The federal Republic of East Africa

The federal Republic of East Africa

Na ardhi yote ya tz imo mkononi mwa serikali
Na serikali inaundwa na wananchi. Halafu kwa taarifa tu. Serikali inailinda aedhi ambayo ni ya raia wa Tanzania. Sasa kila mmoja akiwa na kipande chake ndani ya nchi si anaweza kuanzisha empire yake within country?
 
Hilo jina tu ni chachuu!
We unataka iitweje?
Mi naona ni sawa tu.
"JAMHURI YA SHIRIKISHO LA AFRIKA MASHARIKI"
Au "JUMUIYA YA MADOLA YA AFRIKA MASHARIKI"
 
U rent land in your own country.. While I own it
I rent from the government, which owns it on behalf of its citizens. Your system is perfct till greed inherently creeps in and people personalize huge swathes of land leaving the rest of you landless
 
We unataka iitweje?
Mi naona ni sawa tu.
"JAMHURI YA SHIRIKISHO LA AFRIKA MASHARIKI"
Au "JUMUIYA YA MADOLA YA AFRIKA MASHARIKI"
sina uhakika bado ila hayo hayanivutii
 
This topic needs a holistic approach, before embarking in a full Political Integration. The whole structure of Resource Allocation on each Member State should be reviewed to encompass Social-economical set-up. It is imperative for each of us to discuss this issue on finding a best formula to get support on each segment of our society.
 
I believe each member state should retain ownership and control over its natural resources, unless if the said resource is shared. Kwa mfano Lakes Victoria, Tanganyika, the Serengeti-Masai Mara ecosystem etc. Such shared resources should be under the purview of the Federal Government of East Africa
 
Hapo ndipo ugomvi utaanzia. Yaani Serengeti yenye ukubwa kama nchi Belgium iwekwe sawa na Masai mara ambayo kwa sasa imeharibiwa!? My friend this federal republic will be win lose.
Victoria ambayo sehemu kubwa ipo uganda na Tanzania utaiitaje iwe ya federal republic?
Ziwa Tanganyika limenusa pua tu huko Burundi hapa nadhani haujaangalia mamboa mengi. Hii federal republic iwe ya kibiashara tu kwa sasa mpaka pale baadhi ya nchi zitakapo jitambua na kuacha kuwa vibaraka wa wazungu.

Tulijaribu miaka ya nyuma lakini ikashindikana na mwisho wa siku ndege zote za muungano zikabebwa na wakenya.
 
Kweli.
Lakini wewe unachukulia hii Federal Govt kwamba ni kitu cha kigeni yet ni cha kwetu still......statistically watanzania ndio wengi in the EAC na geographically pia ndio nchi kubwa zaidi. For every 100 East Africans, 30 are Tanzanian, 27 are Kenyan, 23 are Ugandan, 7 are Rwandan, 6 are Burundian and 7 are South Sudanese. Kwa vyovyote vile lazima Tanzania ndo itakuwa highly represented kwenye hii serikali (Bunge na Serikali) ya Shirikisho. Kama tutakuwa na shared resources na tuseme labda revenues zigawanywe proportionately (not equally), TZ ndo itapata lions share.
Kwa kifupi Tanzania itakuwa ndio heavyweight kwenye hiyo serikali na kwenye shirikisho lenyewe.
 
Ziwa Tanganyika limenusa pua tu huko Burundi hapa nadhani haujaangalia mamboa mengi. Hii federal republic iwe ya kibiashara tu kwa sasa mpaka pale baadhi ya nchi zitakapo jitambua na kuacha kuw
Sijui ulisoma historia gani yaani EAC ya zamani Kenya ndo tulikuwa tunawabeba tukiwabeza hadi mnaturudisha nyuma. Ilifika wakati hadi A.G wa Kenya Charles Njonjo akasema tosha. Tz na Ug walisema kuwa E.A Posta wakijenga vituo vitano Kenya tz wanajenga kumi Ug wanajenga kumi na tano! Bora tubaki kwenye biashara tu maanake sioni kilichobadilika tangia enzi hizo. Afu ukumbuke nchi zote zilizozunguka Kenya zinaongozwa na madikteta. Dah mtatunyonya sana hela na human resource zetu. Hela zenu hazitoshi kununua hata madafu Kenya.
 
