wewe loser watu kibao wanakimbia tz wanakwenda rwanda kudaka mishiko minene.....madokta,engineers na wengineo wamelundikana Kigali wanakula happy....hata wewe kama una qualificatio za maana toka huko kwenye box nenda kigali kwa watoto wazuri ule maishaHuwezi kunitoa Tanzania na kunipeleka eti Kenya au Rwanda kwa sababu huko kuna fursa bwelele za mimi kufanikiwa.
SteveD:
Ukweli wa mambo ni kuwa watanzania hatutaki kuukubali ukweli. Shughuli zote ambazo zingefanya kipindi hiki cha JK kiwe na maendeleo zilitakiwa kuwa na misingi ya miaka zaidi ya 30 iliyopita.
Technocrats waliopo Kenya au Uganda hawakwenda shule jana. Ni watu wenye zaidi ya miaka 45.
Hivi miaka yote toka tumepata uhuru tunafanya nini ???
wewe loser watu kibao wanakimbia tz wanakwenda rwanda kudaka mishiko minene.....madokta,engineers na wengineo wamelundikana Kigali wanakula happy....hata wewe kama una qualificatio za maana toka huko kwenye box nenda kigali kwa watoto wazuri ule maisha

mkuu tz haiwezi kulingana na Rwanda kwa lolote wako mbele zaidi yenu watz....Kwa taarifa yako sibebi boksi mimi. I've got it good and I'm happy. Rwanda mnayoizungumzia nyinyi ni ile mnayoilinganisha na Rwanda ya 1994,1995,1996 na kuendelea. They hit rock bottom and nopw they are on the come up. Soon they will hit a plateau and y'all will be like what happened...they were supposed to be the next Africa's success story...
Mnakumbuka Uganda walivyokuwa touted kuwa wao ndio Africa's success story miaka ile ya 98 na 99? Where are they now? What happened? Hatuzisikii tena hizo sifa...
Hii ni kwa sababu walikokuwa wametoka kulikuwa chini mno na sasa ndio wamefikia plateau na hawaendi mbele wala nyuma.
Kwa taarifa yako sibebi boksi mimi. I've got it good and I'm happy. Rwanda mnayoizungumzia nyinyi ni ile mnayoilinganisha na Rwanda ya 1994,1995,1996 na kuendelea. They hit rock bottom and nopw they are on the come up. Soon they will hit a plateau and y'all will be like what happened...they were supposed to be the next Africa's success story...

Maisha ya watu wa vijijini SSA kama anavyosema NN hayana tofauti kubwa..almost the same: hatuna tofauti kubwa!
Hata Angola, Nigeria na Guinea ya Ikweta ni tajiri sana kwa mafuta: watu wao vijijini hawana tofauti kubwa na Tz vijijini!
Exception ipo Mauritius tu: wengine wote tuko tu sawa!
Nitataja kwa kifupi kwa nini Tanzania inashindwa kujitegemea na inategemea misaada na hivyo kauli za Viongozi siku zote ni kuomba omba na kung'ang'ania kuwa misaada ni muhimu na si kuimarisha uzalishaji wa mali na matumizi mazuri ya rasilimali zetu ndani ya nchi.
6. Udhaifu wa mipango na mikataba, ni moja ya mambo ambayo yanasababisha Taifa kupoteza mapato na kuishia kutumia fedha nyingi na kuombaomba badala ya kuwa makini na kujiongezea mapato na kuhakiki mipango kwa kutoa kipaumbele kwa mipango na matumizi ya lazima na yenye manufaa.
7. Hujuma. Iwe ni ufisadi, uvivu, uzembe, wizi au kukosekana kwa mwamko, Watanzania tunajihujumu wenyewe na hata kama leo tutadai Rostam, Somaiya, Manji, Mengi na Patel ni mafisadi, bado sisi wenyewe kama wananchi tunachangia kwa sehemu kubwa sana kuimarika kwa ufisadi.
Ukisoma habari hii hapa chini, inabidi ujiulize, je ni lini tutaamka na kubadilisha mwenendo wetu?
