Na serikali inaundwa na wananchi. Halafu kwa taarifa tu. Serikali inailinda aedhi ambayo ni ya raia wa Tanzania. Sasa kila mmoja akiwa na kipande chake ndani ya nchi si anaweza kuanzisha empire yake within country?Na ardhi yote ya tz imo mkononi mwa serikali
We unataka iitweje?Hilo jina tu ni chachuu!
How is this bad?Na ardhi yote ya tz imo mkononi mwa serikali
U rent land in your own country.. While I own itHow is this bad?
I rent from the government, which owns it on behalf of its citizens. Your system is perfct till greed inherently creeps in and people personalize huge swathes of land leaving the rest of you landlessU rent land in your own country.. While I own it
You can't own land in Kenya, are you mzungu or Kenyatta family members?U rent land in your own country.. While I own it
sina uhakika bado ila hayo hayanivutiiWe unataka iitweje?
Mi naona ni sawa tu.
"JAMHURI YA SHIRIKISHO LA AFRIKA MASHARIKI"
Au "JUMUIYA YA MADOLA YA AFRIKA MASHARIKI"
really dude?!U rent land in your own country.. While I own it
I believe each member state should retain ownership and control over its natural resources, unless if the said resource is shared. Kwa mfano Lakes Victoria, Tanganyika, the Serengeti-Masai Mara ecosystem etc. Such shared resources should be under the purview of the Federal Government of East AfricaThis topic needs a holistic approach, before embarking in a full Political Integration. The whole structure of Resource Allocation on each Member State should be reviewed to encompass Social-economical set-up. It is imperative for each of us to discuss this issue on finding a best formula to get support on each segment of our society.
Hapo ndipo ugomvi utaanzia. Yaani Serengeti yenye ukubwa kama nchi Belgium iwekwe sawa na Masai mara ambayo kwa sasa imeharibiwa!? My friend this federal republic will be win lose.I believe each member state should retain ownership and control over its natural resources, unless if the said resource is shared. Kwa mfano Lakes Victoria, Tanganyika, the Serengeti-Masai Mara ecosystem etc. Such shared resources should be under the purview of the Federal Government of East Africa
Kweli.Hapo ndipo ugomvi utaanzia. Yaani Serengeti yenye ukubwa kama nchi Belgium iwekwe sawa na Masai mara ambayo kwa sasa imeharibiwa!? My friend this federal republic will be win lose.
Victoria ambayo sehemu kubwa ipo uganda na Tanzania utaiitaje iwe ya federal republic?
Ziwa Tanganyika limenusa pua tu huko Burundi hapa nadhani haujaangalia mamboa mengi. Hii federal republic iwe ya kibiashara tu kwa sasa mpaka pale baadhi ya nchi zitakapo jitambua na kuacha kuwa vibaraka wa wazungu.
Tulijaribu miaka ya nyuma lakini ikashindikana na mwisho wa siku ndege zote za muungano zikabebwa na wakenya.
Sijui ulisoma historia gani yaani EAC ya zamani Kenya ndo tulikuwa tunawabeba tukiwabeza hadi mnaturudisha nyuma. Ilifika wakati hadi A.G wa Kenya Charles Njonjo akasema tosha. Tz na Ug walisema kuwa E.A Posta wakijenga vituo vitano Kenya tz wanajenga kumi Ug wanajenga kumi na tano! Bora tubaki kwenye biashara tu maanake sioni kilichobadilika tangia enzi hizo. Afu ukumbuke nchi zote zilizozunguka Kenya zinaongozwa na madikteta. Dah mtatunyonya sana hela na human resource zetu. Hela zenu hazitoshi kununua hata madafu Kenya.Hapo ndipo ugomvi utaanzia. Yaani Serengeti yenye ukubwa kama nchi Belgium iwekwe sawa na Masai mara ambayo kwa sasa imeharibiwa!? My friend this federal republic will be win lose.
Victoria ambayo sehemu kubwa ipo uganda na Tanzania utaiitaje iwe ya federal republic?
Ziwa Tanganyika limenusa pua tu huko Burundi hapa nadhani haujaangalia mamboa mengi. Hii federal republic iwe ya kibiashara tu kwa sasa mpaka pale baadhi ya nchi zitakapo jitambua na kuacha kuw
Tatizo hapo unaangalia upande mmoja tu. Yaani tunaangalia upande wa political.Kweli.
