The Guardian (UK)- UAE owns 8% of Tanzania’s forest

Kwaiyo ni kosa kujenga hotel ya nyota Tano njombe?
Hakuna cha hotel hapo ,hayo ni maigizo na uhuni tu .
Hujui ulimwengu unapoelekea na kinacholengwa ,wewe unadhani nguvu iliyotumika kuhamisha maelfu ya wamasai kule ngorongoro ni bure bure tu ili mtu apate kipande cha Hekari 10 ajenge hotel au sio ?
Kinacholengwa ni kupora ardhi kwa wananchi na kuigawa kifisadi kwa mabwanyenye na watu corrupt ili waanze kuvuna carbon subsidies za UN
Ni pesa ndefu za bwerere ambao ni mwanya wa mafisadi na watu unethical kuprosper kupitia hayo mapato na masikini kuendelea kuwa masikini zaidi
 
Misitu imilikiwe na serikali kamwe watu binafsi wasiiewe kumilik8 misitu ni upumbavu kama ccm tu
Hata wakimiliki watu binafsi sio mbaya ,lakini watu hao wawe ni wazawa wa humu ndani ili hizo pesa zizunguke kwenye uchumi wa ndani na kunufaisha watanzania na si hawa pig skinned invaders na crooks kupeana deals kihuni .
Ujinga sana
 
Hata wakimiliki watu binafsi sio mbaya ,lakini watu hao wawe ni wazawa wa humu ndani ili hizo pesa zizunguke kwenye uchumi wa ndani na kunufaisha watanzania na si hawa pig skinned invaders na crooks kupeana deals kihuni .
Ujinga sana
Watu binafsi wakimiliki hiyo siyo misitu tena bali ni viwanja vya watoto na wajukuu vya siku za usoni ...tumia akili
 
Mkuu tungesubiri kidogo. Hapo baadaye kutakuwa na soko kabisa duniani ya kufanya biashara ya hizi carbon credits and carbon fingerprints. Kama masoko mengine duniani.

Tungeweza kupata utajiri mkubwa sana sawa na wengine wenye gas, mafuta. Sababu sisi tuna misitu mingi sana.

Wakati huu ingetakiwa kujipanga, kuhusu mikataba framework, sheria.

Tungeangalia hii mikataba iwe ya muda gani,tuweke masharti yapi kwenye hii mikataba kujilinda, wakiivunja kutakuwa na consequences gani kwao.

Tungealia jamii zinazozunguka hii misitu itafaidikaje, kiasi gani kibaki ndani ya jamii jirani, (ajira, shule, vituo vya afya, barabara, umeme, maji) Eneo kiasi gani linaachwa kwa jamii kwa ajili ya shuguli za kibinadamu, makali, ufugaji, kilimo nk.

Tungeanza na mjadala wa kitaifa, Wananchi na wadau wote watoe maoni kwenye tume. Na hio tume ichukue maoni na kutengeza mikakati. Tume madhubuti itayosimamia negotiation mikataba kama ile tume ya madini wakati wa JPM.

Tungehimiza wananchi kupanda miti kama njia ya kujipatia kipato na kuongeza pato la taifa.
 

raisi nwenyewe huwa ana msemo wake kwamba “tumechelewa sana” sasa sijui huwa anamaanisha nini? Nani amechelewa ?
 
Asilimia 8 ya ardhi ya nchi sio kitu kidogo , tena kwa kampuni moja au mtu mmoja , hiyo ni monopoly , Itafikia mahala tutakuwa kama Kenya , mtu wa maisha ya kawaida na masikini kumiliki ardhi itakuwa ni ndoto ,kumbuka hiyo asilimia 8 waliyochukua ndio wanaanza zoezi ,na hilo zoezi ni endelevu that's means uporaji unaendelea ,kwa mtu ambaye anafuatilia agenda za UN na WEF anaelewa ninachoandika hapa ,kwa asiyefuatilia hizo issues hawezi elewa .
Kwa ujinga huu tunaofanya wa kugawa au kuuza hiyo ardhi cheaply Kwa mwarabu ,that means Mwisho wa siku ni kuwa na tabaka kubwa la masikini waliotopea na ombaomba ( landless poor peasants and beggars ) na tabaka la mabwanyenye wachache wageni ambao watakuwa wanavuna hizo pesa na zisitunufaishe kwa namna yoyote ile .
Na majanga ya njaa itakuwa ni maradufu ,chakula kitakuwa expensive Sana pia Maana nchi hii inalishwa na peasants na wafugaji wadogo wadogo mkumbuke so ardhi so scarce hapo hapo kutakuwa na migogoro sana ya ardhi .
Hii nchi ni ya wapumbav
Mimi nikiangalia jinsi uongozi wa nchi yetu unavyofanya mambo na nikiconnect dots na global agendas za UN na WEF naona future mbaya sana huko mbele kwa hili taifa na mataifa ambayo yameingia kipumbavu kwenye hiyo program bila kutumia akili , kuna mtego na too bad wapumbav wengi hawauoni .
 
