The Guardian (UK)- UAE owns 8% of Tanzania’s forest

Bado kuna wajinga wanatembea na kadi za chama cha kijani mfukoni huku baadhi wakikwambia hatuoni mbadala wa hicho chama na wakati huo huo kutwa yanalilia na huduma mbovu za afya, maji, umeme, n.k.
Inauma sana mkuu!
 
Lakini hapo nimeona zipo Nchi nyingine pia zimeingia hiyo mikataba sio Tanzania pekee !!
Lazima kutakuwepo na manufaa makubwa 🙏🙏
Hii pekee ndiyo iwe sababu, ya kuziona nchi nyingine?
Nchi zenyewe kweli ni za kuchukulia kama mifano ya kuigwa? Mbona ni Afrika, huko kwingine hakuna mapori ya kuuza?
 
Ndipo hapo utajua kweli hii nchi inaongozwa na wapumbavu , hao waarabu watavuna maokoto marefu kwenye carbon subsidies zitakazo anza kutolewa na UN miaka michache ijayo kutokana na UN sustainable environmental agendas + decarbonisation , sisi ni wapumbav , tuna Hekari nyingi za miti ila tunauza kwa hao waarabu , why ?
Why tusiwe sisi wamiliki wa hiyo misitu ili tuvune hizo subsidies za UN ?
Akili za wana ccm ni mavi ya mbwa koko
 
Ubaguzi !
Ubaguzi siyo kosa kosa ni ubaguzi usio wa haki .......kupanga ni kuchagua na kuchagua ni kubagua ...kamwe uwezi kuchagua pasipo kubagua ...hivyo kuna aina mbili za kubagua
1) kubagua kwa haki
2) kubagua kusiko kwa haki
Mtu mwenye akili kubwa awezi kupinga kubagua ila anacho pinga ni ubaguzi usio wa haki ...fanya ubaguzi ulio wa haki ...hata kwenye kuoa kuna ubaguzi ...popote palipo na neno kuchagua basi kuna kubagua ...tumia akili acha kutumia kijambia kufikiri kama sa mia moja mbovu.
 
Hao waarabu hawana shida ,sisi viongozi wetu ndio wapumbav na vichaa wasio na maono .
Kwa agenda za UN , World economic forum NK Carbon taxation itaanza soon , that means kila bidhaa au huduma inayonunua itatozwa kodi ya ukaa /carbon tax , na hii ndio itakayotumika kama subsidies Kwa kuwapa hao wamiliki wa estates za misitu .
Utajiri mkubwa upo kwenye misitu , tuhamasishane kumiliki mashamba na kupanda miti kupata misitu mikubwa na kuanza kuvuna hayo mapato
 
Kwaiyo ni kosa kujenga hotel ya nyota Tano njombe?
 
Misitu imilikiwe na serikali kamwe watu binafsi wasipewe kumiliki misitu ni upumbavu kama ccm tu
 
Huu upumbavu , kwamba sisi watanzania tumeshindwa kununua ardhi n upanda miti na kumiliki ardhi humu sisi wenyewe mpaka tumuuzie mwarabu ?
Utaahira wa wapi huu ?
 
Kwa ufupi mama kizimkazi ni bora hata akina chifu mangungo wa msovero....atuauza Tanganyika yote kwa waarabu asipozuiwa...
Yule kimtizamo anapenda maendeleo yapatikane uarabuni kuliko huku bara kwa Watu weusi wenye vichogo.
Kifupi hajawahi kuwa na mapenzi mema na watu Wa bara na Tanganyika Yao.
Wale Wanaipenda Tanganyika kama nchi lakini sio Watanganyika. Huku wanaotajirika sana na wanapora wanavyotaka hakuna Wa kuwauliza mana Watanganyika nao wamejawa na tamaa.

2025 panahitajika ushindani Wa wazi na midahalo ya wazi Ili Hawa watu watuambie Wana maono Gani na Taifa hili.
Sio kuendelea kushabikia Wanasiasa wanaokuja tu ghafla na malengo Yao Kisa tu tunataka kulinda Chama.
Chama ni Neno tu au Jina tu ambalo halipati Hasara Wala maumivu yoyote hata nchi ikirudishwa utumwani Jina CCM haliwezi kuteseka mana ni Jina tu Wala haliugui Wala kuhitaji kitu chochote. Kukumbata Jina CCM na kuiangamiza nchi nijambo la ajabu sana.

Watu Wa kuiokoa nchi hii wapo ndani ya CCM na wakuiangamiiza nchi hii wapo ndani ya CCM pia.
Kinachohitajika ni Uzalendo na kusimama kupigania maslahi ya nchi na Sio maslahi Binafsi Kama ilivyo Sasa ambapo Wazalendo wanaitwa watu wenye roho Mbaya wasiotaka watanzania watajirika ( kauli ya Mh. Doto Biteko Naibu waziri mkuu) . Kwa maana nyingine ni kusema kuwa Watanzania wamejawa na roho Mbaya Kwa sababu wanawachukia Mafisadi "
 
Hongera sana kwa uongozi wetu wa sisiemu, hakika wanaupiga mwingi
 
Na ndio ushangae sasa
 
Kinachokuja nchi hii ni zaidi ya ukoloni .
We subiri uone , wananchi tutaishi kama watumwa na vijakazi na crooks wachache wataishi kama makabaila na wafalme
Mtu mweusi ni ngedere hakyanani
 
Inabidi tu kujiuliza maswali mambo makubwa na mazito kama haya yanapotokea kimya kimya tu ndani ya nchi:

Hivi haya maswala huwa yanajadiliwa na kuamriwa kwenye Baraza la Mawaziri?
Inakuwaje hata fununu tu ziwafikie vyombo vya habari na angalau kugusia tu uwepo wa mambo kama haya?

Hivi haya nayo yamo kwenye ILANI ya Chama, kuyatekeleza?

CCM kama chama, wanazo habari zozote za uwepo wa maswala ya namna hii na kuyabariki?

Kuna hiyo inayoitwa "Usalama wa Taifa", wanajua chochote kinacho endelea hapa?

Ni wataalam wetu gani walio na ufahamu mzuri wa maswala haya waliohusika kutoa ushauri, wale wale wa DP World na IGA yake?
 
Makasiriko !!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…