Kweli.
Lakini wewe unachukulia hii Federal Govt kwamba ni kitu cha kigeni yet ni cha kwetu still......statistically watanzania ndio wengi in the EAC na geographically pia ndio nchi kubwa zaidi. For every 100 East Africans, 30 are Tanzanian, 27 are Kenyan, 23 are Ugandan, 7 are Rwandan, 6 are Burundian and 7 are South Sudanese. Kwa vyovyote vile lazima Tanzania ndo itakuwa highly represented kwenye hii serikali (Bunge na Serikali) ya Shirikisho. Kama tutakuwa na shared resources na tuseme labda revenues zigawanywe proportionately (not equally), TZ ndo itapata lions share.
Kwa kifupi Tanzania itakuwa ndio heavyweight kwenye hiyo serikali na kwenye shirikisho lenyewe.
Tatizo hapo unaangalia upande mmoja tu. Yaani tunaangalia upande wa political.
Lakini Federation ni zaidi ya political. Kuna mambo ya social federation ambayo ndiyo ya muhimu kabisa kabla ya kwenda kweye mambo mengine. Tayari Tanzania tumekuwa kwenye mfumo wa ujamaa kwa nusu karne sasa, tunaishi kidugu na kwa umoja. Hakuna mtu anaye mbagua mwenzake kwa nasaba, ukanda, kabila au dini. Sasa tunapokuja kuungana na watu ambao tayari nature yao ni kubaguana huoni italeta madhara makubwa kwenye jamii ya kitanzania ambayo imestarabika?

Huoni kwamba wengine watatumia huo udugu tulionao kwa kujinufaisha wao tu?
Kuwepo federation hatuangalii tu mgao wa mapato ya pamoja. Mapato hayo hayatakuwa ma mantiki yoyote kama social federation haiko vizuri. Mwisho wa siku kutakuwa na utofauti mkubwa sana. Kwamba baadhi ya nchi zitatumia mwanya wa ustaraabu wa nchi moja kujinufaisha wao na Elite groups zao.

Federal Country au Federal Nation kwa sasa bado kutokana na viashiria vya wachache kutumia mwanya huo kujinufaisha. Ni bora tukasubiri muda mwafaka ukifika. Sasa hivi tuendelee kufanya biashara kwa pamoja na kuuziana bidhaa kama majirani.
Either ninaweza kusema we are too late kuwa federal nation au tunataka kuwahi sana.
 
Sijui ulisoma historia gani yaani EAC ya zamani Kenya ndo tulikuwa tunawabeba tukiwabeza hadi mnaturudisha nyuma. Ilifika wakati hadi A.G wa Kenya Charles Njonjo akasema tosha. Tz na Ug walisema kuwa E.A Posta wakijenga vituo vitano Kenya tz wanajenga kumi Ug wanajenga kumi na tano! Bora tubaki kwenye biashara tu maanake sioni kilichobadilika tangia enzi hizo. Afu ukumbuke nchi zote zilizozunguka Kenya zinaongozwa na madikteta. Dah mtatunyonya sana hela na human resource zetu. Hela zenu hazitoshi kununua hata madafu Kenya.
Nakuomba uwe objective. Hapa unataka kuongelea nini?
Pointi zako hujaziweka sawa. Pangilia vizuri kile unachotaka kuongea.
Federation ipo na direct impact kwenye jamii, hatuwezi kuwa na muungano ambao unawafaidia wachache na kuwacha wengi wakiwa kwenye shida. Lengo la federation ni kusaidia jamii, kama federation hiyo inakuwa na impact za kisiasa pekee haifai kuwepo.
 
Tatizo hapo unaangalia upande mmoja tu. Yaani tunaangalia upande wa political.
Lakini Federation ni zaidi ya political. Kuna mambo ya social federation ambayo ndiyo ya muhimu kabisa kabla ya kwenda kweye mambo mengine. Tayari Tanzania tumekuwa kwenye mfumo wa ujamaa kwa nusu karne sasa, tunaishi kidugu na kwa umoja. Hakuna mtu anaye mbagua mwenzake kwa nasaba, ukanda, kabila au dini. Sasa tunapokuja kuungana na watu ambao tayari nature yao ni kubaguana huoni italeta madhara makubwa kwenye jamii ya kitanzania ambayo imestarabika?

Huoni kwamba wengine watatumia huo udugu tulionao kwa kujinufaisha wao tu?
Kuwepo federation hatuangalii tu mgao wa mapato ya pamoja. Mapato hayo hayatakuwa ma mantiki yoyote kama social federation haiko vizuri. Mwisho wa siku kutakuwa na utofauti mkubwa sana. Kwamba baadhi ya nchi zitatumia mwanya wa ustaraabu wa nchi moja kujinufaisha wao na Elite groups zao.

