The Emperor Jean-Bedel Bokassa

The Emperor Jean-Bedel Bokassa

Jean Bedel Bokassa (* 22 Februari
1921 - † 3 Novemba 1996 ) alikuwa rais na baadaye Kaisari wa Jamhuri ya Afrika ya Kati au baadaye Milki ya Afrika ya Kati hadi kupinduliwa tar. 21 Septemba 1979.

Mwanajeshi

Bokassa alizaliwa Bobangi akajiunga na jeshi la kikoloni la Ufaransa . Hadi mwisho wa Vita Kuu ya Pili ya Dunia alipanda ngazi akafikia cheo cha afande. Hadi 1961 akawa kepteni. 1964 alitoka katika jeshi la Ufaransa akaingia katika jeshi la jamhuri changa ya Afrika ya Kati. Akiwa ndugu wa rais
David Dacko akaendelea kupanda ngazi hadi kuwa mkuu wa jeshi.

Rais na dikteta

Tar. 1 Januari 1966 Bokassa akampindua rais Dacko akajitangaza kuwa rais mpya akafuta katiba ya nchi. Bokassa alisaidiwa mara kadhaa na Ufaransa. Mwaka 1967 aliomba na kupata msaada wa wanajeshi Wafaransa ili apate kuimarisha utawala wake.

1972 Bokassa akajitangaza kuwa rais wa maisha. Aliona majaribio mbalimbali ya kumpindua au kumwua lakini kwa jumla ni wapinzani wake waliopaswa kuaga dunia.
Katikia miaka ya 1970 Bokassa alitafuta usaidizi wa Libya akasilimu baada ya kumtembelea Rais Gadhaffi akajiita Salah Eddine Ahmed Bokassa.

Kaisari

Septemba 1976 Bokassa aliachicha serikali yake akaanzisha "Halmashauri ya Mapinduzi ya Afrika ya Kati": 4 Desemba 1976 akatangaza jamhuri kuwa milki na weyewe kuwa Kaisari kwa mfano wa Napoleoni. Bokassa alirudi katika kanisa katoliki, akawaalika wageni wengi na katika sherehe iliyogharamia dollar milioni 30 akajiwekea taji la Kaisari "Bokassa I".
Serikali yake iliendelea kuwa ya kidikteta. Wapinzani waliuawa hovyo au kupotea magerezani.
Ufaransa iliendelea kumsaidia.

Mapinduzi

Wakati wa Januara na Aprili 1979 wanafunzi waliandamana. Upinzani huu ulikandamizwa kwa msaada wa jeshi la Kongo. Wanafunzi wengi walikamatwa wengine kupigwa sana na kuuawa. Kwa jumla ni wanafunzi na watoto zaidi ya 100 waliuawa.
Katika hali hii Bokassa alisafiri tena kwenda Libya. Wapinzani walichukua nafasi ya kumpindua Bokassa wakiongozwa na aliyewahi kuwa raisi
David Dacko tar. 21 Septemba 1979. Milki ilifutwa na Jmahuri kurudishwa.

Mwisho gerezani

Bokassa alipewa hukumu ya mauti lakini hakuhudhuria kesi. Aliporudi mwaka 1986 alikamatwa na kuhukumiwa tena afe. Adhabu ilipunguzwa baadaye kuuwa miaka 20.
1993 aliachishwa gerezani na rais
André Kolingba akaishi miaka kadhaa akafa 3 Novemba 1996 huko Bangui. Bokassa
200px-Jean_B%25C3%25A9del_Bokassa.jpeg
200px-Jean_B%25C3%25A9del_Bokassa.jpeg
 
Huyu bwana nakumbuka kipindi akiwa madarakani, alifanya dhifa moja ambapo mgeni rasmi alikuwa ni kiongozi moja mkubwa ktk wizara ya ulinzi ya Ufaransa na baada ya dhifa ndipo alipomuuliza mfaransa huyo kuwa, "Unajua tulichokuwa tunakula? Mfaransa akajibu, sijui, Bokassa akamwambia, tulikuwa tunakula nyama ya mtu". Mfaransa alichoka na kilichofuata ni history.

