macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 29,500
- 61,451
Mkuu CCM ya mwalimu ilikuwa tofauti kabisa. Sasa hivi ni genge na wezi wakati kipindi cha Nyerere ilikuwa ni chama.Samia siyo reflection ya CCM ilivyo sasa. CCM ya leo ni ileile ya Nyerere, yenye mianya mingi ya upigaji na ya mkubwa hakosei. Tofauti ni kwamba CCM ya sasa ina mafisadi jasiri ambao wapo tayari kutumia udhaifu wa chama na serikali kutimiza matakwa na maslahi yao.
Naunga mkono hoja.Mojawapo ya jambo la hovyo sana la gender balance ni kuweka viti maalumu vya ubunge, tumezaja watu bungeni wasio wawakilishi na tunaingia gharama zisizo za lazima eti kwa sababu tu ya jinsia zao!
Nishapiga ngoma inasoma yes 89.5% bado kura zitaendelea pigwaPiga kura hapo juu mkuu tuone kama na hapa atapata zile 98.8% zake.
Duh...!, Mkuu Kiranga, kwanza kwa ruhusa yako, naomba kulitumia bandiko hili kama mbegu ya kuoteshea bandiko langu fulani.From The Economist April 30 2026
Is Samia Suluhu Hassan Africa’s most disappointing president?
Ila Pasco!!!! 😀😀😀😀Duh...!, hawa media ya mabeberu, jarida la the Economist, walimsakama sana Magufuli, Baba wa watu alipotwaliwa wakashangilia na kuanza vizuri na Samia kwa kumsifu,
Sasa wamemgeuka!
Maadam na sisi Tanzania tuna waandishi, na wana uwezo na Kiingereza kilichonyooka kuweza kuandikia the Economist, kama hiki walichoandika kumhusu Rais Samia ni ukweli, tunyamaze, tuchutame, lakini kama ni uongo, tukanushe!
Enzi za Magufuli, walianza hivi hivi na mauongo yao, nikawashauri serikali yetu tuukanushe uongo huo, uongo unapo rudiwa rudiwa bila kukanushwa unageuka ukweli!
P
KabisaAmewaangusha sana wanawake kwenye kuaminiwa nafasi za juu za uongozi.
Wapo kweli wanawake wenye uwezo lakini kita mwenye akili atatilia shaka sana kumpa nafasi ya juu kabisa ya uongozi mwanamke.
Huyu hana umri wowote ulioenda huyu ana uwezo mdogo tu kichwani mwakeSamia yuko Kama wazee wengi
Wanakuwa na hulka ya kutamani kubaki in control/power hata Kama mambo yanaenda mrama…kubaki independent wasisaidiwe chochote….wakati wana deteriorate daily… criticise kidogo uone moto wao..
Kitendo cha kumuweka Kizigha kwenye Ile nafasi ndio nimeconclude huyu mama kazeeka, anaona critics wake Kama maadui personal, sio kwamba wanactrisise uongozi wake Bali yeye
Marais iwekwe Sheria wasiongoze beyond 60 years of age1
Kwanza as you age kuna cognitive decline, hivyo umakini unapungua
And second mbona wengine wana retire at 60, aende tu kwa kweli
Hilo ni tusi au ni Sala?Huyo ni muuaji hata ikulu hatakiwi kuwepo shcdggnkurxdbnjkj……
Blah blah blah ... What's your view on this particular article?Duh...!, Mkuu Kiranga, kwanza kwa ruhusa yako, naomba kulitumia bandiko hili kama mbegu ya kuoteshea bandiko langu fulani.
Hawa jamaa ni media ya mabeberu, jarida la the Economist, walimsakama sana Magufuli, Baba wa watu alipotwaliwa wakashangilia na kuanza vizuri na Samia kwa kumsifu sana Samia tumaini jipya Tanzania: The Economist baada ya kumsakama sana Magufuli, sasa angalau lina matumaini na Samia, laanza naye vizuri
Sasa wamemgeuka!
Maadam na sisi Tanzania tuna waandishi, na wana uwezo na Kiingereza kilichonyooka kuweza kuandikia the Economist, kama hiki walichoandika kumhusu Rais Samia ni ukweli, tunyamaze, tuchutame, lakini kama ni uongo, tukanushe!
Enzi za Magufuli, walianza hivi hivi na mauongo yao, nikawashauri serikali yetu tuukanushe uongo huo, uongo unapo rudiwa rudiwa bila kukanushwa unageuka ukweli!
Mfano mzuri wa mauongo ya The Economist The Economist: Rais Magufuli ametangaza kufuta Upinzani ifikapo 2020 na kuirudisha Tanzania kuwa Nchi ya chama Kimoja
Nikawashauri serikali yetu, tuyakanushe mauongo haya!, nikapuuzwa!, wakapuuza hawakukanusha!
Uchaguzi wa 2020, Watanzania wakawataa wapinzani, wakaichagua CCM, ni wapinzani wawili tuu ndio waliingia bungeni, hivyo ikatikea kweli Bunge likawa ni bunge la chama kimoja na upinzani ukafutika kiukweli!.
P
Piga kura tuone watu wanasemaje, acha longolongo.Duh...!, Mkuu Kiranga, kwanza kwa ruhusa yako, naomba kulitumia bandiko hili kama mbegu ya kuoteshea bandiko langu fulani.
Hawa jamaa ni media ya mabeberu, jarida la the Economist, walimsakama sana Magufuli, Baba wa watu alipotwaliwa wakashangilia na kuanza vizuri na Samia kwa kumsifu sana Samia tumaini jipya Tanzania: The Economist baada ya kumsakama sana Magufuli, sasa angalau lina matumaini na Samia, laanza naye vizuri
Sasa wamemgeuka!
Maadam na sisi Tanzania tuna waandishi, na wana uwezo na Kiingereza kilichonyooka kuweza kuandikia the Economist, kama hiki walichoandika kumhusu Rais Samia ni ukweli, tunyamaze, tuchutame, lakini kama ni uongo, tukanushe!
Enzi za Magufuli, walianza hivi hivi na mauongo yao, nikawashauri serikali yetu tuukanushe uongo huo, uongo unapo rudiwa rudiwa bila kukanushwa unageuka ukweli!
Mfano mzuri wa mauongo ya The Economist The Economist: Rais Magufuli ametangaza kufuta Upinzani ifikapo 2020 na kuirudisha Tanzania kuwa Nchi ya chama Kimoja
Nikawashauri serikali yetu, tuyakanushe mauongo haya!, nikapuuzwa!, wakapuuza hawakukanusha!
Uchaguzi wa 2020, Watanzania wakawataa wapinzani, wakaichagua CCM, ni wapinzani wawili tuu ndio waliingia bungeni, hivyo ikatikea kweli Bunge likawa ni bunge la chama kimoja na upinzani ukafutika kiukweli!.
P
Mtu akipiga kura, una uwezo kujua kama amepiga au hajapiga?.Piga kura tuone watu wanasemaje, acha longolongo.