Federal Country au Federal Nation kwa sasa bado kutokana na viashiria vya wachache kutumia mwanya huo kujinufaisha. Ni bora tukasubiri muda mwafaka ukifika. Sasa hivi tuendelee kufanya biashara kwa pamoja na kuuziana bidhaa kama majirani.
Either ninaweza kusema we are too late kuwa federal nation au tunataka kuwahi sana.
Political is everything, bila political integration hatuwezi kuungana kwenye economic na social fronts.
Tanzania tuna mengi mazuri....na jirani zetu pia wana yao mabaya na mema vilevile.
My view ni kuwa na EA ambayo ni melting pot ya all these cultures. That is the only way forward. Unahisi tutajifungia mpaka lini? Bila kuungana hatuwezi na wala hatutawai kuwa na sauti on the global stage........Nyerere said "Unity may not make us rich, but it can make it difficult for Africa and the African peoples to be disregarded and humiliated."
At least tukiungana we have a shot of facing the world...together....that is the real battle we should be fighting!
 
Kuna mambo ambayo yalikuwa na faida kwa kipindi kilichopita. Na Nyerere kweli aliyasema hayo na yalikuwa na mwafaka kwa kipindi hicho.
Hapa hatujifungii hapa kila mmoja anakuwa na nchi yake na ustarabu wake. Huu umoja unaoutaka ulishindikana mikononi mwa Nyerere mwenyewe, maana ndani ya huo umoja wengine walikuwa wanafiki na mpaka sasa hivi bado wengine ni wanafiki. Kitu kikubwa ambacho tunaweza kujifunza ni kutokana na CoW, hiyo ndioy case study ya kutuonesha ni namna gani sasa jinsi nchi za EA walivyo wanafiki.

Tukiongelea Political Federation kwamba ni kila kitu. Kweli kwa namna moja ninaweza kusema hivyo. Lakini Political Federation itakuwa na mwelekeo mzuri kama Social Federation imekaa vizuri. Mwalimu Nyerere alifanya vizuri sana kuhakikisha Tanzania (Tanganyika na Zanzibar) tunaishi kwa pamoja bila kubaguana. Kitu kikubwa alicho kifanya ni kuunganisha wananchi wote na kuwa kitu kimoja. Taifa likawa na sauti moja.

Lakini tukiangalia EA Federal Republic, hakuna dalili yoyote inayofanyika kuunganisha hawa watu. Zaidi sana unafiki unafanyika chini chini ili kuvuna mali kutoka nchi moja kwenda nchi nyingine. Na mwelekeo huo kama nchi yenye rasmali nyiki haitakuwa makini jambo litakalotokea ni kuvuna mali na mwisho wa siku kuuvunja muungana na wachache wameneemeka na mali.

Jambo jingine ambalo tunaweza kusema ni Case study kuhusu huu muungano ni kuhusu Mradi wa bomba la mafuta toka Hoima mpaka Tanga. Hapo ndipo utakapoelewa je, hii federation imekaa vipi. Uhuni mkubwa ulitumika na kutumia ulaghai wa hali ya juu. Sasa kama kweli kuna nia ya dhati ya kuwa na federal nation kwanini kuwe na ugomvi na kununiana kwa mradi huo?

Msimamo wangu ni kwamba kwa sasa tubaki katika ujarani mwema na wale wanaoona kwamba wanaweza kuungana waungane wao. Siyo kulazimisha tuwepo wote kwa pamoja wakati socially tunatofautiana sana.

Halafu je, Ideology ya hii federal republic itakuwa socialism au Capitalism? Lazima tuelewe na kwanini tuwe katika mfumo ule? Je, kenya ipo tayari kuuacha mfumo ilionao wa kwamba msingi wa maendeleo kuwa ni mtaji(Capitalism) na kwenda kwenye mfumo wa msingi wa maendeleo kuwa ni watu(Socialism).

Hapa si jambo dogo tumeenda mbali mno. Katika muungano tutasababisha civil conflicts ambazo haina haja ya kuwepo.
Kwa mfano mdogo tu kule Loliondo conflicts kila wakati na sababu ni kwamba wahamiaji kutoka kenya kuja kuvamia protected areas na kuharibu vyanzo vya mali asili.

Mwisho naweza kusema kwamba kwa sasa tuendelee kuwa na ujirani mwema tu.
 
Nakuomba uwe objective. Hapa unataka kuongelea nini?
Pointi zako hujaziweka sawa. Pangilia vizuri kile unachotaka kuongea.
Federation ipo na direct impact kwenye jamii, hatuwezi kuwa na muungano ambao unawafaidia wachache na kuwacha wengi wakiwa kwenye shida. Lengo la federation ni kusaidia jamii, kama federation hiyo inakuwa na impact za kisiasa pekee haifai kuwepo.
Naona ni kama ulinuia kuquote mtu mwingine. Hii comment yako bana hata sijui unaongea kuhusu nini.
 
Back
Top Bottom