Kiufupi hiyo carbon decarbonisation ndio global currency ijayo ,yaani kila utachogusa kitahusisha (Decarbonisation) ,sasa sisi hawa mazwazwa wetu hawa sijui wana akili au kamasi
 
Wamepeleka watu zaidi ya 750 huko Dubai. Wanasafiri first class na watakaa five star hotel wote. Gharama zake unamaliza matatizo mengi tu hapa Tanzania. Wote hawa watu wanaenda kufanya nini huko. Holiday? kuuza vilivyobaki?

Delegation ya Tanzania ni ya 12 kwa uwingi wa watu walioenda huko dunia nzima.


 
raisi nwenyewe huwa ana msemo wake kwamba “tumechelewa sana” sasa sijui huwa anamaanisha nini? Nani amechelewa ?

Labda anamaanisha tumechelewa kuuza nchi, Tanganyika na Watanganyika kwa bei ya kutupa, sawa na bure?

Anakimbilia wapi na mikataba yake hii mibovu isiyo na tija kwa Taifa?
 
Saa mia moja mbovu ni [emoji117][emoji90][emoji90][emoji90]
 
Hii kitu ni real ,na matajiri wakubwa ndio wamiliki wakubwa wa ardhi duniani sasa hivi , na wanaendelea kununua na kuhodhi ardhi kwa kasi kubwa mno , just imagine Marekani pale Bill gates ndio biggest land owner Kwa sasa ,na ameanza hii programu muda si mrefu , ananunua hadi mashamba ya wakulima wa mazao kama ngano ,mahindi nk na mashamba ya wafugaji (rachers )
Kuna kitu kizito kinapikwa ila ni kwamba tuko blind watu wengi hatuoni .

Jamani wananchi muamke mmiliki ardhi na muilinde kama mnavyolinda mboni za macho yenu ,tunapoelekea chakula kitakuwa ni control tool na ardhi ndio msingi wa utajiri
Watu wajiulize why mtu kama Billgates achomoe resources zake aanze kununua maelfu ya Hekari kwa kasi kubwa hivyo tena recently






Mpaka Forbes waliandika
 
Na ndio lengo la hii programu , atleast kwenye maandishi .
Kwamba kua taxation itaingizwa katika kila huduma au bidhaa inatakayouzalidhwa ,kuuzwa au kuwa consumed katika mataifa yaliyoendelea kiviwanda kama Marekani ,China ,UK , Germany ,Canada NK
Kwamba wao watahusika kutoa mabilioni ya dollars kwenda nchi hizi third world countries kama Tanzania ambazo bado zina hiyo abundance ya natural forests

Sasa kama tunagawa na kuuza hiyo ardhi kwa wageni kwa mtindo huu ,that means sisi ni big fools and loosers in a long run .
Tatizo la mtu mweusi ni kufikiri na kufanya mambo kama maamuma yaani bila akili timamu
Future ni mbaya haswa
 
Mzee ni hatari sana ,na ukiangalia hata sheria za ardhi nchi hii ni za enzi za ukoloni , yaani mwananchi hauna full ownership ya ardhi nchi hii Tanzania , ni kwamba wanaweza kuja na kuwafukuza hapo mtaani kwenu kama mbwa ,nyumba zenu zikabomolewa na mkafurushwa bila hata compensation ya aina yoyote na mgeni aliyenunua cheaply au kupewa hiyo ardhi akafanya yake .
Loliondo and Ngorongoro style
Waulize wamasai
 
Hivi huyu Mama Samia hawezi kukamatwa na kushitakiwa kwa kuuza nchi kwa wajomba zake? Huko anakotaka kutupeleka kwa kweli wananchi tutakosa hata sehemu ya kuishi hapa hapa nchini kwetu. Mama hafai hata kidogo, nyumba yake tu imemshinda kuiendesha sembuse linchi kama hili letu.
 
Huo ndio ukweli ankoli,
 
Carbon credits si strength yako! Kununua carbon credits through CDM si Kununua ardhi! So wacha kupotosha! Hamna tatizo UAE Kununua cc zinazotengenezwa na 8% equivalent of our forest!
 
Vitu anavyofanya SSH inaweza kuchukua miaka zaidi ya 50 kurudisha uhuru wetu, ardhi yetu na rasilimali zetu.

Majanga anayosababisha na atayosabisha ni makubwa sana kwa mustakabali wa Tanzania na kila Mtanzania anayejitambua.

Yaani hadi Burigi-Chato iliyoanzishwa juzi juzi amewapa ndugu zake.

Kwanini mtu mmoja anaamua vitu muhimu kama hivi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…