamoto za uzazi , pia na waliwai vunja nazi, na alipewa dawa za kunywa ,kupaka n.k.. NB: alifanya mm sikuwepo akaja kunambia baada ya 2 month ivi.. na nilikua na mkataza mambo ya waganga lakini alizunguka, Hadi sasi hivi hajafanikiwa.. still nampleka kanisani na kwenye maombi anaenda, lakini sijui kama ametoka kwenye madhabau au la? Kama unachochote cha kunishauri karibu mkuu unisaidie..
Pia nawengine nawakaribisha kwa ushauri.
Tatizo la uzazi vp lilishafutika?
 
Mkuu huoni kwamba hapo umefundisha watu zaidi hiyo dark path na sio the right one??

Kwanini walau usiongeze episode moja ya jinsi ulivyotoka huko na Yesu kukukomboa?? Kwanini usielezee jinsi nuru inafanya kazi??
Huu uzi ulijikita kuonyesha dark side,labda next time nije na uzi wa light side.
 
Back
Top Bottom