The financial times: Iran inapata faida kubwa kwenye vita, Urusi yaondolewa vikwazo

The financial times: Iran inapata faida kubwa kwenye vita, Urusi yaondolewa vikwazo

MALCOM LUMUMBA

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2012
Posts
21,775
Reaction score
71,893
AKILI NI NYWELE, KILA MTU ANA ZAKE!

Mbali na kushambuliwa kijeshi, Iran inaingiaza zaidi ya Dola za Kimarekani Milioni 140 kwa siku kutokana na kuuza mafuta yalipanda bei. Hii ni zaidi ya Bilioni 300 za kitanzania kwa siku. Hii inamaanisha kwamba Iran ataendelea kupata mabilioni ya pesa kuendeleza vita na hata akiba endapo vita itakuwa imekwisha.

Upande wa pili, Marekani na Ulaya wameiondolea Urusi baadhi ya vikwazo ili kuruhusu mafuta na gesi kutoka Urusi viuzwe kwenye soko la dunia ili kuzuia uhaba na mfumuko mkubwa wa bei ambao utayumbisha uchumi wa dunia. Kuondolewa vikwazo kwa Urusi inamaanisha kwamba vita vya Ukraine vitakuwa vikali zaidi kwasababu atapata fedha nyingi kuwashinda hata Ulaya.
Trade Weapons.png
​
Trade Weapon 2.png

Economic Weapon 3.png


Taifa ambalo linashindwa vita linaendeleaje kupata $ 140 Milion kwa siku ???

For those who thought this was only KINETIC and not also ECONOMIC I feel sorry for them....
​
 
Hio ni jumla ya mapato au ni faida baada ya kukata gharama za uendeshaji na za ulinzi
Hayo ni mapato sio faida, Ila ukumbuke Iran ni master wa kutengeneza machine za bei rahisi kama unavyoona drone zao zinacost bei rahisi kuliko popote Duniani basi Mafuta Yao pia ni hivyo hivyo.

Inakisiwa per barrell inawacost dola 10 Tu, na mafuta sasa hivi barell moja ni zaidi ya dola 100 na yanaweza fika $200 huko mbeleni.

For comparison nchi za Magharibi hutumia baina ya $40-60 kupata same barell.

Source
 
AKILI NI NYWELE, KILA MTU ANA ZAKE!

Mbali na kushambuliwa kijeshi, Iran inaingiaza zaidi ya Dola za Kimarekani Milioni 140 kwa siku kutokana na kuuza mafuta yalipanda bei. Hii ni zaidi ya Bilioni 300 za kitanzania kwa siku. Hii inamaanisha kwamba Iran ataendelea kupata mabilioni ya pesa kuendeleza vita na hata akiba endapo vita itakuwa imekwisha.

Upande wa pili, Marekani na Ulaya wameiondolea Urusi baadhi ya vikwazo ili kuruhusu mafuta na gesi kutoka Urusi viuzwe kwenye soko la dunia ili kuzuia uhaba na mfumuko mkubwa wa bei ambao utayumbisha uchumi wa dunia. Kuondolewa vikwazo kwa Urusi inamaanisha kwamba vita vya Ukraine vitakuwa vikali zaidi kwasababu atapata fedha nyingi kuwashinda hata Ulaya.
View attachment 3560363
​
View attachment 3560364
View attachment 3560365

Taifa ambalo linashindwa vita linaendeleaje kupata $ 140 Milion kwa siku ???

For those who thought this was only KINETIC and not also ECONOMIC I feel sorry for them....
​
Ongezea hapo Iran anatoza $2m kwa meli moja kupita Hormuz
 
Mkuu Wafiraj** wakubwa duniani ni wavaa kobazi, sodomizim imeanzia mashariki ya kati kwa waarabu
Sodoma haipo gulf wala Iran, ipo hapo Israel na Jordan, Eneo la Dead sea ambalo lipo mpakani mwa hizo Nchi.

Na mpaka Leo Israel wanajiita paradise ya mashoga na Tel Aviv ni katika jiji ambalo mashoga wengi wanalipenda.
 
Kwa akili yako unafikiri ni kwa nini Israel-US wahangaike kuuangausha utawala wa Kiislamu Iran? Kuanguka kwa utawala wa Kiislamu una faida gani kwa mmarekani na Israel?
tuvune mafuta kiurahsi.
 
Back
Top Bottom