Huyu Bokassa akiwa rais, alipora sana almasi na fedha yake alificha Ufaransa na walipompindua akakimbilia huko Ufaransa na kukuta wazungu wamemzulumu hela yoote na kumfanya aishi kichovu sana ukimbizini.

1996 ilibidi arejee nyumbani kwani alikuwa amekatiwa huduma zote muhimu kama maji, umeme, simu na hata kodi ya nyumba akawa hawezi kilipia kwa ajili ya ukata.

Nakumbuka kuna kipindi akiwa rais, alipokuwa anaoa mke wa pili harusi yake ilikuwa ni kufuru kwani gauni alilokuwa amevaa bibi harusi yaani The Bridal Wedding Dress ilikuwa na urefu wa mita 100 ukiwa umeshiliwa na vimwana 60 lisiguse chini. Enzi hizo taarifa zilizagaa sana kuwa Bokassa alikuwa akila nyama ya binadamu hasa wale wahanga wake.
 
Na hata Idd Amin inasemekana alikua anakula nyama za watu(kama lkn hazikua ni story za kitaa tu enzi hizo).

Kuna story dikteta Amin alitaka kupinduliwa lakini jaribio likashindikana so aliyeongoza jaribio aliuwawa baadae Amin akawaambia wampeleke motuary akaone maiti ya aliyeongoza hayo mapinduzi.

Alivyofika akawaambia wanajeshi watoke nje wamuache yeye pekee yake na hio maiti,alikaa muda wa kutosha huko ndani na hio maiti na hawajui alikua anafanya nini aisee.
 
Tuombe Mungu watu wanamna hii wasiwepo ni hatari hasa kwa inchi zetu za kiafrica ambazo viongozi wanamamlaka ya utiisho kama Mungu
Na hata Idd Amin inasemekana alikua anakula nyama za watu(kama lkn hazikua ni story za kitaa tu enzi hizo).

Kuna story dikteta Amin alitaka kupinduliwa lakini jaribio likashindikana so aliyeongoza jaribio aliuwawa baadae Amin akawaambia wampeleke motuary akaone maiti ya aliyeongoza hayo mapinduzi.

Alivyofika akawaambia wanajeshi watoke nje wamuache yeye pekee yake na hio maiti,alikaa muda wa kutosha huko ndani na hio maiti na hawajui alikua anafanya nini aisee.
 
Inchi zinazoonge kifaransa afrika nyingi zina migogoro mfano
Burundi
Rwanda
Kongo
C. Africa
Huyu bwana nakumbuka kipindi akiwa madarakani, alifanya dhifa moja ambapo mgeni rasmi alikuwa ni kiongozi moja mkubwa ktk wizara ya ulinzi ya Ufaransa na baada ya dhifa ndipo alipomuuliza mfaransa huyo kuwa, "Unajua tulichokuwa tunakula? Mfaransa akajibu, sijui, Bokassa akamwambia, tulikuwa tunakula nyama ya mtu". Mfaransa alichoka na kilichofuata ni history.

Huyu Bokassa akiwa rais, alipora sana almasi na fedha yake alificha Ufaransa na walipompindua akakimbilia huko Ufaransa na kukuta wazungu wamemzulumu hela yoote na kumfanya aishi kichovu sana ukimbizini.

1996 ilibidi arejee nyumbani kwani alikuwa amekatiwa huduma zote muhimu kama maji, umeme, simu na hata kodi ya nyumba akawa hawezi kilipia kwa ajili ya ukata.

