Huo ndio umri mzuri kwa nafasi kama hizo.Samia yuko Kama wazee wengi
Wanakuwa na hulka ya kutamani kubaki in control/power hata Kama mambo yanaenda mrama…kubaki independent wasisaidiwe chochote….wakati wana deteriorate daily… criticise kidogo uone moto wao..
Kitendo cha kumuweka Kizigha kwenye Ile nafasi ndio nimeconclude huyu mama kazeeka, anaona critics wake Kama maadui personal, sio kwamba wanactrisise uongozi wake Bali yeye
Marais iwekwe Sheria wasiongoze beyond 60 years of age1
Kwanza as you age kuna cognitive decline, hivyo umakini unapungua
And second mbona wengine wana retire at 60, aende tu kwa kweli
Binafsi mimi jinsia yake wala sina shida nayo.250 years of independence, yet, no woman has held the highest office in US.
Tazama hata asilimia ya wanawake kwenye nafasi wanazogombea US kama ugavana wa majimbo, ubunge... Asilimia ni ndogo sana.
Huku kwetu Warioba na timu yake wakaja na kituko cha 50/50 bungeni.
Hopeless.
Mkuu,Binafsi mimi jinsia yake wala sina shida nayo.
Na tatizo si jinsia yake. Tatizo ni yeye kama yeye.
Giorgia Meloni mbona anaiongoza vizuri tu Italia…
Helen Clark na Jacinda Arden waliongoza vizuri tu huko New Zealand.
Hao na wengineo mbona jinsia zao hazikuwazuia kuongoza vizuri?
Kwani wewe ni Raia wa Italy na New Zealand ukajua Kama walifanya vizuri au la??Binafsi mimi jinsia yake wala sina shida nayo.
Na tatizo si jinsia yake. Tatizo ni yeye kama yeye.
Giorgia Meloni mbona anaiongoza vizuri tu Italia…
Helen Clark na Jacinda Arden waliongoza vizuri tu huko New Zealand.
Hao na wengineo mbona jinsia zao hazikuwazuia kuongoza vizuri?
Kama hawakuua raia wao ili wabakie madarakani na kama hawakuiba chaguzi, kwa mlinganisho, hawakufanya vibaya kama alivyofanya Samia.Kwani wewe ni Raia wa Italy na New Zealand ukajua Kama walifanya vizuri au la??
Au ni nini kimekupa ushahidi wa hayo.
Swali gani hili la kijinga unauliza, hv kwa nn ukishakuwa chawa unakosa na akili?!.Kwani wewe ni Raia wa Italy na New Zealand ukajua Kama walifanya vizuri au la??
Au ni nini kimekupa ushahidi wa hayo.
Hana akili ya kuweza kuchanganua mambo, ana hulka ya umimi, ukatili na kila jambo anapokosolewa analichukulia personal hivyo analigeuza kuwa mashindano kwamba tuone nani atashinda. It's obvious mtoto wake Abdul ndiye mshauri wake anayemuamini and sadly wote akili na 'roho' zao zinafanana.Uwezo wake wa uongozi ni duni tu, umri wake hata haujaenda sana.
Sasa tunaelewa zile 98 ziligeuzwa🤣🤣🤣Na huku amepata asilimia 98% kwenye Yes 😁😁
Shida yake siyo age. Ni uwezo.Samia yuko Kama wazee wengi
Wanakuwa na hulka ya kutamani kubaki in control/power hata Kama mambo yanaenda mrama…kubaki independent wasisaidiwe chochote….wakati wana deteriorate daily… criticise kidogo uone moto wao..
Kitendo cha kumuweka Kizigha kwenye Ile nafasi ndio nimeconclude huyu mama kazeeka, anaona critics wake Kama maadui personal, sio kwamba wanactrisise uongozi wake Bali yeye
Marais iwekwe Sheria wasiongoze beyond 60 years of age1
Kwanza as you age kuna cognitive decline, hivyo umakini unapungua
And second mbona wengine wana retire at 60, aende tu kwa kweli
Sahihi 😁Sasa tunaelewa zile 98 ziligeuzwa🤣🤣🤣
Samia ni reflection ya CCM ilivyo sasa hivi. Yes, kaji-impose mwenyewe, lakini CCM kungekuwa na watu wenye akili na maono hata kidogo, sasa hivi wangemlazimisha akae pembeni na kumwachia Nchimbi ili kuzuga dunia. Yes, ingebaki kuwa ile ile CCM muflisi, lakini wangeweza kuzuga watu wengi. Hapa ndipo mtu unaposhangaa jinsi tulipokosa viongozi wastaafu wenye weledi. Na hii inadhihirisha ule wasiwasi wa wengi kuwa Kikwete ndiye rais aliyeanza kuizamisha Tanzania kwenda kuzimu.She was never duly elected as president.
She just imposed herself. I wish people would stop addressing her as such [president].
Therefore, she can’t be the most disappointing president.
What we have is someone who is totally in over her head.
She has no leadership skills. She is dumb.
She is everything you don’t want for a person in a position of leadership.
Can she even explain, off the top of her head what macro or microeconomics is?
I think not!
