The Guardian mnaniangusha. Kiingereza gani hiki?

Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...
 
Mbona sentensi ni sahihi ilivyoandikwa? Katika sentensi hii, 'ministry' ni subject; 'reviews' ni verb katika third person singular; 'laws' ni object; 'on community development' ni maneno yanayoainisha which laws were reviewed. Sentesi hii ni sahihi 100%.
 
You should go back to school.
 
They are different and yet they mean the same thing. Turudi kwenye mother tongue sasa, labda tutaelewana vizuri. Ni nini tofauti kati ya "Wizara yapitia" na "Wizara inapitia" katika Kiswahili?

Huu ubishi ni sawa na ubishi wa kusema maana ya "I am going tomorrow" na "I will go tomorrow" ni tofauti. They are different structure-wise but mean the same thing.
But, one is in the simple while the other in the continuous present tense. They cannot mean the same thing.
 
Hata kwa kutamka tu, ni wazi kwamba sentensi hizo ni tofauti KABISA! Moja ni completed action (in the recent past), na nyingine ni active & endelevu--immediate continuous, active present. Two different things! See?
 
Wizara yapitia = iko katikati ya mchakato. Kuna sheria tayari imekwishapitia, kuna sheria inapitia sasa na kuna sheria bado hazijapitiwa. Kunaweza kuwa na scenarios nyingi zenye kumaanisha hiki hiki. Inaweza kuwa ndio imeanza leo kupitia hizo sheria.

Wizara inapitia = iko katikati ya mchakato. Kuna sheria tayari imekwishapitia, kuna sheria inapitia sasa na kusheria bado hazijapitiwa. Pia kunaweza kuwa na scenarios nyingi zenye kumaanisha hiki hiki. Inaweza kuwa ndio imeanza leo kupitia hizo sheria.

Wizara imepitia (Ministry has reviewed) = Completed action.
Hata kwa kutamka tu, ni wazi kwamba sentensi hizo ni tofauti KABISA! Moja ni completed action (in the recent past), na nyingine ni active & endelevu--immediate continuous, active present. Two different things! See?
 
Siyo lazima iwe plural. Unaweza kuichukuwa Wizara kama collective noun na kwa hiyo ikawa singular. Kama vile unavyosema "My family is big" na wala siyo "My family are big".
Mkuu jamaa yuko sahihi kabisa; we don't add an s kwenye verb with plural noun.
 
Soma content alafu ulinganishe na kichwa cha habari utajua kuwa mleta maada yuko sahihi.
 
Nitakujibu baadaye ngoja kwanza tulijenge taifa letu zuri huku. But, all in all, unaweza kuwa older chronologically, ila uko way younger kwenye hiki kitu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…