Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Afrika kuna viongozi wa ajabu sana! Kwanini hatupati madikteta wa kuleta maendeleo kama Hittler hivi? Tunapataga vilaza wa kujivika madini, kuua na kuoa wake wengi hahahaaaa!!
Kaka nchi inaitwa CAR Central African Republic! Kiswahili ni jamhuri ya Afrika ya kati!
mobutu seseko nyumba yake nzima ilikuwa dhahabu mpaka vitasa na mtoto wake alikuwa anasoma day school UK
makeke yake yote kaishiaaaa kufa kama mbwaaa tu ...vp walimzika na dhahabu zake na mali zake ameenda nazo huko mbona kila kitu kaacha duniani, tatizo viongozi wa afrika hawajifunzi kwa wenzao...wakina mabotu