The financial times: Iran inapata faida kubwa kwenye vita, Urusi yaondolewa vikwazo

The financial times: Iran inapata faida kubwa kwenye vita, Urusi yaondolewa vikwazo

1. $140m ni estimates, ngumu kuendelea kuwa hivyo muda mrefu vilevile Iran anauza oil for discount. Vinginevyo Iran apate usaidizi hapo Strait of Hormuz Iran ikisimama yenyewe itazidiwa.

2. US wamepunguza sanctions for 30 days only hiyo itakuwa hadi April 11. Bad siku 22 hivi. Hii ni faida kubwa kwa Russia/Putin. Hapa US hana leverage tofauti na hapa bei ya crude itaenda zaidi ya $150.

3. Bibi Netanyahu anapendekeza IMEC corridor kama long lasting solution, hapa cargo/oil itakuwa inasafirishwa nchi kavu, inaanzia India halafu by sea hadi UAE halafu railway kupitia Saudi Arabia na Jordan halafu wanaingia bandari ya Haifa Israel. Lengo hapa ni kuhamisha business kabisa kupitia Straight of Hormuz. India wametoa lease for life kufanikisha hii mambo.

4. Iran ikitanikiwa kufunga strait of Hormuz for at least 6 months italeta shida kubwa. Fikiria bei ya oil? Sulfur itakuwa haipiti, kumbuka sulfur ni byproduct ya oil refining. Na sulfur inatumika kwenye extraction of copper. Sasa hapa hii inaathiri kila kitu drone manufacturing, semiconductors/AI.

5. Baada ya muda US atafanikiwa ku-control strait of Hormuz. Beberu lazima atahamishia jeshi pale. Allies wake watamuunga mkono ni swala la muda tu. Kwa maoni yangu US anaenda polepole kuepuka kuharidi order iliyopo na kuumiza zaidi uchumi wa dunia. US is a $29-30 trillion dollar economy. Kifupi yupo na pumzi kubwa yakudumu muda mrefu.
Kupitisha mafuta na gesi kwa njia wanazopendekeza Israel ni too costful. Sidhani kama nchi watakubaliana nazo. Kwanza hadi hiyo miundombinu ijengwe ya kuwezesha sio sasa hivi.
Itakua yaleyale ya EU kukwepa nishati Urusi kuja kununua Qatar kwa gharama kubwa.

Hormuz Iran ameshafanikiwa kuwashawishi nchi zipite kwa ushuru na washaanza kulipa ushuru wa kuvukia.
 
Haijalishi iran inaingiza kiasi gani cha pesa, Israel-Us itaendelea na vita mpaka utawala wa kiislamu uanguke wote.
Kama Ulivyoanguka utawala wa kikundi Cha Talabans kilichokua hakina navy,air force,wala land force iliyokamilika zaidi ya guerilas TU.
Kikundi hiki kilipigana na NATO kwa miaka 20 kikiwa peke yake lakini Marekani iliondoka ikadai imekiangusha lakini Leo hii ndio kinatawala Afghanistan.

Vita hii Irana inapigana na US+Isarel lakini Iran ikiwa inapata taarifa muhimu kutoka kwa Urusi na china na NoKo.
Tusubiri tuone utawala wa Iran utaanguka lini.
 
Unajua Malcolm,Sasa nimegundua kua,kumbe unapoandika makala zako wale wanaokupinga ni vichuguu,wewe ni mlima kilamanjaro.
Inashamgaza mtu unaweka na source Tena ya west halafu kijimtu kinasema una mahaba,Aisee kweli Tanzania Low IQ ni wengi zaidi.
 
Vita inaendelea unasema wanapata Faida?
.
Faida itajulikana mwisho wa Vita sio sasa.

Labda useme wanatumia pesa wazipatazo kusaidia kuendesha vita
Sasa umeongea Nini ndugu?
Vita ni gharama bro.
Kama Irani anapata faida ktk biashara zake,faida ambayo inamuwezesha kulipia gharama za vita hiyo ndio faida ya kua na vitegauchumi.
Marekani Ina nguvu kijeshi kuweza kuivamia nchi yoyote ni Kwa sababu Ina pesa.
Irani ikiishiwa pesa haiwezi kudumu kwenye vita.
Hivyo Iran inafaidika na uuzajibwa mafuta.
 
1. $140m ni estimates, ngumu kuendelea kuwa hivyo muda mrefu vilevile Iran anauza oil for discount. Vinginevyo Iran apate usaidizi hapo Strait of Hormuz Iran ikisimama yenyewe itazidiwa.

2. US wamepunguza sanctions for 30 days only hiyo itakuwa hadi April 11. Bad siku 22 hivi. Hii ni faida kubwa kwa Russia/Putin. Hapa US hana leverage tofauti na hapa bei ya crude itaenda zaidi ya $150.

3. Bibi Netanyahu anapendekeza IMEC corridor kama long lasting solution, hapa cargo/oil itakuwa inasafirishwa nchi kavu, inaanzia India halafu by sea hadi UAE halafu railway kupitia Saudi Arabia na Jordan halafu wanaingia bandari ya Haifa Israel. Lengo hapa ni kuhamisha business kabisa kupitia Straight of Hormuz. India wametoa lease for life kufanikisha hii mambo.

4. Iran ikitanikiwa kufunga strait of Hormuz for at least 6 months italeta shida kubwa. Fikiria bei ya oil? Sulfur itakuwa haipiti, kumbuka sulfur ni byproduct ya oil refining. Na sulfur inatumika kwenye extraction of copper. Sasa hapa hii inaathiri kila kitu drone manufacturing, semiconductors/AI.

5. Baada ya muda US atafanikiwa ku-control strait of Hormuz. Beberu lazima atahamishia jeshi pale. Allies wake watamuunga mkono ni swala la muda tu. Kwa maoni yangu US anaenda polepole kuepuka kuharidi order iliyopo na kuumiza zaidi uchumi wa dunia. US is a $29-30 trillion dollar economy. Kifupi yupo na pumzi kubwa yakudumu muda mrefu.
Unajua inahitajika miaka mingapi ili kujenga miundo mbinu ya kusafilisha mafuta kutoka ghuba mpaka Israel?
 
Hakuna faida wakati wa vita mkuu ni hasara tu..
Sanctions 1.png

Sanction 2.png

Sanctions 3.png

Sanctions 5.png
 

Attachments

  • Sanctions 4.png
    Sanctions 4.png
    172.1 KB · Views: 15
Vita inaendelea unasema wanapata Faida?
.
Faida itajulikana mwisho wa Vita sio sasa.

Labda useme wanatumia pesa wazipatazo kusaidia kuendesha vita
Hili eneo huna utaalamu nalo.

Hivyo tuliza kichwa kabla ya kujibu.

Marekani aliibuka tajiri wa dunia wakati anapigana VITA YA PILI YA DUNIA.

AU hili nalo ulikuwa hulifahamu ???

War Economy 1.png
​
War Economy 2.png
War Economy 3.png

War Economy 4.png

War Economy 5.png

War Economy 6.png
 
Back
Top Bottom