Huwa sina masihara, kwenye maswala ya namna hii. Kama wewe hunielewi, tazama rekodi yangu humu.Hivi unaelewa maana ya Carbon Credits jinsi inavyofanya kazi?
Huu ni upumbavu, siyo ujinga.Aisee
Nyinyi Waha ni wabishi sana, japo wanasema bisha ueleshwe nyinyi huwa mnapenda ligi...
Ona ujinga unaoweka hapa, halafu unajifanya unajua chochote kuhusu 'Carbon Credits'?Hakuna hiyo kitu tufanye wenyewe, kwenye soko la Carbon Credits
Ni hizo nchi zinazotoa mafuta ndio zinatakiwa zikusanye carbon credits, au kwa vile tuna mawese ya Kigoma basi na sisi tukusanye wenyewe kwa mpango upi?
Concept nzima ya Carbon market bado huijui.Hakuna hiyo kitu tufanye wenyewe, kwenye soko la Carbon Credits
Ni hizo nchi zinazotoa mafuta ndio zinatakiwa zikusanye carbon credits, au kwa vile tuna mawese ya Kigoma basi na sisi tukusanye wenyewe kwa mpango upi?
Hamuwezi kuachwa mkusanye wenyewe carbon credits, mtachakachua vifaa vya upimaji, wabongo wezi kila kona,
Kama hutaki ni basi unakaa na misitu yako, na siku ukitaka kununua mafuta huko wanakucheki kama uko kwenye soko la carbon credits kama haupo, unakula bei ya kuruka, na matokeo mnapiga kelele kiwese kikipanda bei....
Tatizo mnaangalia mitandaoni na kusoma carbon offsets za US na Europe mnadhani ndio mtauza namna hiyoConcept nzima ya Carbon market bado huijui.
Narudia tena, na tena "nchi zinazotoa mafuta" ndio biggest polluters ukanda wetu, na wanatafuta njia za ku offsets their exceeded carbon production footprints levels, kwa hiyo hilo ndio litakuwa soko letu, kwisha mchezo.Inaonyesha wazi kabisa kutokana na huo mstari ulio andika hapo juu kuhusu "nchi zinazotoa mafuta" kuwa hujui hujui chochote.
Tueleze wewe unasoma wapi?Tatizo mnaangalia mitandaoni na kusoma carbon offsets za US na Europe mnadhani ndio mtauza namna hiyo
Naona kama ilivyokuwa na DP World, hawa Blue Carbon nao tayari wana jeshi maalum la kupigania maslahi yao.Narudia tena, na tena "nchi zinazotoa mafuta" ndio biggest polluters ukanda wetu, na wanatafuta njia za ku offsets their exceeded carbon production footprints levels, kwa hiyo hilo ndio litakuwa soko letu, kwisha mchezo.
Uwatume vijana maporini wakapande miti, wakati hata mshahara wa walimu huna, utawalipa matangopori?
Blue Carbon anakuja hapa kufanya biashara. Mkataba unampa miaka 30; huku akichukua asili mia 70 sisi tunabaki na asili mia 30 ya pato linalotokana na biashara hiyo.Narudia tena, na tena "nchi zinazotoa mafuta" ndio biggest polluters ukanda wetu, na wanatafuta njia za ku offsets their exceeded carbon production footprints levels, kwa hiyo hilo ndio litakuwa soko letu,
Kwahiyo na mkataba mmeuona 🤣 🤣 🤣Blue Carbon anakuja hapa kufanya biashara. Mkataba unampa miaka 30; huku akichukua asili mia 70 sisi tunabaki na asili mia 30 ya pato linalotokana na biashara hiyo.
Uwekezaji wenyewe, ndani ya miaka 10 hata hauzidi $200 milioni; kama huo siyo ukichaa tuuite kitu gani?
Halafu wewe unakuja na hadithi zisizo eleweka.
Mnapenda sana kufanya siri kila kitu, hiyo ndiyo njia yenu ya kufanya ufisadi.Kwahiyo na mkataba mmeuona 🤣 🤣 🤣
Mkuu hii ishu Ni ngumu Sana kuitambua fedha zinazomwagwa kwenye hivyo vijiji vilivyokubali kuuzwa kwa maeneo yao ni nyingi. Mlinzi anakunya 200k mwenyekiti nae 200+k bado Kijiji chenyewe kinapata faida Sasa je mkataba utaisha lini ndo hakuna wakujuaLakini hapo nimeona zipo Nchi nyingine pia zimeingia hiyo mikataba sio Tanzania pekee !!
Lazima kutakuwepo na manufaa makubwa [emoji120][emoji120]
Duh 🙄 !!Mkuu hii ishu Ni ngumu Sana kuitambua fedha zinazomwagwa kwenye hivyo vijiji vilivyokubali kuuzwa kwa maeneo yao ni nyingi. Mlinzi anakunya 200k mwenyekiti nae 200+k bado Kijiji chenyewe kinapata faida Sasa je mkataba utaisha lini ndo hakuna wakujua
Nani wa kumshitaki nani ??!!Inaonekana wengi watashtakiwa nchii kwa kukiuka sheria na katiba utawala fulani ukimaliza muda wake