The Economist: Is Samia Suluhu Hassan Africa’s most disappointing president?

Is Samia Suluhu Hassan Africa’s most disappointing president?

  • Yes

  • No

  • I Am Not Sure

  • I Don't Care


Results are only viewable after voting.

60yo sio uzee sana hasa dunia ya leo. Wazee wengi tu umri huo bado wanafunction vizuri kabisa mentally and physically. Kadhalika hiyo inaweza kuwa age descrimination, no?

Hapa tatizo ni Samuya mwenyewe, hana utashi, elimu wala mental capacity to handle majukumu ya urais. Hata angepata hiyo nafasi akiwa 30yo bado angepuyanga maana akili yake imeishia hapo. Kakiri mwenyewe hana uwezo wa kufuatiliam miradi closely which speaks volume of her.
 
Tatizo sio jinsia hata kama unavyodai hapa,Bi Angela Merkel Kawa Councillor wa Ujerumani muda mrefu tu ila Ujerumani imesitawi mno kipindi chake.
 
Jahazi likikaribia kuzama inahitajika mtu makini kuweza kutuokoa, sasa jahazi limezama halafu unaletewa nahodha wa ajabu lazima tunywe maji ya bahari wote...CCM imetukusanyia matatizo wakayajaza kwenye Puto Hadi Puto linakaribia kupasuka sasa na hakuna mtu wala mpango wa kutuokoa.
 
Kura umeshapiga hapo juu mkuu?
 
Mkimbizi si ufuatilie uongozi wa huko USA. Huko bhana wanafganya censorship mitandao hasa kuipinga serikali ukiwa mtumwa , ukienda kinyume unarudishwa kwenu .
 
Kuwaza mambo kizamani kivipi?

Weka hoja kikamilifu siyo kuandika kama unaogopa.
Mmekuwa watu wa KULALAMIKA badala ya kuja na majibu .

Kama Ccm wanakosea basi tofauti yenu na Ccm haipo .

Ile 29/10 approach mliotumia ilionesha wazi uwezo wenu wa kufikiri ni mdogo sana .
 
Mmekuwa watu wa KULALAMIKA badala ya kuja na majibu .

Kama Ccm wanakosea basi tofauti yenu na Ccm haipo .

Ile 29/10 approach mliotumia ilionesha wazi uwezo wenu wa kufikiri ni mdogo sana .
Kwanza kabisa umefanya kosa moja kubwa la msingi la kulundika watu wengi wasio pamoja katika kundi moja.

Mimi kwa mfano nilikuwa kati ya watu ambao hawakuunga mkono maandamano wala fujo October 29 2025.

Niliunga mkono wasioukubali uchaguzi wakae nyumbani na kuususia.

Mpaka hapo tu utaona umeniunganisha kwenye kundi ambalo simo, kwa pupa, kwa jazba, bila ushahidi.

Kwa sababu tu mimi ni diaspora.
 
Ok samahani mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…