jenerali kibibi
JF-Expert Member
- Nov 27, 2017
- 1,167
- 623
hizo Mali zilijaenda wapi sasaKwa kuongeza
Alikua na kitanda cha dhahabu na almasi tupu no mbao
Lakini alikufa masikini wa kutupwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hizo Mali zilijaenda wapi sasaKwa kuongeza
Alikua na kitanda cha dhahabu na almasi tupu no mbao
Lakini alikufa masikini wa kutupwa
Inatufundisha bokasa aliwahi kuwa diktetaHadithi yako inatufundisha nini? Au ndio ramli yenyewe na dua la MWEWE halimpati KUKU
Na hata Idd Amin inasemekana alikua anakula nyama za watu(kama lkn hazikua ni story za kitaa tu enzi hizo).Huyu bwana nakumbuka kipindi akiwa madarakani, alifanya dhifa moja ambapo mgeni rasmi alikuwa ni kiongozi moja mkubwa ktk wizara ya ulinzi ya Ufaransa na baada ya dhifa ndipo alipomuuliza mfaransa huyo kuwa, "Unajua tulichokuwa tunakula? Mfaransa akajibu, sijui, Bokassa akamwambia, tulikuwa tunakula nyama ya mtu". Mfaransa alichoka na kilichofuata ni history.
Huyu Bokassa akiwa rais, alipora sana almasi na fedha yake alificha Ufaransa na walipompindua akakimbilia huko Ufaransa na kukuta wazungu wamemzulumu hela yoote na kumfanya aishi kichovu sana ukimbizini.
1996 ilibidi arejee nyumbani kwani alikuwa amekatiwa huduma zote muhimu kama maji, umeme, simu na hata kodi ya nyumba akawa hawezi kilipia kwa ajili ya ukata.
Nakumbuka kuna kipindi akiwa rais, alipokuwa anaoa mke wa pili harusi yake ilikuwa ni kufuru kwani gauni alilokuwa amevaa bibi harusi yaani The Bridal Wedding Dress ilikuwa na urefu wa mita 100 ukiwa umeshiliwa na vimwana 60 lisiguse chini. Enzi hizo taarifa zilizagaa sana kuwa Bokassa alikuwa akila nyama ya binadamu hasa wale wahanga wake.
Na hata Idd Amin inasemekana alikua anakula nyama za watu(kama lkn hazikua ni story za kitaa tu enzi hizo).
Kuna story dikteta Amin alitaka kupinduliwa lakini jaribio likashindikana so aliyeongoza jaribio aliuwawa baadae Amin akawaambia wampeleke motuary akaone maiti ya aliyeongoza hayo mapinduzi.
Alivyofika akawaambia wanajeshi watoke nje wamuache yeye pekee yake na hio maiti,alikaa muda wa kutosha huko ndani na hio maiti na hawajui alikua anafanya nini aisee.
Huyu bwana nakumbuka kipindi akiwa madarakani, alifanya dhifa moja ambapo mgeni rasmi alikuwa ni kiongozi moja mkubwa ktk wizara ya ulinzi ya Ufaransa na baada ya dhifa ndipo alipomuuliza mfaransa huyo kuwa, "Unajua tulichokuwa tunakula? Mfaransa akajibu, sijui, Bokassa akamwambia, tulikuwa tunakula nyama ya mtu". Mfaransa alichoka na kilichofuata ni history.
Huyu Bokassa akiwa rais, alipora sana almasi na fedha yake alificha Ufaransa na walipompindua akakimbilia huko Ufaransa na kukuta wazungu wamemzulumu hela yoote na kumfanya aishi kichovu sana ukimbizini.
1996 ilibidi arejee nyumbani kwani alikuwa amekatiwa huduma zote muhimu kama maji, umeme, simu na hata kodi ya nyumba akawa hawezi kilipia kwa ajili ya ukata.
Nakumbuka kuna kipindi akiwa rais, alipokuwa anaoa mke wa pili harusi yake ilikuwa ni kufuru kwani gauni alilokuwa amevaa bibi harusi yaani The Bridal Wedding Dress ilikuwa na urefu wa mita 100 ukiwa umeshiliwa na vimwana 60 lisiguse chini. Enzi hizo taarifa zilizagaa sana kuwa Bokassa alikuwa akila nyama ya binadamu hasa wale wahanga wake.
Mfan rwandaNchi zilizotawaliwa na Wafaransa zinakuaga za kikuda sana.
King crazy GK a.k.a Bokassa
Crazy huyu wa Bongo flavour?Nchi zilizotawaliwa na Wafaransa zinakuaga za kikuda sana.
