The Economist: Is Samia Suluhu Hassan Africa’s most disappointing president?

Is Samia Suluhu Hassan Africa’s most disappointing president?

  • Yes

  • No

  • I Am Not Sure

  • I Don't Care


Results are only viewable after voting.
Tatizo sio jinsia hata kama unavyodai hapa,Bi Angela Merkel Kawa Councillor wa Ujerumani muda mrefu tu ila Ujerumani imesitawi mno kipindi chake.
Sure; tatizo ni mazingira niliyokulia huko Tarime. Kwetu ukuriani kutawaliwa na mwanamke au mgeni inachukuliwa kama uchuro.
 
Yes , tayari kura yangu naiwasilisha.
 
Hizi kura za samuya zinaakisi kabisa hali ilivyo kitaa, hata ungepita masokoni, stand, mahospitalini nk nk huyu mama raia walio wengi hawamkubali!.

Kipimo kingine cha kukataliwa kwa samuya dhahiri kabisa kilikuwa idadi ya wapigakura wachache waliojitokeza kutoka kwenda kupiga kura oktoba 29 (ukiachana na takwimu fake za tume)!

Hadi vijijini wapiga kura walikuwa wachache mnoo...mawakala ni ndg zetu walitupa takwimu halisi ilivyokuwa!!!.
Kwa mara ya kwanza kabisa ktk historia tunatawaliwa na rais asiyekubalika KABISA na wananchi walio wengi!!!.
 
Shukurani kwa kutoa maoni yako.

Umepiga kura ya wananchi wa JF hapo juu?
 
Hadi vijijini wapiga kura walikuwa wachache mnoo...mawakala ni ndg zetu walitupa takwimu halisi ilivyokuwa!!!.
Hii ni kweli kabisa!

Kwa mfano hapa Simiyu, vituo vingi vya kupigia kura vilikuwa vitupu.

Kituo changu cha kupigia kura hapa maeneo ya Kidinda, Bariadi, watu walioenda kupiga kura hawafiki hata 20!

Na huko kwingine hali ilikuwa hivyo hivyo.
 
Bad attitude zikikutana na incompetence zikakutana na immorality zikafunikwa na blanket la sheria mbovu za nchi, Matokeo yake ni kumpata Samia hapo juu .

A big disappointment.

dont underestimate the power of the devil to deceive, hiyo ndiyo sifa kuu ya shetani, shetani can fool anyone na siyo swala tu la mifumo hata wenye mifumo imara can be out smarted by the devil wakati mwingine.

hivyo dawa na njia pekee ni knowledge of evil, tunahitaji knowledge of evil kwani tukishaelewa njia na mbinu za shetani hatuwezi kudanganyika (tena) ...
 
Shukurani kwa maneno yako.

Umepiga kura hapo juu?
 
Hii ni kweli kabisa!

Kwa mfano hapa Simiyu, vituo vingi vya kupigia kura vilikuwa vitupu.

Kituo changu cha kupigia kura hapa maeneo ya Kidinda, Bariadi, watu walioenda kupiga kura hawafiki hata 20!

Na huko kwingine hali ilikuwa hivyo hivyo.
Kidinda kwa kina Sato Masabo.
 
If The Economist have decided to write this meaningful article about Samia Suluhu Hassan, then they are signalling something that is very important and significant.

Let’s wait and see.
 
If The Economist have decided to write this meaningful article about Samia Suluhu Hassan, then they are signalling something that is very important and significant.

Let’s wait and see.
Shukurani kwa maneno yako, umepiga kura hapo juu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…