Kwa taarifa yako sibebi boksi mimi. I've got it good and I'm happy. Rwanda mnayoizungumzia nyinyi ni ile mnayoilinganisha na Rwanda ya 1994,1995,1996 na kuendelea. They hit rock bottom and nopw they are on the come up. Soon they will hit a plateau and y'all will be like what happened...they were supposed to be the next Africa's success story...
Mnakumbuka Uganda walivyokuwa touted kuwa wao ndio Africa's success story miaka ile ya 98 na 99? Where are they now? What happened? Hatuzisikii tena hizo sifa...
Hii ni kwa sababu walikokuwa wametoka kulikuwa chini mno na sasa ndio wamefikia plateau na hawaendi mbele wala nyuma.
Kwa taarifa yako, hao Kenya, Uganda, Botswana, Rwanda hawajatuzidi kihivyo. Nymba za udongo kila kona. Lishe duni. Rushwa kama kawa. Ukabila na mengineyo mengi. Kwa ujumla hali za nchi nyingi za Kiafrika kusini mwa jangwa la Sahara ziko similar. Kwa hiyo kujibu swali lako, hao iliowataja na wenyewe Ndivyo Walivyo
Hiyo article ya Economist haijasema chochote kipya.
Funny thing, kwenye hii hii nchi ambayo tunaona inadhiki sana, minorities (wahindi, waarabu, wasomali, wazungu) wanaonekana mambo yao yanawanyookea na si rahisi kusikia wanalalamika ovyo kila saa. Hata wageni wanatoka nchi fukara na kuja kuneemeka hapa. Kuna kitu gani hawa watu wanaona/wanafanya sisi waafrika weusi hatuwezi? Kwanini ni sisi tu waafrika weusi tunalalamika Kikwete, CCM, serikali, viongozi, Mungu,..nk? Mpaka hata wasomi. Aibu.
Jibu, hatutengenezi vitu vya thamani. Hao minorities hapo juu wanajishugulisha na uzalishaji mali, biashara na utoaji huduma kwa ufanisi. Wengi wetu sisi waafrika weusi kazi ni utegemezi: kutegemea ajira, Rais, CCM, serikali, miujiza, ushirikina, neema za Mungu na misaada.
Sasa tuanze kuzalisha mali, kufanya biashara na kutoa huduma kwa ufanisi. Tuuze kwenye soko ndani na nje ndo "tutatoka". Mapharmasia wetu kweli hawawezi kutengeneza dawa yoyote ya kisasa? Ma-engineer wetu kweli hawawezi kutengeneza mashine yoyote? Au kifaa chochote cha umeme. Nini kinawatoa wahindi na wachina?
Haya mambo ya kulalamika uongozi mbovu hayana msingi. Nchi kama Italy inaendeshwa kimafia na kifisadi kama sisi lakini kwasababu watu wa kawaida wanatengeneza vitu na kuuza, mambo yao ni mazuri.
Miafrika mieusi mienzangu, tujishugulishe na tuzalishe. Tukiweza hayo mengine yatafuata.
Zakumi,Nyani Ngabu,...
..yaani huyu Kagame alivyokunywa damu ya mamilioni ya wa-Congo leo ni kati ya viongozi "influencial" toka Afrika?
..nimeuliza mara nyingi lakini sipewi majibu. Msumbiji waliathirika kiuchumi[kilimo,miundombinu,elimu,nguvu kazi yenye elimu] kutokana na vita kwa kiwango kikubwa kuliko Rwanda. sasa kwanini Msumbiji hawasifiwi kwa kujikwamua anasifiwa huyu muuaji-mnyonya damu Kagame?
NB:
..wa-Tanzania mara nyingine wananishangaza sana jinsi wanavyofikiri.
..yaani hii kero ya viongozi mafisadi haitoshi, sasa tunatamani madikteta na wauaji kama Kagame.
Tusiwalaumu viongozi. Tujilaumu wenyewe kwa kuwarudisha madarakani kila chaguzi.
Wewe huoni hata huyo mwandishi wa hiyo makala kasema karibu kwa uhakika kuwa Kikwete atachaguliwa tena kuwa raisi? Viongozi wetu ni reflection yetu sisi wenyewe wananchi.