The Greatest Man in Universe: Kijana mdogo aliyefanya makubwa na kuacha alama akiwa na umri mdogo

NDUKI , sorry kama nilivyosema sijui usahihi wa mnachobishania.
My point was here "ukiona mtu ana bishana hadi na Wikipedia" basi.
Unaupimaje usahihi wa Wikipedia mpaka ukawa msingi na marejeo yako ?

Au Wikipedia imejengeka katika misingi gani ?
 
Joseph na maria hawakuwa wanandoa,ila joseph alikuwa akimchumbia maria...
 
Hii tabia ya kuwalinganisha sijui mmeipata ni katika tabia za kipuuzi na kijinga ambazo mtume wetu Muhammad alizikemea.

Japokuwa yeye alikuwa bora na ni bora kwa viumbe wote, lakini aliwakataza maswahaba zake wamfananishe na manabii wengine.

Nukta ya msingi ni kuwa kulinganisha watu si kitu kizuri.
 
Sasa kama yesu alikuwa mwanadamu ikawaje alivyokufa akafufuka????!!!

Basi huyu mwanadamu alikuwa si wa kawaida..
 
Unaupimaje usahihi wa Wikipedia mpaka ukawa msingi na marejeo yako ?

Au Wikipedia imejengeka katika misingi gani ?
Nikikufundisha juu ya biblia haupaswi kuyaamini ninayokufundisha bila ku attach marejeo ya wapi ninavyokufundisha vimetoka.

Wikipedia ni secondary information, ambazo ni kama zinanirahisishia mimi kupata "link attached " ambazo zitanipeleka kwenye reliable sources.

Sijui nimekujibu?
 
Sasa kama unarudishwa kwenye asili "Kiistilahi tunaita Takhriji" kwanini Wikipedia iwe marejeo yako na si vile vitabu au sehemu uliyo elekezwa kwenda kusoma ?

Kwa maana hiyo Wikipedia haina au haitakiwi kuitwa "source".
 
Umenielewa lakini huko nyuma nilichokuwa nimeandika?
Hebu rudia huu mjadala wa Wikipedia ulipoanzia.
 
Soma hapo halafu uniulize tena swali Zurri.
 
Umenielewa lakini huko nyuma nilichokuwa nimeandika?
Hebu rudia huu mjadala wa Wikipedia ulipoanzia.

Yawezekana wewe ndio hujanielewa mimi, mimi nina uhakika kabisa nimekuelewa vuema mrembo na nikalike jibu lako kwa maana umejibi vizuri, ndio maana nikafikia miafaka kwa kusema ya kuwa kinachotakiwa kuangaliwa ni ile link inayokupeleka katika katika source yaani shina, ili uwe sehemu salama, mintarafu kama ulivyosema Wikipedia yeyote anaweza kufanya yake, kwa lugha nyingine ni kuwa Wikipedia si marejeo bali ni wasila kuelekea marejeo nayi unatakiwa kuyahakiki.
 
Sorry, napataga pia tabu ya kuelewa kiswahili unachoandika wewe. Yawezekana ndio sababu.
 
Jamani mbona Shetani mumemsahau katika listi ya watu maarufu duniani?
Nadhani na yeye anastahili kuchukuwa nafasi yake fulani, kwani anaga wafuasi wengi kweli,pengine kushinda Yesu na Muhammad,
Nakusudia kama Umaarufu ,basi shetani anaongoza ,na wafuasi wake ni wengi mno.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…