The Greatest Man in Universe: Kijana mdogo aliyefanya makubwa na kuacha alama akiwa na umri mdogo

Ohooo kumbe kuna mengi nyuma ya pazia.
Sasa na watoto jee?
 
NDUKI , sorry kama nilivyosema sijui usahihi wa mnachobishania.
My point was here "ukiona mtu ana bishana hadi na Wikipedia" basi.
 
Hapana ,nasema tena hapana. Mwacheni huyu kijana ana akili Sana ,Kama hoja Ni kwamba amesoma maandiko ya watu na kuyaleta hapa kwani wangapi wanajua kusoma , kwa nini na wao wasisome na kuyaleta hapa.

Ni Watanzania wachache Sana hata hao wenye degree wanaoweza kusoma kitabu kizima Cha Kiingereza na kuelewa ujumbe kwenye kitabu hicho halafu wakashare na watu wengine. Nasema ni wachache Sana.

Watanzania waliowengi tumewekeza muda wetu kwenye mambo ya kipuuzi tu. Tunatumia muda mwingi kubishana mambo ya Simba na Yanga , upuuzi mtupu.

Nasema tena huyu kijana mleta mada ana akili Sana. Acheni chuki.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Soma tena nilichokiandika halafu uniambie !!
Je umekuta mahala popote pale nimeandika neno" Chuki"

Hujanisoma vizuri ukaja kujibu kwa mihemko..

Lazima tukubali kuelezana ukweli pia sio kila unalowaza wewe lazima kila mtu awaze hivyo.. na bila shaka mimi na yeye tumeshaelewana ndio mana sikuendelea kumqoute tena

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiona nimeandika kitu jaribu kugugo kama unaweza kukipata huko mitandaoni.
Nataka siku moja watu wayatafsiri mawazo yangu..sio mm nitafsiri mawazo ya wengine toka mitandaoni.
 
Ukiona nimeandika kitu jaribu kugugo kama unaweza kukipata huko mitandaoni.
Nataka siku moja watu wayatafsiri mawazo yangu..sio mm nitafsiri mawazo ya wengine toka mitandaoni.
Good luck!!In a nutshell nakubali unachokifanya ila si vyote ambavyo tunaweza tukakubaliana...

Do u know why!???bcoz we are human being every one has his/her own traits!!

Keep it up upo vizuri!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daaa apo kweny time kama ulikuwa unanisema mm muda wa kazi nipo na mishe nyingine πŸ™„πŸ™„

Thanks a lot bandiko lako limegonga kengere kichwan hakuna kesho ipo Leo tu πŸ™πŸ™
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…