Wewe ndio mjinga ila hujuwi kuwa ni mjinga.Swali gani hili la kijinga unauliza, hv kwa nn ukishakuwa chawa unakosa na akili?!.
Ktk dunia ya leo taarifa za Mataifa kama Italy na New Zealand inahitaji kweli mtu hadi awepo ktk nchi hizo kufanya mahojiano na wananchi?!.
Mauaji Samuya aliyoyafanya oktoba 29 hadi dunia yote ikajua ilihitaji watu kutoka nje kuja kuongea na watz?!.
Mkuu, kukiwa na uchaguzi huru na wa haki, kwenye nafasi yoyote hata mwanamke anaweza kuwa kiongozi mzuri tu. Tatizo la hiyo 50/50 linakuja pale siasa za kisanii na kulazimisha mambo zinapotumika kuhalalisha. Infact siyo 50/50 tu bali hata muungano wetu wa kulazimisha kuchukuwa viongozi kutoka Zanzibar nao ni shida. Hata uwiano wa dini kwenye uongozi pia. Hebu fikiri scenario hii. Kuna wanaume 10, wenye sifa nzuri kabisa za uongozi. Na kuna wanawake 10 nao hawana sifa. Kwenye kuchambua ili kupata viongozi 10, ukiamua kuchukuwa 50/50 kwa kutaka tu kuonekana kuwa ume-balance jinsia, unakuwa tayari umeingiza vilaza 5 kwenye uongozi wa kisingizio cha jinsia. Matokeo yake unakuwa ume-sacrifice quality kwa sababu tu ya gender. Hiii ndiyo angle ambao mimi huwa napinga. Hivyo hivyo, mtu kama Samia alijikuta amekuwa president in waiting kwa sababu ya takwa la muungano.250 years of independence, yet, no woman has held the highest office in US.
Tazama hata asilimia ya wanawake kwenye nafasi wanazogombea/chaguliwa US kama ugavana wa majimbo, ubunge... Asilimia ni ndogo sana.
Huku kwetu Warioba na timu yake wakaja na kituko cha 50/50 bungeni.
Hopeless.
Exactly, kwani hii ni random sampling ya uhalisia ulivyo.Sasa tunaelewa zile 98 ziligeuzwa🤣🤣🤣
Acha uongoPiga kura kwenye uzi huu.
Je, Samia Suluhu Hassan ndiye rais aliyetuangusha kuliko wote Africa?
Yes - Maana yake Samia ni rais aliyetuangusha kuliko wote Africa.
No - Maana yake Samia si rais aliyetuangusha kuliko wote Africa.
I Don't Know - Maana yaje sijui.
I Don' Care - Maana yake sijali.
Mojawapo ya jambo la hovyo sana la gender balance ni kuweka viti maalumu vya ubunge, tumezaja watu bungeni wasio wawakilishi na tunaingia gharama zisizo za lazima eti kwa sababu tu ya jinsia zao!Mkuu, kukiwa na uchaguzi huru na wa haki, kwenye nafasi yoyote hata mwanamke anaweza kuwa kiongozi mzuri tu. Tatizo la hiyo 50/50 linakuja pale siasa za kisanii na kulazimisha mambo zinapotumika kuhalalisha. Infact siyo 50/50 tu bali hata muungano wetu wa kulazimisha kuchukuwa viongozi kutoka Zanzibar nao ni shida. Hata uwiano wa dini kwenye uongozi pia. Hebu fikiri scenario hii. Kuna wanaume 10, wenye sifa nzuri kabisa za uongozi. Na kuna wanawake 10 nao hawana sifa. Kwenye kuchambua ili kupata viongozi 10, ukiamua kuchukuwa 50/50 kwa kutaka tu kuonekana kuwa ume-balance jinsia, unakuwa tayari umeingiza vilaza 5 kwenye uongozi wa kisingizio cha jinsia. Matokeo yake unakuwa ume-sacrifice quality kwa sababu tu ya gender. Hiii ndiyo angle ambao mimi huwa napinga. Hivyo hivyo, mtu kama Samia alijikuta amekuwa president in waiting kwa sababu ya takwa la muungano.
Samia siyo reflection ya CCM ilivyo sasa. CCM ya leo ni ileile ya Nyerere, yenye mianya mingi ya upigaji na ya mkubwa hakosei. Tofauti ni kwamba CCM ya sasa ina mafisadi jasiri ambao wapo tayari kutumia udhaifu wa chama na serikali kutimiza matakwa na maslahi yao.Samia ni reflection ya CCM ilivyo sasa hivi. Yes, kaji-impose mwenyewe, lakini CCM kungekuwa na watu wenye akili na maono hata kidogo, sasa hivi wangemlazimisha akae pembeni na kumwachia Nchimbi ili kuzuga dunia. Yes, ingebaki kuwa ile ile CCM muflisi, lakini wangeweza kuzuga watu wengi. Hapa ndipo mtu unaposhangaa jinsi tulipokosa viongozi wastaafu wenye weledi. Na hii inadhihirisha ule wasiwasi wa wengi kuwa Kikwete ndiye rais aliyeanza kuizamisha Tanzania kwenda kuzimu.