King crazy GK a.k.a Bokassa
Nakumbuka huyo bwana aliyeuwawa alikuwa anaitwa Brigadier Pierino Okoya, aliuliwa pamoja na mkewe Rina Atok. Udhaifu mkubwa wa madikteta ni kuwa, hawajifunzi kutokana na historia. Never on earth.Na hata Idd Amin inasemekana alikua anakula nyama za watu(kama lkn hazikua ni story za kitaa tu enzi hizo).
Kuna story dikteta Amin alitaka kupinduliwa lakini jaribio likashindikana so aliyeongoza jaribio aliuwawa baadae Amin akawaambia wampeleke motuary akaone maiti ya aliyeongoza hayo mapinduzi.
Alivyofika akawaambia wanajeshi watoke nje wamuache yeye pekee yake na hio maiti,alikaa muda wa kutosha huko ndani na hio maiti na hawajui alikua anafanya nini aisee.
Kkkkk kwenye dhulma wazungu nawakubali sana,wanakudhulumu mchana kweupeeeeeee! Rais alipigika vibaya sana nchini Ufaransa!Huyu bwana nakumbuka kipindi akiwa madarakani, alifanya dhifa moja ambapo mgeni rasmi alikuwa ni kiongozi moja mkubwa ktk wizara ya ulinzi ya Ufaransa na baada ya dhifa ndipo alipomuuliza mfaransa huyo kuwa, "Unajua tulichokuwa tunakula? Mfaransa akajibu, sijui, Bokassa akamwambia, tulikuwa tunakula nyama ya mtu". Mfaransa alichoka na kilichofuata ni history.
Huyu Bokassa akiwa rais, alipora sana almasi na fedha yake alificha Ufaransa na walipompindua akakimbilia huko Ufaransa na kukuta wazungu wamemzulumu hela yoote na kumfanya aishi kichovu sana ukimbizini.
1996 ilibidi arejee nyumbani kwani alikuwa amekatiwa huduma zote muhimu kama maji, umeme, simu na hata kodi ya nyumba akawa hawezi kilipia kwa ajili ya ukata.
Nakumbuka kuna kipindi akiwa rais, alipokuwa anaoa mke wa pili harusi yake ilikuwa ni kufuru kwani gauni alilokuwa amevaa bibi harusi yaani The Bridal Wedding Dress ilikuwa na urefu wa mita 100 ukiwa umeshiliwa na vimwana 60 lisiguse chini. Enzi hizo taarifa zilizagaa sana kuwa Bokassa alikuwa akila nyama ya binadamu hasa wale wahanga wake.
Yes boss,alikua anajiita hivyo.Crazy huyu wa Bongo flavour?
story za kula watu ni uwongo tuHuyu bwana nakumbuka kipindi akiwa madarakani, alifanya dhifa moja ambapo mgeni rasmi alikuwa ni kiongozi moja mkubwa ktk wizara ya ulinzi ya Ufaransa na baada ya dhifa ndipo alipomuuliza mfaransa huyo kuwa, "Unajua tulichokuwa tunakula? Mfaransa akajibu, sijui, Bokassa akamwambia, tulikuwa tunakula nyama ya mtu". Mfaransa alichoka na kilichofuata ni history.
Huyu Bokassa akiwa rais, alipora sana almasi na fedha yake alificha Ufaransa na walipompindua akakimbilia huko Ufaransa na kukuta wazungu wamemzulumu hela yoote na kumfanya aishi kichovu sana ukimbizini.
1996 ilibidi arejee nyumbani kwani alikuwa amekatiwa huduma zote muhimu kama maji, umeme, simu na hata kodi ya nyumba akawa hawezi kilipia kwa ajili ya ukata.
Nakumbuka kuna kipindi akiwa rais, alipokuwa anaoa mke wa pili harusi yake ilikuwa ni kufuru kwani gauni alilokuwa amevaa bibi harusi yaani The Bridal Wedding Dress ilikuwa na urefu wa mita 100 ukiwa umeshiliwa na vimwana 60 lisiguse chini. Enzi hizo taarifa zilizagaa sana kuwa Bokassa alikuwa akila nyama ya binadamu hasa wale wahanga wake.
waliyemuweka pia akawa dikteta hatari..hakung'ooka tu miaka ys 70..angesingiziwa kula watu na yeyeKkkkk kwenye dhulma wazungu nawakubali sana,wanakudhulumu mchana kweupeeeeeee! Rais alipigika vibaya sana nchini Ufaransa!
Nalog off
uwongo wa wajamaa wa tanganyikaNa hata Idd Amin inasemekana alikua anakula nyama za watu(kama lkn hazikua ni story za kitaa tu enzi hizo).