Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Nita iweka sawa mkuuKumbe aliua watu wachache,100 kwenye utawala wake.
Sehemu nyingine hio ni record ya masaa 2 tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nita iweka sawa mkuuKumbe aliua watu wachache,100 kwenye utawala wake.
Sehemu nyingine hio ni record ya masaa 2 tu
Smeshatangulia mbele za hakiHuliogopi hili jitu?
![]()
Alikuwa akila nyama za watuKumbe aliua watu wachache,100 kwenye utawala wake.
Sehemu nyingine hio ni record ya masaa 2 tu
Aliitwa CannibalAlikuwa akila nyama za watu
Hii ni cha Mtoto ukilinganisha na maharamia wa Europeaiseeee hatari sana ..hii kweli africa
Hii mbinu ya kupoteza watu hasa wa upinzani kuna kiongozi mmoja naona ameamua kuitumia.Smeshatangulia mbele za haki
Kiongozi wa Central Africa aliye badilisha katiba na kujiapisha mfalme ili atawale maisha
Siku ya kuapishwa kwake alikalia kiti cha cataract 24 ya thahabu yenye uzito wa tani mbili.
Taji lake ka dhahabu na almasi liligharimu $20 million. Gharama za sherehe nzima ilikuwa $80 million
Alifilisi nchi, alikwenda Libya kuomba mkopo kwa Ghadafi, alipewa mkopo kwa masharti ya kuslim na kueneza dini ya ki-Islam Central Africa
Jina lake la kuslim aliitwa Salah Dinne Ahmed Bokassa
Alirudia dini yake ya u-Katoliki kabla mauti hayajamfika.
Bokassa aliua takriban watu 100 wakati wa utawala wake, wapinzani wake walipotea
Bokassa alifuga mamba, wahalifu wote na wezi walikuwa chakula cha mamba wake
Akiwa weak ndani ma mia ya wanafunzi baada ya kukataa kununu uniforms zilizo shonwa na kampuni ya mmoja wa wake zake
naam nikweli mkuu nikweli ..niliwahi kuskia unyama amabo aliufnya Christopher Columbus nikachoka kabisa..halafu mbaya zaidi wao wakifnya hawaitwi magaidiHii ni cha Mtoto ukilinganisha na maharamia wa Europe
Walitu brainwash sana hawa watu katika maisha yetu!naam nikweli mkuu nikweli ..niliwahi kuskia unyama amabo aliufnya Christopher Columbus nikachoka kabisa..halafu mbaya zaidi wao wakifnya hawaitwi magaidi
kwakweli nitakutafuta ..unipe madini zaidiWalitu brainwash sana hawa watu katika maisha yetu!
Sasa tumeamka!
This is africa!Kiongozi wa Central Africa aliye badilisha katiba na kujiapisha mfalme ili atawale maisha
Siku ya kuapishwa kwake alikalia kiti cha cataract 24 ya thahabu yenye uzito wa tani mbili.
Taji lake ka dhahabu na almasi liligharimu $20 million. Gharama za sherehe nzima ilikuwa $80 million
Alifilisi nchi, alikwenda Libya kuomba mkopo kwa Ghadafi, alipewa mkopo kwa masharti ya kuslim na kueneza dini ya ki-Islam Central Africa
Jina lake la kuslim aliitwa Salah Dinne Ahmed Bokassa
Alirudia dini yake ya u-Katoliki kabla mauti hayajamfika.
Bokassa aliua takriban watu 100 wakati wa utawala wake, wapinzani wake walipotea
Bokassa alifuga mamba, wahalifu wote na wezi walikuwa chakula cha mamba wake
Akiwa weka ndani ma mia ya wanafunzi baada ya kukataa kununu uniforms zilizo shonwa na kampuni ya mmoja wa wake zake
Alijifananisha na Napoleon hata uniform zake za jeshi aliiga mavazi ya NapoleonAlikuwa mjinga sana. Alipokufa rais wa ufaransa De Gaulle alilia kuliko mjane wa Rais huku akilia baba baba. Haoahao wafaransa waliosaidia kumuweka kwa sababu walijua ni mjinga ndiyo waliomtoa baada ya kuona ujinga wake umepita mipaka.