Nakumbuka kuna kipindi akiwa rais, alipokuwa anaoa mke wa pili harusi yake ilikuwa ni kufuru kwani gauni alilokuwa amevaa bibi harusi yaani The Bridal Wedding Dress ilikuwa na urefu wa mita 100 ukiwa umeshiliwa na vimwana 60 lisiguse chini. Enzi hizo taarifa zilizagaa sana kuwa Bokassa alikuwa akila nyama ya binadamu hasa wale wahanga wake.
 
Na hata Idd Amin inasemekana alikua anakula nyama za watu(kama lkn hazikua ni story za kitaa tu enzi hizo).

Kuna story dikteta Amin alitaka kupinduliwa lakini jaribio likashindikana so aliyeongoza jaribio aliuwawa baadae Amin akawaambia wampeleke motuary akaone maiti ya aliyeongoza hayo mapinduzi.

Alivyofika akawaambia wanajeshi watoke nje wamuache yeye pekee yake na hio maiti,alikaa muda wa kutosha huko ndani na hio maiti na hawajui alikua anafanya nini aisee.
Nakumbuka huyo bwana aliyeuwawa alikuwa anaitwa Brigadier Pierino Okoya, aliuliwa pamoja na mkewe Rina Atok. Udhaifu mkubwa wa madikteta ni kuwa, hawajifunzi kutokana na historia. Never on earth.
 
Huyu bwana nakumbuka kipindi akiwa madarakani, alifanya dhifa moja ambapo mgeni rasmi alikuwa ni kiongozi moja mkubwa ktk wizara ya ulinzi ya Ufaransa na baada ya dhifa ndipo alipomuuliza mfaransa huyo kuwa, "Unajua tulichokuwa tunakula? Mfaransa akajibu, sijui, Bokassa akamwambia, tulikuwa tunakula nyama ya mtu". Mfaransa alichoka na kilichofuata ni history.

Huyu Bokassa akiwa rais, alipora sana almasi na fedha yake alificha Ufaransa na walipompindua akakimbilia huko Ufaransa na kukuta wazungu wamemzulumu hela yoote na kumfanya aishi kichovu sana ukimbizini.

1996 ilibidi arejee nyumbani kwani alikuwa amekatiwa huduma zote muhimu kama maji, umeme, simu na hata kodi ya nyumba akawa hawezi kilipia kwa ajili ya ukata.

Nakumbuka kuna kipindi akiwa rais, alipokuwa anaoa mke wa pili harusi yake ilikuwa ni kufuru kwani gauni alilokuwa amevaa bibi harusi yaani The Bridal Wedding Dress ilikuwa na urefu wa mita 100 ukiwa umeshiliwa na vimwana 60 lisiguse chini. Enzi hizo taarifa zilizagaa sana kuwa Bokassa alikuwa akila nyama ya binadamu hasa wale wahanga wake.
Kkkkk kwenye dhulma wazungu nawakubali sana,wanakudhulumu mchana kweupeeeeeee! Rais alipigika vibaya sana nchini Ufaransa!
Nalog off
 
story za kula watu ni uwongo tu
 
Kkkkk kwenye dhulma wazungu nawakubali sana,wanakudhulumu mchana kweupeeeeeee! Rais alipigika vibaya sana nchini Ufaransa!
Nalog off
waliyemuweka pia akawa dikteta hatari..hakung'ooka tu miaka ys 70..angesingiziwa kula watu na yeye
 
Na hata Idd Amin inasemekana alikua anakula nyama za watu(kama lkn hazikua ni story za kitaa tu enzi hizo).

Kuna story dikteta Amin alitaka kupinduliwa lakini jaribio likashindikana so aliyeongoza jaribio aliuwawa baadae Amin akawaambia wampeleke motuary akaone maiti ya aliyeongoza hayo mapinduzi.

Alivyofika akawaambia wanajeshi watoke nje wamuache yeye pekee yake na hio maiti,alikaa muda wa kutosha huko ndani na hio maiti na hawajui alikua anafanya nini aisee.
uwongo wa wajamaa wa tanganyika
 
Back
Top Bottom