Mr.Venture
JF-Expert Member
- Jan 2, 2014
- 1,609
- 605
Chonde chonde wanasayansi msije kuprove vitabu vyetu vya dini vimesema uwongo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dini ya Kikristo ilizinduliwa na Galileo kuwa dunia sio flat na wakaelewa, ila waislamu bado hawajazinduka, sijui dini za kijadi na wasiokuwa na dini wanamtazamoa gani. Ushauri: unaposhughulikia science usiingize dini au dini usiingize sayansi!
You just nail it!asipoelewa hapa walimu wake wakapewe pole na pia tunamshauri aishie kujadili hili humu humu tu asijaribu mtaani maana watotowa darasa la tano watamzonga!labda tumuongezee tu kuhusu dunia kuzunguka na vitu vyote vilivyomo ndani.
mfano mzur ni pale nzi anapokuwa anafly ndani ya basi lililo kwenye mwendo, kwa idea ya mleta mada ilibidi nzi asiende sawa na basi na hvyo angejigonga kwenye kioo cha nyuma cha basi. but kama tunavyoshuhudiaga ni kuwa nzi nae huenda sawa na basi bila ya kujigonga.
You just nail it!asipoelewa hapa walimu wake wakapewe pole na pia tunamshauri aishie kujadili hili humu humu tu asijaribu mtaani maana watotowa darasa la tano watamzonga!
Mfano mzuri ni juu ya meli kama umewahi kupanda meli.
Meli kubwa hata mpira unaweza kuchezwa bila tabu.
Ndege ni ndogo mno ukilinganisha na ukubwa wa dunia.
Ikiwa speed sawa na ndege ?
Speed kama ya ndege sio tatizo kama hapatakua na mawimbi na upepo.
Athari yoyote yoyote itasababishwa na upepo na mawimbi lakini sio speed.
Suala ni kuwa dunia ni mviringo wenye umbo la tufe na hakuna ubishi.
Hata wewe ungekua na akili kama Mungu ungeifanya hivyo hivyo ili iweze kuninginia na kuzunguka jua na kujizungusha yenyewe.
Mfano hai wa kuthibitisha kuwa umbo la dunia ni kama tufe ni umbo la mwezi unavyoonekana wakati wa kuandama na wakati unapozama lile umbo la kupinda ( linatokana umbo la dunia kuwa tufe na kivuli chake kuzuia mwezi mzima.
Ingekua ni flat basi mwezi ukiandama ungekua na umbo lililokatwa (|
.Kama umenielewa chukua tochi iweke kwenye meza halafu iibue kama inachomoza kama mwezi uone umbo lake then chukua tochi hiyo hiyo iweke kwenye mpira halafu iibue kama mwezi unaoandama ikiwezekana ipige picha uone mwonekano wa tochi inapochomoza mbele ya tufe.Bila shaka utaona maumbo mawili tofauti kwa kutizama ,umbo la ( kama mwezi mchanga na (| mara tu baada ya kuchomoza.
Tuliza akili yako,ufanye jaribio hilo na utafakari vizuri
Biblia naona jamaa alienda chaka kidogo, pembe nne za dunia haimaanishi dunia ni flat, kwani si kuna north,west,east na south!! Afu anavosema jua na mwezi vikasimama, hiyo ni lugha ya picha tu... Kama haamini dunia ni round akasome kwenye bibllia
Isaya 40:22 "Anakaa kwenye kiti cha enzi juu ya duara ya dunia, nao watu wakaao ndani yake ni kama panzi"
Hamna mkuu, tupo juu ya dunia, japo ndani ya atmosphere ambamo ndani yake kuna hewa na viumbe hai vyote..Mkuu... tupo ndani ya dunia.....?
Kwa nini upepo uwe na athari wakati mzunguko WA dunia ni pamoja na angalote na vilivyomo ikiwa ni pamoja na upepo ?
kama utafiti huu umeufanya ww mwenyewe ndugu yangu big up sana make ni waafrica wachache sana wenye spirit za kuwa watafiti hasa kwenye vitu kama hv,ishu uloileta ni njema na inaleta ufikiriaji mpya kwenye brain zetu mm binafsi siwezi kukupinga wala kukuafiki make dunia yetu hii imejaa na illusions kibao ambazi watu au taasisi chache wanajua ukweli wa hvyo vitu kwa manufaa yao wao wenyewe.naamini kabisa hata hao wanasayansi ambao leo tunatumia ugunduzi wao walianza kama ww na wakafika huko lazima uumize ndonga,mm binafsi ni miongoni mwa watu wasioamini sana katka mfumo story yaani kwasababu inasemekana iko hvi basi tukae kujua ndo hvyo hvyo.BIG UP MKUU #little hulk
Hamna mkuu, tupo juu ya dunia, japo ndani ya atmosphere ambamo ndani yake kuna hewa na viumbe hai vyote..
Nimewahi kusema kuwa kile tunachokijua ndio wanachotaka tujue kwa masilahi fulani, mfumo wa elimu pamoja na sayansi yote upo controlled na watu wachache, mfumo wa habari pia upo controlled, anaeamini kuwa picha za NASA zinaonyesha dunia duara, hajui kuwa NASA ni hao hao controllers.
Nachotaka kusema, anae amini jambo fulani, asiwapingine wengine wenye mtazamo tofauti na wake. Sisi kama binadamu tunatakiwa kutumia akili zetu ili kureason, sio kukubaliana na kila kitu mradi tu imeandikwa,au wamesema, au nimeona kwenye TV. Alieanzisha uzi hata kama anachowaza kikawa proved wrong, lakini ameonyesha uwezo wake wa ku reason ambao ndio Mungu Katuumba nao.

Mkuu Dreson4, mleta maada ana ushawishi kiasi chake lakini pia nakubaliana na maelezo yako
naomba nikuulize swali la kizushi tu
kwahiyo hivyo vifungu vya biblia vina walakini au mleta maada ndio hajavisoma na kuvielewa vizuri ??
.made in mby city.