Lakini wewe unachukulia hii Federal Govt kwamba ni kitu cha kigeni yet ni cha kwetu still......statistically watanzania ndio wengi in the EAC na geographically pia ndio nchi kubwa zaidi. For every 100 East Africans, 30 are Tanzanian, 27 are Kenyan, 23 are Ugandan, 7 are Rwandan, 6 are Burundian and 7 are South Sudanese. Kwa vyovyote vile lazima Tanzania ndo itakuwa highly represented kwenye hii serikali (Bunge na Serikali) ya Shirikisho. Kama tutakuwa na shared resources na tuseme labda revenues zigawanywe proportionately (not equally), TZ ndo itapata lions share.
Kwa kifupi Tanzania itakuwa ndio heavyweight kwenye hiyo serikali na kwenye shirikisho lenyewe.
Nakuomba uwe objective. Hapa unataka kuongelea nini?Sijui ulisoma historia gani yaani EAC ya zamani Kenya ndo tulikuwa tunawabeba tukiwabeza hadi mnaturudisha nyuma. Ilifika wakati hadi A.G wa Kenya Charles Njonjo akasema tosha. Tz na Ug walisema kuwa E.A Posta wakijenga vituo vitano Kenya tz wanajenga kumi Ug wanajenga kumi na tano! Bora tubaki kwenye biashara tu maanake sioni kilichobadilika tangia enzi hizo. Afu ukumbuke nchi zote zilizozunguka Kenya zinaongozwa na madikteta. Dah mtatunyonya sana hela na human resource zetu. Hela zenu hazitoshi kununua hata madafu Kenya.
Political is everything, bila political integration hatuwezi kuungana kwenye economic na social fronts.Tatizo hapo unaangalia upande mmoja tu. Yaani tunaangalia upande wa political.
Lakini Federation ni zaidi ya political. Kuna mambo ya social federation ambayo ndiyo ya muhimu kabisa kabla ya kwenda kweye mambo mengine. Tayari Tanzania tumekuwa kwenye mfumo wa ujamaa kwa nusu karne sasa, tunaishi kidugu na kwa umoja. Hakuna mtu anaye mbagua mwenzake kwa nasaba, ukanda, kabila au dini. Sasa tunapokuja kuungana na watu ambao tayari nature yao ni kubaguana huoni italeta madhara makubwa kwenye jamii ya kitanzania ambayo imestarabika?
Huoni kwamba wengine watatumia huo udugu tulionao kwa kujinufaisha wao tu?
Kuwepo federation hatuangalii tu mgao wa mapato ya pamoja. Mapato hayo hayatakuwa ma mantiki yoyote kama social federation haiko vizuri. Mwisho wa siku kutakuwa na utofauti mkubwa sana. Kwamba baadhi ya nchi zitatumia mwanya wa ustaraabu wa nchi moja kujinufaisha wao na Elite groups zao.
Federal Country au Federal Nation kwa sasa bado kutokana na viashiria vya wachache kutumia mwanya huo kujinufaisha. Ni bora tukasubiri muda mwafaka ukifika. Sasa hivi tuendelee kufanya biashara kwa pamoja na kuuziana bidhaa kama majirani.
Either ninaweza kusema we are too late kuwa federal nation au tunataka kuwahi sana.
Political is everything, bila political integration hatuwezi kuungana kwenye economic na social fronts.
Tanzania tuna mengi mazuri....na jirani zetu pia wana yao mabaya na mema vilevile.
My view ni kuwa na EA ambayo ni melting pot ya all these cultures. That is the only way forward. Unahisi tutajifungia mpaka lini? Bila kuungana hatuwezi na wala hatutawai kuwa na sauti on the global stage........Nyerere said "Unity may not make us rich, but it can make it difficult for Africa and the African peoples to be disregarded and humiliated."
At least tukiungana we have a shot of facing the world...together....that is the real battle we should be fighting!
Naona ni kama ulinuia kuquote mtu mwingine. Hii comment yako bana hata sijui unaongea kuhusu nini.Nakuomba uwe objective. Hapa unataka kuongelea nini?
Pointi zako hujaziweka sawa. Pangilia vizuri kile unachotaka kuongea.
Federation ipo na direct impact kwenye jamii, hatuwezi kuwa na muungano ambao unawafaidia wachache na kuwacha wengi wakiwa kwenye shida. Lengo la federation ni kusaidia jamii, kama federation hiyo inakuwa na impact za kisiasa pekee haifai kuwepo.
Sorry!!Naona ni kama ulinuia kuquote mtu mwingine. Hii comment yako bana hata sijui unaongea kuhusu nini.
Dah kumbe ulikosea kweli? Kidogo unikanganye lakini kama wanavosema kwa sheng, budaboss niko rada ile mbaya jo. No offence taken.Sorry!!